Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata chanjo ya Corona kabla ya kuchanjwa unauliza, hiyo ni kawaida,
Siyo kweli, kwenye corona hawaulizi, tena walienda mbali (mwanzoni mwa mwaka) kusema antibodies zinapungua haraka. Cha kushangaza studies za sasa kama ile ya Israel na hata UK zinaonesha watu waliopata corona wana kiasi kikubwa cha antibodies, mwaka mmoja baada ya kuugua. Wakati wale waliochanja antibodies zinaisha baada ya miezi michache (ndiyo sababu ya kuletwa "boosters")
ila wewe unalazimisha eti kufanyike serological test, Jambo ambalo halijafanyika duniani na halina maana yoyote.
Naona hunisomi vizuri.

Nilichohoji ni kwa nini hawaruhusu antibody test, ili wale waliopata corona watumie test results hizo kuonesha wanakinga badala ya kuchanja. Sababu ya chanjo si ni kuwa na kinga? Sasa kama mtu teyari anakinga chanjo ya nini?
Kama tatizo ni kuepushe hyper immunity reaction, vipi mtu ambaye alishatengeneza antibodies kutokana na kuugua siku za nyuma akipata maambukizi mapya?.
Tafiti zilizofanywa Israel, nchi ambayo ina asilimia kubwa ya waliochanjwa, zimeonesha kuwa wale waliopata corona (natural immunity) wanauwezo wa kinga mara 13 kuliko wale waliochanjwa.
Hakuna contraindication yoyote ya kutompa mtu chanjo kwasababu tu tayari ametengeneza antibodies.
Hayo ni maneno yako ila CDC ambao ndiyo wanapigia debe chanjo wanasema waliopata corona wanaweza pata strong side effects.

Unafikiri ni kwa nini huwezi kushtaki kama utapata matatizo baada ya chanjo, hasa kwa kuwa chanjo ni "salama".
 
Watanzania kwa ushamba wenu huwa mnadhani kukopa ni makosa. Anayekopa kujenga barabara na anayejenga kwa kutumia pesa ya ndani tofauti iko wapi? Mimi sioni tofauti isipokuwa pengine anayekopa atalipa interest on debt baadaye. Lakini hakuna tofauti kubwa kama mnavyofikiri.
Anae kopa siku zote ni mtumwa 😃😃
 
Tanzania kwa ujumla ni nchi nzuri Sana hapa Africa, ukiacha vitu tulivyobarikiwa Kama madini, ardhi yenye rutuba na maziwa makubwa, Nyerere alijenga misingi imara ya umoja, amani, mshikamano, nidhamu na upendo miongoni mwa raia, tunaishi kwa amani na utulivu licha ya kwamba nchi yetu ni kubwa na Kuna makabila mengi. R.I.P JK Nyerere
Nimeipenda post yako mzee
 
Angalia anavyojipa moyo huyu 👇matako

😂😂😂, Njoeni mtembee mjini nyie wapumbavu muone vile dunia ilivyobadilika mwache kukaa porini
Don't say more, utapata ulcers bure, umeumia roho ya kutosha, huu 👇 ndio mji ulio badilika eti, sawa kaka, tulia wacha machungu, nimekutoa kamasi kweli hadi matusi yakatoka 😂 😂 😂 , relax 😂 😂 😂 😂 😂 .,
1633497480288.jpeg

1633497519477.png

1633497583995.jpeg

1633497534856.jpeg
 
Mdomo mwingi while ground hakuna kitu 😂😂😂.. punguani wewe .. hii inamaanisha kwamba sisi tunajiweza, na ndio mana tunajenga infrastructure za maana, unajua ni pesa ngapi tunaingiza/tutaingiza kupitia hiz miradi bro.? Sisi ni superior ukilinganisha na nyie ,usiitaje SA,Egypt na Nigeria wao wako vizur zaidi na miradi kama yetu wakonayo pia.. nyie wengine ni uchumi uchwara tu
Revenue ya hiyo taifa superior??., a rhetoric question, please don't 😂 😂 😂 😂 ,kuwa na siku njema leo kaka.,
 
Wanawekwa juu interms of GDP ushuzi, kuna tofauti kati ya maendeleo ya GDP na maendeleo kwa ujumla wake, hizo figures mara nyingi huwa hazi reflect uhalisia, ndiyo haya tunayoyaona ya Tz na Kenya.
bro, not Tz na Kenya at all, zote are in the same bracket, Tz is even worse usijitekenye., Tz with a GDP 0f $65B na iko na watu fukara wa kutupwa kwa wingi, population kubwa pato kidogo, tofauti iko wapi na Nigeria? Elewa Tanzania, Nigeria, Angola, Ghana, Kenya na SA are in the same bracket as far as GDP is concerned in relation na standards za raiya wake ilivyo, usijaribu kujikweza wewe team Man Useless., ungesema nikama tu kuweka Nigeria vs Mauritius, ama Kenya na Seychelles or Botswana, hizi taifa ndogo flourish kisa small population in relation to the size of GDP,.., uwezi kulinganisha China na Singapore or Qatar., Singapore and Qatar are first world countries, China ni developing, na ni upper middle income., licha ya GDP yao kubwa na ya pili duniani..., jifunze economics, wacha kukurupuka kiushabiki ukitetea Tanzania fukara, jikubalini tu sio dhambi.,
 
Elewa kuna real GDP na fake GDP ya makaratasi
 
Back
Top Bottom