Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna nchi zikitajwa tu basi vumbi huwa huwa linakuja kichwani, au ukisikia wanajenga infrastructure fulani taswira ya midongo myekundu inakujia kichwani utake usitake
 
New Dar es Salaam, picha mpya za Dar, Wakenya tangu 2017 wapo na picha zilezile

Courtesy: NDINDA

JamiiForums-256046749.jpg
JamiiForums-1047140651.jpg
JamiiForums1334679946.jpg
JamiiForums-1936942043.jpg
JamiiForums1233248872.jpg
JamiiForums-921224819.jpg
 
Kuna kitu nime notice, ebhn Dar kwa sasa imekuwa inajazwa na foreigners toka mataifa mbalimbali ya Afrika, wapo wengi mno wamejaza apartments pale kkoo, na ndiyo maana apartments zinainuka kila siku pale kkoo, nangojea picha mpya za New kkoo tustue mbwa humu
 
Biashara ya apartments kwakweli inalipa sana kwa sasa hapa Tz, wageni kila siku wanajazana, wengine kununua mizigo wengine kwa ajili ya matibabu.
 
Nimefika Alexandria ,na KwaZulu natal ,West Africa nimefika abidjan,Kumasi na Lome. West Africa na Kenya ndugu Moja wa mama mmoja wote mnakunya kwa mifuko ya Rambo 😃

Wanaijeria nitawapa credit kwenye kitu kimoja tuu ambacho ni ujenzi wa nyumba za kuishii, wale wajuba aisee wanajuaa ila mijii yao ni utopolo tuu ,
 
Back
Top Bottom