Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Haha, wewe jamaa Peleka story zako kwingine, na ukumbuke ni hiari ya mtu so wewe ka hujiski, tulia na uache kusambaza false info usizokuwa na concrete evidence nazo
Haha, wewe jamaa Peleka story zako kwingine, na ukumbuke ni hiari ya mtu so wewe ka hujiski, tulia na uache kusambaza false info usizokuwa na concrete evidence nazo
Wee town ice... Ndo mnyama gani huyo? 😂 😂 😂 😂 Wazee wa kujua kila kitu! 😁Pamoja na kwamba Nirobi inaweza kuonekana imeendelea kimtazamo, mpangilio n.k, lakin Daresalaam sisi ni matajir Sana wa mambo mengi kwa mfano:-
Watu wa Nirobi Wana roho mbaya.
Ukipotea mtaa, ukamuuliza mkenya, majibu yake.....itakubidi unywe maji kuyaelewa.
Hawajui kusema samahan wala Asante. Mfano, mtanzania akienda dukani kununua sukari na hela cash. Pamoja na kwamba kanunua kwa hela yake cash, lakin bado wakati anaondoka dukan utasikia anasema Asante. Mkenya hawezi kushukuru. Hii dalili ya roho mbaya.
Mtu wa Dar kama anataka kuongea na wewe, kwanza atakusalimia, pili atasema samahan naomba uje tuongee kidogo. Lakin mtu wa Nirobi Kama anataka kusema na wewe, anakuita kwa comand. Utasikia...John.. ukuje mala moja hapa... Yaan utadhan ni ugonvi. Hii dalili ya kutokuwa na kamoyo ka ubinadam
Nirobi police wakikukamata hauna kitambulisho, utajuta.., hapa bongo dar si police si raia mnapishana kama wanafamilia tu hakuna wa kukuuliza mwenzie ID. Huu ni udhibitisho mkubwa kwamba nirobi hawaja endelea.......
Traffic police wa Nairobi, muda wote wanashinda wamebeba mibunduki barabaran as if Kama madereva wao ni machiz au magaidi mpaka washinde na mabunduki mabegan. Ila hapa bongo kwetu, traffic police habebi bunduki, anabeba machine tu ya fain. Hii ni udhibitisho tosha watu wa bongo ni wastaarabu na wameendelea na kwa asilimia kubwa wanajiongoza....
Nirobi wanaruhusu biashara ya Mirungi yenye kuleta madhara makubwa kwa jamii. Lakin hapa bongo Mirungi hairuhusiwi. Hii ni udhibitisho tosha kwamba Nirobi ni maskin tena Sana, wana okoteza vipesa ata vya madawa ya kulevya hili kusukuma siku bila kujali maisha ya vijana wao...
Nirobi Kuna baadhi ya guest house ukilala usiku unalipia, mchana unalipia n.k. lakin apa bongo ikiingia guest house asubuh mfano saa tatu, unashinda, unalala unalipa hela mala moja....., Hii ni udhibitisho kwamba wabongo ni wakarim Sana.
Kiswahili Cha Nirobi kibovuuuu, wee town Ice ya abiria eti wanaita MATATU....
Ngoja nipose kwanza....
Unataka kusema National Institutes of Health walioamua kufanya uchunguzi baada ya kuongezaka taarifa kuwa kuna wanawake wanapata matatizo za hedhi baada ya chanjo ni "false info"?Haha, wewe jamaa Peleka story zako kwingine, na ukumbuke ni hiari ya mtu so wewe ka hujuski, tulia na uache kusambaza false info usizokuwa na concrete evidence nazo
Ugandalazima motamonchoka. tumekuja kubanja na mbogi genje.
kericho1.
View attachment 1964705View attachment 1964729View attachment 1964712View attachment 1964710View attachment 1964732View attachment 1964713View attachment 1964708View attachment 1964716






ata usiseme Uganda,.. ungesema hii ni MbeyaUganda![]()
Hahahaha, unachekesha mkuu, inaonekana akili yako ni kubwa kuliko dunia nzima walikubali kuchanjwa, wataalamu wote duniani waliokubali kutumika kwa chanjo hawana wajualo na unawazidi wewe kwa akiliUnaongelea hao WHO wanaopokea pesa za Bill Gate aliyepeleka chanjo kule India zilizowafanya wanawake kuwa tasa? Hao WHO waliosema Tanzania kuna Zika? Ndugu yangu hii dunia ni zaidi ya unavyoiona.
Hao WHO na wizara ya Afya ni binadamu wanaoweza kusurutishwa kwa namna moja ama nyingine, siyo lazima wawe sahihi. Hivi unafikiri ni kwa nini wanataka watu wapate chanjo hata kama wana antibodies?Hiyo ni sayansi ya wapi? Mbona wataalamu hao hao wanashauri kutopata chanjo ya polio kama mtu alishaugua na kupona. Hiyo ni sayansi ya wapi inayokataa natural immunity?
Chanjo huwa zinafanyiwa majaribio kwa miaka si chini ya kumi.
Dawa za malaria (siyo chanjo) zimepitia nyia zote za kitaalamu kabla ya kuruhusiwa kutumika kwa wengi, hizi chanjo za mRNA zimeaanza kutumika kwa binadamu wote mwishoni mwa mwaka jana, na hii teknolojia hapo awali ilikatazwa kutumika kwa binadamu. Na sasa hivi huku waliko zitengeneza madhara yake yameshaanza kuonekana, mfano myocarditis (inflammation of the heart muscle), wanawake pia wameonesha dalili za kukosa hedhi, kuwa na hedhi nzito pamoja na hedhi ya kubadilika badilika n.k



Hili ndio tatizo la Africa, too much know, nothing worksConspiracy theorists hamtoisha duniani!![]()
![]()
![]()
... Poleni aisee
Kuna wataalamu wengi tuu wanaopinga hizi chanjo za mRNA.Hahahaha, unachekesha mkuu, inaonekana akili yako ni kubwa kuliko dunia nzima walikubali kuchanjwa, wataalamu wote duniani waliokubali kutumika kwa chanjo hawana wajualo na unawazidi wewe kwa akili![]()
Hizi data wee Kama unashinda state house au una maisha Kama ya state house, huwezi kufaham mambo haya. Tunajua sisi wazee wa kujichanganya kitaaaaNipe mfano na price list ya guest houses za Nairobi unazolipia usiku tena mchana unalipia tena. Usually ni 24hrs per single pay, hiyo yako itakuwa ya kwanza tangu nzaliwe kuiskia! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Huyo siyo traffic police, wa kwetu wanavaaa uniform nyeupe.....Mnawaona 'wanafamilia' wa Tz walivyoendelea??? 😂 😂 😂 😂 😂 Kuwa desperate ni ugonjwa mbaya aisee!
Kaka, haya Mambo Kuna watu waliokabidhiwa majukumu na mamlaka lazima tuheshimu hilo, kwanini kuingilia vitu ambavyo huna weledi navyo?, Kujua Mambo machache katika hilo eneo haikupi uhalali wa kuzungumza Kama mtaalamu.Kuna wataalamu wengi tuu wanaopinga hizi chanjo za mRNA.
Umejiuliza kwa nini WHO bado wanafanya review ya Sputnik (Russia) na Novavax (US) lakini zile za mRNA walizi approve chap chap?
Hata Tanzania kuna yule mama mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza aliliongelea hili la mRNA pale TBC, tatizo wataalamu wengi wananyamazishwa. Watu wakihoji wanashambuliwa, eti "follow the science" which one? Political? . Wewe hujiulizi tuu kwanini hawataki hata kufanya serology test? Yaani leo immunology imekuwa redefined kirahisi rahisi tuu, bila hata ya paper yoyote?
Lazima watu wenye akili wahoji wakiona mambo hayaendi sawa, survival rate ya Corona ni zaidi ya 99%, hiyo nguvu ya kulazimisha watu wachanje inatoka wapi?Kaka, haya Mambo Kuna watu waliokabidhiwa majukumu na mamlaka lazima tuheshimu hilo, kwanini kuingilia vitu ambavyo huna weledi navyo?, Kujua Mambo machache katika hilo eneo haikupi uhalali wa kuzungumza Kama mtaalamu.
Nilichosema ni wao kukataza madaktari kufanya serology test kutumika kama uthibitisho wa kinga.1)Ni chanjo ipi duniani iliyotolewa baada ya kufanya serological test?, hivi unajua gharama ya kufanya serological test Moja?, hivi ujajua ni pesa kiasi gani itatumika na muda gani kuwamaliza watanzania wote?
Si kweli, kwenye chanjo (m.f polio) huwa wanauliza kama ulishawahi kuugua, hii ni kupunguza uwezekano wa kuja kuwa na hyperactive immune system.2)Duniani kote chanjo zote hutolewa kwa watu wote bila kujali kwamba ni sero-positive au sero-negative, hilo unalotaka wewe limeshafanyika wapi?.
Ha ha, nitajie chanjo moja tuu ya mRNA iliyowahi kutumika kwa binadamu wengi kabla ya hizi za corona.3)Habari ya mRNA, huko inaonekana huna unalojua unajaribu kupapasa tu, haina uhusiano wowote na tunachozungumza. Chanjo inaweza kutengezwa kwa kutumia ama
1)Genetic material ya Virus(mRNA)
Hizi hazina tatizo zimetumika kwa miaka zaidi ya hamsini.2) Outermost cover of virus
3)Kirusi kizima kilichovunjwa nguvu(attinuated virus)
Kwa hiyo wakiweka nanoparticles na mercury zinazoganda kwenye ovary za wanawake wewe huoni shida?Haijalishi ni material gani yametumika, lengo ni kuamsha kinga ya mwili,
Ni kwasababu genetic material inaendelea kizazi hadi kizazi, kama wangechagua watu wachache wamajaribio, haina shida lakini watu wote, hapana.Sasa wewe kutumika kwa Genetic material kunakupa shida gani,
Really, leta paper tuisome.tena chanjo zilizotengenezwa kwa kutumia Genetic materials ni salama zaidi kuliko zilizotumia "Live viruses".
Jibu swali langu kwanza, tangu lini natural immunity imekuwa haiaminiki?Kaka wacha kuchezea "professions za watu, Baki kwenye eneo lako utaeleweka na kufanya vizuri zaidi, Mambo ya Afya waachie WHO na Wizara ya Afya tafadhali.
Tony, tatizo kubwa linaloikumba dunia kwa sasa, Karibia nchi zote, hata nchi zilizoendelea ni mzigo wa madeni, Greece, Spain, Ureno, zinasumbuliwa na mzigo wa madeni hadi wanaomba kusaidiwa na wenzao wa EU.Watanzania kwa ushamba wenu huwa mnadhani kukopa ni makosa. Anayekopa kujenga barabara na anayejenga kwa kutumia pesa ya ndani tofauti iko wapi? Mimi sioni tofauti isipokuwa pengine anayekopa atalipa interest on debt baadaye. Lakini hakuna tofauti kubwa kama mnavyofikiri.
Waswahili tunasema, "cha mtu mavi, ukikiona kiteme mate". Tofauti ya pesa ya kukopa nje kama hiyo barabara yenu ni kuwa nguzo za uchumi kama bandari ya Mombasa zinakuwa rehani.Watanzania kwa ushamba wenu huwa mnadhani kukopa ni makosa. Anayekopa kujenga barabara na anayejenga kwa kutumia pesa ya ndani tofauti iko wapi? Mimi sioni tofauti isipokuwa pengine anayekopa atalipa interest on debt baadaye. Lakini hakuna tofauti kubwa kama mnavyofikiri.
Taja ni ugonjwa upi duniani uliotokomezwa kwa "hard immunity pekee?"Lazima watu wenye akili wahoji wakiona mambo hayaendi sawa, survival rate ya Corona ni zaidi ya 99%, hiyo nguvu ya kulazimisha watu inatoka wapi?
Nilichosema ni wao kukataza madaktari kufanya serology test kutumika kama uthibitisho wa kinga.
Si kweli, kwenye chanjo (m.f polio) huwa wanauliza kama ulishawahi kuugua, hii ni kupunguza uwezekano wa kuja kuwa na hyperactive immune system.
Ha ha, nitajie chanjo moja tuu ya mRNA iliyowahi kutumika kwa binadamu wengi kabla ya hizi za corona.
Hizi hazina tatizo zimetumika kwa miaka zaidi ya hamsini.
Kwa hiyo wakiweka nanoparticles na mercury zinazoganda kwenye ovary za wanawake wewe huoni shida?
Ni kwasababu genetic material inaendelea kizazi hadi kizazi, kama wangechagua watu wachache wamajaribio, haina shida lakini watu wote, hapana.
Really, leta paper tuisome.
Jibu swali langu kwanza, tangu lini natural immunity imekuwa haiaminiki?
Sasa mbona unaniuliza swali kabla ya kunijibu swali langu hapo juu? Wewe umedai kuwa zipo chanjo za mRNA, nikakuuliza nitajie chanjo moja tuu ya mRNA kabla ya hizi za corona, naona unaruka ruka tuu.Taja ni ugonjwa upi duniani uliotokomezwa kwa "hard immunity pekee?"
Lete ushahidi, "Clinical evidence" iliyothibitisha kwamba chanjo zenye kutumia "Genetic materials" zimesababisha madhara, taja hayo madhara.
Kuhusu chanjo ya polio kuulizwa Kama ulishawahi kuugua kabla hujachomwa sindano, hata chanjo ya Corona kabla ya kuchanjwa unauliza, hiyo ni kawaida, ila wewe unalazimisha eti kufanyike serological test, Jambo ambalo halijafanyika duniani na halina maana yoyote.Lazima watu wenye akili wahoji wakiona mambo hayaendi sawa, survival rate ya Corona ni zaidi ya 99%, hiyo nguvu ya kulazimisha watu inatoka wapi?
Nilichosema ni wao kukataza madaktari kufanya serology test kutumika kama uthibitisho wa kinga.
Si kweli, kwenye chanjo (m.f polio) huwa wanauliza kama ulishawahi kuugua, hii ni kupunguza uwezekano wa kuja kuwa na hyperactive immune system.
Ha ha, nitajie chanjo moja tuu ya mRNA iliyowahi kutumika kwa binadamu wengi kabla ya hizi za corona.
Hizi hazina tatizo zimetumika kwa miaka zaidi ya hamsini.
Kwa hiyo wakiweka nanoparticles na mercury zinazoganda kwenye ovary za wanawake wewe huoni shida?
Ni kwasababu genetic material inaendelea kizazi hadi kizazi, kama wangechagua watu wachache wamajaribio, haina shida lakini watu wote, hapana.
Really, leta paper tuisome.
Jibu swali langu kwanza, tangu lini natural immunity imekuwa haiaminiki?