Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

First World countries sio utajiri wa pesa pekee wacha ujinga wewe, wacha kutafuta definition za vichochoroni.

Qatar inaongoza duniani kwa kuwa na GDP per Capita kubwa pekee, lakini Mambo mengine yote yenye kufanya nchi kuwa first World hayapo, Human Development ya Qatar ipo chini Sana, Literacy rate na demokrasia vyote vinachangia nchi kuitwa developed country, wachana na definition za vichochoroni
Kilaza tena 😂 😂 😂 😂 😂 , kaka si ufanye utafiti kabla ya kukurupuka 😂 😂 😂., Qatar has one of the highest human development index in the world, unatuambia nini wewe.., mmezoea kudhalilisha kila kitu, ona sasa., yaani unalazimisha tu ili uonekane umejibu, idiocy on steroids😂 😂 😂 Qatar is a developed country, and is in the first world category., nionyeshe sehemu imesema literacy rate na democracy kama kigezo.., infact Qatar has no issue with such u ignorant., next time try and do thorough research wacha kiherehere mlio nayo., kujifanya mjuaji kumbe empty headed 😂 😂 😂 😂
 
Kuna wataalamu wengi tuu wanaopinga hizi chanjo za mRNA.

Umejiuliza kwa nini WHO bado wanafanya review ya Sputnik (Russia) na Novavax (US) lakini zile za mRNA walizi approve chap chap?

Hata Tanzania kuna yule mama mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza aliliongelea hili la mRNA pale TBC.

Tatizo wataalamu wengi wananyamazishwa. Watu wakihoji wanashambuliwa, eti "follow the science" which one? Political? Wewe hujiulizi tuu kwanini hawataki hata kufanya serology test? Yaani leo immunology imekuwa redefined kirahisi rahisi tuu, bila hata ya paper yoyote?
Mkuu uko sahihi kuihukumu na ni sawa kabisa kujipa muda kuitathmini maana hizo side effects zote bado ni za muda tu na kwa wachache unawezakuta ni muda wao umefika wakachukulia kuwa ni vaccine imewasababishia mfano halisi ni mdingi moja miaka tano iliyopita alipoteza nguvu zake za kiume from no where bila tatizo lolote la kiafya kati ya yanayojulikana kusababisha hali hizo. Sasa huyo mzee ingemtokea baada ya chanjo angesema chanjo ndio sababu.
Chanjo kama ya polio kama sikosei ndio iliyosababisha matatizo makubwa sana ya kuparalyze watoto wengi sana na wengine kufa kabisa ila bado watu walichomwa. Mimi nadhani athari za kuogofya hatujaziona bado ingawa tokea miaka ya 2004s sijasikia ushuhuda hasa tunaouhofia wa kualter dna. So mpaka sasa in my view ni safe tena ukilinganisha na viral vaccine zote zilizowahi kutokea. Swala ni kusubiria long term side effects zireportiwe maana swala la kucheza na immunity sio zuri kabisa
 
Siyo kweli, kwenye corona hawaulizi, tena walienda mbali (mwanzoni mwa mwaka) kusema antibodies zinapungua haraka. Cha kushangaza studies za sasa kama ile ya Israel na hata UK zinaonesha watu waliopata corona wana kiasi kikubwa cha antibodies, mwaka mmoja baada ya kuugua. Wakati wale waliochanja antibodies zinaisha baada ya miezi michache (ndiyo sababu ya kuletwa "boosters")

Naona hunisomi vizuri.

Nilichohoji ni kwa nini hawaruhusu antibody test, ili wale waliopata corona watumie test results hizo kuonesha wanakinga badala ya kuchanja. Sababu ya chanjo si ni kuwa na kinga? Sasa kama mtu teyari anakinga chanjo ya nini?

Tafiti zilizofanywa Israel, nchi ambayo ina asilimia kubwa ya waliochanjwa, zimeonesha kuwa wale waliopata corona (natural immunity) wanauwezo wa kinga mara 13 kuliko wale waliochanjwa.

Hayo ni maneno yako ila CDC ambao ndiyo wanapigia debe chanjo wanasema waliopata corona wanaweza pata strong side effects.

Unafikiri ni kwa nini huwezi kushtaki kama utapata matatizo baada ya chanjo, hasa kwa kuwa chanjo ni "salama".
Dah! hii naifanisha na onyo la sigara 😀
 
mimi ndiyo kiboko chako, leta nyoko nakutandika na facts unatapatapa na vijimaneno tu kama kawaida yako kilaza., 😂 😂 😂
Huna fact mzee wangu, we unajifurahishaga tu .. leta tena tushindanishe west land CBD 😂😂😂 na Ubungo tuone ipi inastahili kuwa CBD, west land inapigwa hands down
 
Huna fact mzee wangu, we unajifurahishaga tu .. leta tena tushindanishe west land CBD 😂😂😂 na Ubungo tuone ipi inastahili kuwa CBD, west land inapigwa hands down
Weka ubungo yako hapa..., am here
 
Hauoni aibu kulinganisha hivyo vitu viwili.? CBD ya gorofa mbili.. 😂😂😂 size yake hii apa 👇 ubungo na haitoboi.. n guess what this is 10km away from CBD View attachment 1965172View attachment 1965173View attachment 1965179

Ubungo eti 😛 😛 😂 😂 😂
2954653_2843504_2AE90E62-66D5-4D3A-AE04-8074EDF1A245.jpeg

2954652_E_bVSlnXMAAN8aN.jpeg
 
Utaingizwa labda wewe..Onyesha Rais alipolazimishwa kuchukua chanjo kwa mkopo.

Misukule ya mwendazake mna matatizo Sana.
Iwe kwa mkopo au tunanunua maana dozi moja thamani yake ni sh50000 kwa sasa baada ya muda mfupi thamani itakuwa hata sh10000
 
Wanawekwa juu interms of GDP ushuzi, kuna tofauti kati ya maendeleo ya GDP na maendeleo kwa ujumla wake, hizo figures mara nyingi huwa hazi reflect uhalisia, ndiyo haya tunayoyaona ya Tz na Kenya.
Gdp ya wenyewe wenye kusomba rasilimali zao za mafuta ,ni kama kenya gdp yao 80%inamilikiwa na mzungu
 
Edo kumwembe alipoenda Nigeria kwenye ile game ya Yanga alishangaa sana maisha ya Nigeria, ni uvundo kushoto kulia, mazingira ni ya chooni maeneo mengi.

Yani ukimleta mnigeria Tz kwake ni ulaya ndogo, maisha ni hovyo hovyo mazingira uchafu kila kona, alafu wapo wengi mno, mavibanda kila kona, tafuta ile makala ya Edo ipo humu JF.
Oya tutafutie mimi sikuiona
 
Kuna kitu nime notice, ebhn Dar kwa sasa imekuwa inajazwa na foreigners toka mataifa mbalimbali ya Afrika, wapo wengi mno wamejaza apartments pale kkoo, na ndiyo maana apartments zinainuka kila siku pale kkoo, nangojea picha mpya za New kkoo tustue mbwa humu
Hiyo kitu ni kweli kabisa kkoo ndiyo balaa kabisa wageni ni wengi tutakuwa kama south africa wengi wanaishi kinyume na sheria ,kuanzia wakenya waganda nigeria burundi dry rwanda Malawi zambia nk yani ni wengi kweli kweli
 
Kilaza tena , kaka si ufanye utafiti kabla ya kukurupuka ., Qatar has one of the highest human development index in the world, unatuambia nini wewe.., mmezoea kudhalilisha kila kitu, ona sasa., yaani unalazimisha tu ili uonekane umejibu, idiocy on steroids Qatar is a developed country, and is in the first world category., nionyeshe sehemu imesema literacy rate na democracy kama kigezo.., infact Qatar has no issue with such u ignorant., next time try and do thorough research wacha kiherehere mlio nayo., kujifanya mjuaji kumbe empty headed
UN hadi Leo imeiweka Qatar katika kundi la developing countries


Soma hiyo report uone kwanini UN hadi Leo wameiweka Qatar katika kundi la developing Countries

Note:
Kabla ya kujibu post zangu, unapaswa usome kwanza, Mimi sikurupuki Kama wewe, I do my homework earlier before.
 
Hapana, nimeisoma hiyo paper, walichokiongelea ni kuwa wamefanya few clinical trials na waka suggest kuwa tech hiyo inaweza kutumika baadae lakini haijawahi kuwa approved kutumika kwa masses. Ndiyo maana chanjo za Pfizer na Moderna mwanzoni ziliruhusiwa kwa dharula, kama mRNA ingekuwa imewahi kutumika (nje ya trials) wasingehitaji exeption ya dharula kutoka FDA.
Almost vaccines zote against viruses zimetengenezwa kutokana na Genetic materials ya virusi, Hiyo article imezitaja, Sasa unataka nini tena?.
 
Back
Top Bottom