Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnasema mnakusanya kodi mara 2 yetu wakati vitu simpo kama hvi vinawapiga chengaa

VIDEO - New Locomotives for Tanzania Railways (Metre Gauge)​

Information based on brochure provided by SMH Rail:

Future Operator : Tanzania Railways Corporation
Engine : GE 7FDL 12 EFI
Horsepower : 3300HP
Gauge : Metre Gauge
Axle Load : 18.5T
Design Speed : 120km/h
.

cc: Geza Ulole coodip1 The best 007 WAKUDAMSH

Mjadala UMEKWISHA!

Kenya SGR Locomotives VS Tanzania (Metre Gauge) Locomotives
Tanzania (Metre Gauge) Locomotives

View attachment 1958532

cc: Geza Ulole coodip1 The best 007 WAKUDAMSH

Ebu kuenii serious
 
Mwishowe mnaenda kununua mitreni ina vichwa kama lile balale kubwa lina rangi kama ya jeshi hvi
 
Huko wapi wakati hata mwaka nanusu tu unatosha kupata hakika ya chanjo tena kwa bei nafuu!!!...wazungu wanajua chanjo itapoteza soko muda mchache baada ya wao kumaliza kuchanja hivyo bei itapungua kwa zaidi ya asilimia 80% hivyo wanatuingiza kwenye mikopo ya kutupatia chanjo kwa bei hii kubwa ili wapate faida wakati chanjo imeshuka bei ,shika sana haya maneno yangu ,ndiyo maana mama samia analazimishwa kuchukua chanjo wakati huu hata kwa mkopo
Utaingizwa labda wewe..Onyesha Rais alipolazimishwa kuchukua chanjo kwa mkopo.

Misukule ya mwendazake mna matatizo Sana.
 
Nyie ndio mnatoka porini, mambo mengi tulifanya, na bado tunaendelea, nyie bado mnajenga miaka nenda miaka rudi, miradi haikwishi, expressway itakamilika mbele ya miradi mingi ya Tanzania., sitashangaa serikali ya tanzania uikianza ku sign mikataba ya ppp hivi karibuni, nilisoma kwenye gazeti lenyu sometime this year...,
Mmefanya nini kabla yetu embu ni kupeleke kwenye sector muhimu tuu mmeshawahi kuwa na electric sgr kabla yetu? Mmeshawahi kuwa na brt kabla yetu, mmeshawahi kuwa na cable stayed bridge kabla yetu nijibu tuu hayo machache kwanza ndio tuendelee amasivyo naogopa nisiwe napoteza muda na arguments za kishamba.
 
Zako ni hizo tu, unadhihiridha ni uongo na upuuzi kiasi gani ukonao, eti upuuzi wa battle ya vipicha 😂😂😂, kwahyo unataka tuende na battle ya maandishi mnayoandika wenyewe.? Unajiskia lakini.? Nani Kati ya mimi na wewe ni idiot.? Nikuulize humu tunashindanisha maneno na maandishi au tunashindanisha vitu vinavyoonekana kupitia picha na video.? Usitake nikudharu, rudi kwenye mstari leta hoja..
wewe ni mpuzi kweli., kwenye orodha ya elimu ya vyuo vikuu Africa hampatikani ata top 20., it's not about mere words or pictures u idiot, there are many factors to verify superiority of a thing.., infact video hampendi nyie, vuipicha mnaweka kiu propaganda tu., nimewafumania sana wewe jipe shughli hauna lolote la kuniambia wewe.,
 
Hiyo elimu imewasaidia nini? Mbona hamna tofauti yoyote na nchi zingine za Africa tena mpo ovyo kweli kweli.

Njaa bado inawasumbua karne hii ya 21.

Maghorofa yanaaanguka ovyo kutokana na ujenzi wa ovyo.
Bado mnabaguana kisa makabila.

Mbona mnasainishwa mikataba ya ovyo na wachina.

Yaani tofauti "yenyu" na kondoo ni harufu tu.
 
Kenya sio Tanzania eti jubilee itumie mtu kueneza propaganda, with a liberal media na watu who have independent mindsets kwa tweeter propaganda haina maisha Kenya., hatuna uzalendo wa kijinga kama watanzania., eti mtu akisema ukweli ama mabaya ya taifa lake yeye ataambiwa sio mzalendo, upuzi mlio nayo nyinyi ni wa kipekee.,
Liberal media gani inashindwa kufunua wizi unaofanywa na viongozi wenu wakiongozwa na Kenyatta Family?
 
Nyie ndio mnatoka porini, mambo mengi tulifanya, na bado tunaendelea, nyie bado mnajenga miaka nenda miaka rudi, miradi haikwishi, expressway itakamilika mbele ya miradi mingi ya Tanzania., sitashangaa serikali ya tanzania uikianza ku sign mikataba ya ppp hivi karibuni, nilisoma kwenye gazeti lenyu sometime this year...,
Sisi serikali ndio inajenga, ninyi matajiri ndio wanajenga?
 
Mmefanya nini kabla yetu embu ni kupeleke kwenye sector muhimu tuu mmeshawahi kuwa na electric sgr kabla yetu? Mmeshawahi kuwa na brt kabla yetu, mmeshawahi kuwa na cable stayed bridge kabla yetu nijibu tuu hayo machache kwanza ndio tuendelee amasivyo naogopa nisiwe napoteza muda na arguments za kushamba.
Nyie mko na electric sgr kweli ama iko U\C? 😂 😂 ., the point is neither electric nor diesel, it is SGR, a modern rail infrastructure., na inafanya kazi tena double stalk., tuko na superhighway, same function, to ease transport within the city, active faster commuter rail., BRT is just another side of the same coin you idiot., each has it's pros and cons.., two serious Cities, Tz ni one Dar pekee, sehemu nyoote makapuku wa mashambani mmekimbilia ili kutafuta maisha.., KQ inaruka sehemu nyingi duniani, hadi marekani., ATCL imekomaa route za dala dala.., we became lower middle income ahead of you in 2014., nyie mmefika mwaka jana, tena mko kwa mlango, yaani kwa huu mtikiso wa covid19 mmeporomoka hadi LDC tena, ama hauna taarifa 😂 😂 😂 ., we had a 60,000 stadium in 1986., nyie bado mnashangaa shangaa na yenu ya juzi tu, mishamba, zoea maendeleo kaka., kenyan ports income ni karibu mara tatu ya zenu tokea zamani., Kenya has the longest road network in africa outside South Africa, kama unaelewa maana ya network.., n.k. mko way below.
 
Hiyo elimu imewasaidia nini? Mbona hamna tofauti yoyote na nchi zingine za Africa tena mpo ovyo kweli kweli.

Njaa bado inawasumbua karne hii ya 21.

Maghorofa yanaaanguka ovyo kutokana na ujenzi wa ovyo.
Bado mnabaguana kisa makabila.

Mbona mnasainishwa mikataba ya ovyo na wachina.

Yaani tofauti "yenyu" na kondoo ni harufu tu.
cc Tony254
 
Sisi serikali ndio inajenga, ninyi matajiri ndio wanajenga?
Alafu nyie raiya mnabakia kukuwa vibaraka kwa serikali yenu na kwa matajiri waarabu na wahindi, nyie raiya hamna semi, CCM imewashika akili, matajiri wanafaidika na miradi nyie ni kushangilia tu humu, BRT inawafanya mfike kazini kwa waarabu na wahindi kwa haraka na mapema ili wafaidike zaidi, wakati mishahara ni ile ile ya kiutumwa, hamuepuki udfukara, afadhali ubepari, mnabakia kuishi kwa hizo dream houses zenu zilizo tapakaa 90% ya Dar., pengine uwe na kipaji kama Diamond hivi ama wa kujituma kibiashara, mko hovyo
 
Nyie mko na electric sgr kweli ama iko U\C? ., the point is neither electric nor diesel, it is SGR, a modern rail infrastructure., na inafanya kazi tena double stalk., tuko na superhighway, same function, to ease transport within the city, active faster commuter rail., BRT is just another side of the same coin you idiot., each has it's pros and cons.., two serious Cities, Tz ni one Dar pekee, sehemu nyoote makapuku wa mashambani mmekimbilia ili kutafuta maisha.., KQ inaruka sehemu nyingi duniani, hadi marekani., ATCL imekomaa route za dala dala.., we became lower middle income ahead of you in 2014., nyie mmefika mwaka jana, tena mko kwa mlango, yaani kwa huu mtikiso wa covid19 mmeporomoka hadi LDC tena, ama hauna taarifa ., we had a 60,000 stadium in 1986., nyie bado mnashangaa shangaa na yenu ya juzi tu, mishamba, zoea maendeleo kaka., kenyan ports income ni karibu mara tatu ya zenu tokea zamani., Kenya has the longest road network in africa outside South Africa, kama unaelewa maana ya network.., n.k. mko way below.
LDC
JamiiForums-182662525.jpg
 
Nyie ndio mnatoka porini, mambo mengi tulifanya, na bado tunaendelea, nyie bado mnajenga miaka nenda miaka rudi, miradi haikwishi, expressway itakamilika mbele ya miradi mingi ya Tanzania., sitashangaa serikali ya tanzania uikianza ku sign mikataba ya ppp hivi karibuni, nilisoma kwenye gazeti lenyu sometime this year...,
Acha uongo mzee, miradi mingi tunayoitengeneza sisi ni miradi mipya kabisa haijawahi kuwepo EA .. mlishawahi kuwa na BRT hapo kwenu.? Mlishawahi kuwa na cable bridges nyie.? Mlishawahi kuwa na modern bus terminals.? Mlishawahi kuwa na Electric SGR hapo kwenu.? Mlishawahi kuwa na mji wa serikali.? Muache uongo na kujishaua, NAIROBI ndio porini njoeni mjini muone vitu vipya
 
Back
Top Bottom