Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Hapana, nimeisoma hiyo paper, walichokiongelea ni kuwa wamefanya few clinical trials na waka suggest kuwa tech hiyo inaweza kutumika baadae lakini haijawahi kuwa approved kutumika kwa masses. Ndiyo maana chanjo za Pfizer na Moderna mwanzoni ziliruhusiwa kwa dharula, kama mRNA ingekuwa imewahi kutumika (nje ya trials) wasingehitaji exeption ya dharula kutoka FDA.Ulitaka nikutajie vaccine Moja tu iliyotengenzwa kutokana na mRNA, nimekutajia Sasa unataka kubadilisha goli sio?.
![]()

vs westlands pekee, kazi kwisha..,

