Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
But ata mie nimeshindwa.. eti Birr ya Ethiopia inashida shillingi ya kenya by x2.4. But mbona tena wa Ethiopia na wa Eritrea wamerundika Githurai45 ivo.. 🤔eti the biggest denomination in Tz Tsh10,000/-, is equivalent to only Ksh400/-. tz mkonashida aky View attachment 1973210View attachment 1973226
Tatizo unakuja na negative mentality unashindwa kuona point. Mi naongelea kumuenzi inavyopaswa! Hiyo mausoleum iliyojengwa haijakaa vizuri! hamna chuki hapa!
BTW huwezi kunilazimisha kumpenda unayempenda kila mtu ana opinion yake though opinion yangu kwenye hii nyumba ya kaburi la Magufuli ililenga kujenga.
This is Kenyatta's mausoleum
![]()
Tom Moboya's mausoleum
![]()
Oginga Odinga's mausoleum
![]()
Nyerere's mausoleum
![]()
Nkrumah's mausoleum
![]()
Mandela's Graveyard
VS
Magufuli mausoleum
![]()
MY TAKE
Well wacha niambiwe namchukia ila that thing for Magufuli is ugly! No creativity!
Nyie wakenya hamna uwezo wa kushindana na Sisi ma superpower.Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
Tuvivumilie tu hadi rais wa awamu nyingine aje.
Huyu wa sasa inaonekana anawapenda sana huoni amewapa hadi vitambulisho![]()



constructive criticism haikubaliki humu ndani kikisemwa kitu watu hurukia 'chuki'! Aisee sasa kusema burial place ya Magufuli haina creativity imekaaa ugly na nimetoa comparison kwa other mausoleum walizozikwa viongozi inahusiana vp na chuki!?Sure. Hapa creativity hakuna kabisa. Special place kama hii haitakiwi kuwa na muonekano casual kama huu.
Kwa wenye hela... 😂 🤣 🤣Fumba town, Zanzibar-Tanzania kiboko ya Mombasa.View attachment 1972653View attachment 1972654View attachment 1972655
Nguvu ya safaru haina uhusiano wowote na nguvu ya uchumi wa nchi husika. Hata Ethiopia ina sarafu yenye nguvu kushinda Japan lakini hio haimaanishi kwamba uchumi wa Ethiopia ni mkubwa kushinda uchumi wa Japan. Vile vile safaru ya Kenya ina nguvu sawia na ya Japan yaani 1 to 1 ratio ( shilingi moja ya Kenya ni sawia na yen moja ya Japan) lakini hio haina maana kwamba uchumi wa Kenya unatoshana na uchumi wa Japan. Ni kawaida watu wasiolewa mambo ya uchumi kufikiri kwamba nguvu ya safaru ya nchi husika ina uhusiano mkubwa na ukubwa wa uchumi. Nchi za bara Asia huwa zinapunguza nguvu ya sarafu zao ili kufanya exports zao kuwa more competitive.But ata mie nimeshindwa.. eti Birr ya Ethiopia inashida shillingi ya kenya by x2. But mbona tena wa Ethiopia na wa Eritrea wamerundika Githurai45 ivo.. 🤔
ata juzi ulisikia eti Tz ime export vitu zaidi ya kenya 'FOR THE VERY FIRST TYME SINCE INDEPENDENCE', that alone ment tht kenya had been the dorminant economy eversince,.. we are yet to revert back to where we were before. It was only due to corona last year 2020🥱. itikadi kali ya serkali ya kenya ndo kafanya vile, kuzingatia masharti makali kudhibiti coronaNyie wakenya hamna uwezo wa kushindana na Sisi ma superpower.
MY TAKE
Wakunya wameanza visa!
very true BruhNguvu ya safaru haina uhusiano wowote na nguvu ya uchumi wa nchi husika. Hata Ethiopia ina sarafu yenye nguvu kushinda Japan lakini hio haimaanishi kwamba uchumi wa Ethiopia ni mkubwa kushinda uchumi wa Japan. Vile vile safaru ya Kenya ina nguvu sawia na ya Japan yaani 1 to 1 ratio ( shilingi moja ya Kenya ni sawia na yen moja ya Japan) lakini hio haina maana kwamba uchumi wa Kenya unatoshana na uchumi wa Japan. Ni kawaida watu wasiolewa mambo ya uchumi kufikiri kwamba nguvu ya safaru ya nchi husika ina uhusiano mkubwa na ukubwa wa uchumi. Nchi za bara Asia huwa zinapunguza nguvu ya sarafu zao ili kufanya exports zao kuwa more competitive.
Pilots mtatowa wapi nyie malazy au mnadhani kutrain pilots ni kama kutrain watu wa kuosha choo? Kutrain pilots kunachukua miaka kadhaa na ni gharama kubwa ajabu.





umekosa point kiasi hiki


ni kishada sana huyo jamaaAnaita Watanzania "malazy" halafu hapo hapo anashangaa ATCL kwenda kuimaliza kq!![]()
karibu tena ,zuwenaMagu Alikukosea nini Maana Unachuki binafsi hata Hayupo Duniani
Nafuatilia sana Comment zako humu
yaani we jamaa umejawa na Ujuaji mwingi sana Pia chuki
Magufuli Alisha pumzika Hata umchukie Vipi haita Saidia
Sisi ndiyo babaHuu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.





mkuu kaburi haliimhitaji mbwembwe,kuna mda tuachane na maada zisizo na tija,Tatizo unakuja na negative mentality unashindwa kuona point. Mi naongelea kumuenzi inavyopaswa! Hiyo mausoleum iliyojengwa haijakaa vizuri! hamna chuki hapa!
BTW huwezi kunilazimisha kumpenda unayempenda kila mtu ana opinion yake though opinion yangu kwenye hii nyumba ya kaburi la Magufuli ililenga kujenga.
This is Kenyatta's mausoleum
![]()
Tom Moboya's mausoleum
![]()
Oginga Odinga's mausoleum
![]()
Nyerere's mausoleum
![]()
Nkrumah's mausoleum
![]()
Mandela's Graveyard
VS
Magufuli's mausoleum
![]()
MY TAKE
Well wacha niambiwe namchukia ila that thing for Magufuli is ugly! No creativity!
So baada ya kuambiwa ukweli imebidi uwe mpole!very true Bruh
safi sanaNaona wamachinga taratibu wameanza kuvunja vibanda vyao pale kariakoo pasipo shuruti, baba yao hayupo tena, ofcz mm ni mmoja wa watu waliokuwa wanapinga huu upumbavu. Tunajenga infrastructures za gharama kubwa ili miji yetu ipendeze, unajua miji yenye kupendeza co tu inaleta faraja na kuongeza umri wa kuishi lkn pia inapunguza ajali za kizembe, imagine sidewalks zote zina vibanda zen pedestrian wanapita on road ni upumbavu, kwahili nasema hongera Mama kama Mama.View attachment 1973163View attachment 1973164View attachment 1973165View attachment 1973166View attachment 1973167View attachment 1973168
Wosia uheshimiwe tafadhali!constructive criticism haikubaliki humu ndani kikisemwa kitu watu hurukia 'chuki'! Aisee sasa kusema burial place ya Magufuli haina creativity imekaaa ugly na nimetoa comparison kwa other mausoleum walizozikwa viongozi inahusiana vp na chuki!?