joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Weka post yangu yoyote niliyopinga chanjo enzi za Magufuli, ukionyesha nitatoka hapa JFWewe ndio ulikuwa unasema chanjo ni mbaya kwa sababu Magufuli alikuwa anasema chanjo ni mbaya. Sasa mama anasema chanjo ni nzuri sasa pia wewe umebadilika na kusema chanjo ni nzuri. Kweli wewe ni CCM damu. CCM wakisema uruke kutoka ghorofa la ishirini nadhani hutasita. Chukua msimamo. Aidha chanjo ni nzuri au ni mbaya amua kitu kimoja usitapetape.



