Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
Mulianzishe dude...mnapumzi sasa? Wakati mnakufa njaaa
 
mkuu kaburi haliimhitaji mbwembwe,kuna mda tuachane na maada zisizo na tija,

mambo ya waasisi
Hapana mkuu, kaburi la mkuu wa nchi halitakiwi kujengwa hovyo hovyo eti sababu halihitaji mbwembwe. Kama watu binafsi tu wanajengewa kaburi yenye muonekano mzuri sembuse mkuu wa nchi? Kujenga kaburi la muonekano wa hovyo wakati uwezo (kifedha) wa kujenga kaburi zuri upo ni kejeli au alama ya kutomheshimu anayemjengewa hilo kaburi.
 
halafu hilo paa utafikiri Chato kuna-snow! sasa mvua si italeta mmong'onyoko inapodondokea? 🤣🤣:eek:
 
Nguvu ya safaru haina uhusiano wowote na nguvu ya uchumi wa nchi husika. Hata Ethiopia ina sarafu yenye nguvu kushinda Japan lakini hio haimaanishi kwamba uchumi wa Ethiopia ni mkubwa kushinda uchumi wa Japan. Vile vile safaru ya Kenya ina nguvu sawia na ya Japan yaani 1 to 1 ratio ( shilingi moja ya Kenya ni sawia na yen moja ya Japan) lakini hio haina maana kwamba uchumi wa Kenya unatoshana na uchumi wa Japan. Ni kawaida watu wasiolewa mambo ya uchumi kufikiri kwamba nguvu ya safaru ya nchi husika ina uhusiano mkubwa na ukubwa wa uchumi. Nchi za bara Asia huwa zinapunguza nguvu ya sarafu zao ili kufanya exports zao kuwa more competitive.
Mfano mzuri ni China huwa anafanya devaluation ili kuongeza exportation, lkn haina mana kuwa uchumi wake ninmdgo.
Value ya currency ni namba tu, ukiangalia south korea wapo mpka na 100000, ukitaka uwe chizi jaribu kulinganisha izo namba ujione unauchumi mkubwa kuliko s.korea
 
Hapana mkuu, kaburi la mkuu wa nchi halitakiwi kujengwa hovyo hovyo eti sababu halihitaji mbwembwe. Kama watu binafsi tu wanajengewa kaburi yenye muonekano mzuri sembuse mkuu wa nchi? Kujenga kaburi la muonekano wa hovyo wakati uwezo (kifedha) wa kujenga kaburi zuri upo ni kejeli au alama ya kutomheshimu anayemjengewa hilo kaburi.

Izo ni mbwembwe tuu mbona la mkapa lipo simpo tuu watu hawasemii
 
Izo ni mbwembwe tuu mbona la mkapa lipo simpo tuu watu hawasemii
ndo nilichokuwa nasema ndo maana nimeleta la Mandela na Bush Snr pia watu waone makaburi ya familia yanavyopangwa! Kama unajenga mausoleum basi iwe inapendeza au kama ni makaburi tu kama ya familia basi garden nzuri ya kuvutia! basi hata mkishindwa basi kokoto nyeupe! Serious japokuwa la Mkapa gharama ndogo linapendeza kuliko la Magufuli!

2.png

116205898_1025303981236795_458354732861382222_n.jpg

116309634_1025304051236788_3691615541364502585_n.jpg
 
air tanzania aka wings of kilimanjaro are only flying coffins. hamuna ubunifu kwenye hii fani, kwenyu hii ni jambo geni sana. tuulize sisi watu wenye uzoefu katika hii sector. tuna tesa hadi anga ya juu
 
Mfano mzuri ni China huwa anafanya devaluation ili kuongeza exportation, lkn haina mana kuwa uchumi wake ninmdgo.
Value ya currency ni namba tu, ukiangalia south korea wapo mpka na 100000, ukitaka uwe chizi jaribu kulinganisha izo namba ujione unauchumi mkubwa kuliko s.korea
Northern Korea ndo wana GDP ndogo kuliko Kenya
 
Back
Top Bottom