Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

T-MALL interchange Langata Road
20211002_134748.jpg
20211002_134745.jpg
 
Siyo kweli, kwenye corona hawaulizi, tena walienda mbali (mwanzoni mwa mwaka) kusema antibodies zinapungua haraka. Cha kushangaza studies za sasa kama ile ya Israel na hata UK zinaonesha watu waliopata corona wana kiasi kikubwa cha antibodies, mwaka mmoja baada ya kuugua. Wakati wale waliochanja antibodies zinaisha baada ya miezi michache (ndiyo sababu ya kuletwa "boosters")

Naona hunisomi vizuri.

Nilichohoji ni kwa nini hawaruhusu antibody test, ili wale waliopata corona watumie test results hizo kuonesha wanakinga badala ya kuchanja. Sababu ya chanjo si ni kuwa na kinga? Sasa kama mtu teyari anakinga chanjo ya nini?

Tafiti zilizofanywa Israel, nchi ambayo ina asilimia kubwa ya waliochanjwa, zimeonesha kuwa wale waliopata corona (natural immunity) wanauwezo wa kinga mara 13 kuliko wale waliochanjwa.

Hayo ni maneno yako ila CDC ambao ndiyo wanapigia debe chanjo wanasema waliopata corona wanaweza pata strong side effects.

Unafikiri ni kwa nini huwezi kushtaki kama utapata matatizo baada ya chanjo, hasa kwa kuwa chanjo ni "salama".
Weka ushahidi Kama nilivyoweka kuhusu mRNA hapo juu, wacha kuzungumza maneno matupu, kila unalosema weka link tusome[emoji23][emoji23][emoji23]
 
weka angle zoote., ila ukweli utabakia kuwa hapa[emoji116][emoji116]tu., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382] [emoji382] [emoji382] mbona tuandike kwa mate na wino ipo?
View attachment 1964940
View attachment 1964941
The only picture which you can capture the whole city is this[emoji116][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]..sio kwa uchafu huuu
JamiiForums38820984.jpg
 
weka angle zoote., ila ukweli utabakia kuwa hapa[emoji116][emoji116]tu., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382] [emoji382] [emoji382] mbona tuandike kwa mate na wino ipo?
View attachment 1964940
View attachment 1964941
Even if you act like a crazy, bado ntakudunga sindano tuu....nionyeshe ayo majengo ya juu ... kwenye picha hii.[emoji116]....unaleta pich ya miaka 99 uko[emoji16][emoji16][emoji16]
JamiiForums-1752501780.jpg
 
Kaka, ni wapi walipotaja mRNA vaccine kutumika kwa watu wengi (masses).
Ulitaka nikutajie vaccine Moja tu iliyotengenzwa kutokana na mRNA, nimekutajia Sasa unataka kubadilisha goli sio?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matapishi ata mm nayaona...mzee slam dweller[emoji16][emoji16]...akuna kukuacha mzee wa denial until heart attackView attachment 1965053View attachment 1965056View attachment 1965058View attachment 1965061View attachment 1965067View attachment 1965068
Unapoteza muda bure, hayo yote unajaribu ku post angles tofauti hii hapa 👇 👇 ., nenda kadanganye pengine wa Angola ama Senegal kule wasio ijua Tanzania.,
1633504897473.jpeg

Kisha 90% ya mji ni hivi 👇 👇
1633504998168.jpeg

1633504972615.jpeg

1633504776119.png
 
Nairobi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1964595

Joke's on you.
That's the construction site of 9 residential skyscrapers of 34 floors each.

That small area will have more real skyscrapers than the entire nation of Bongolala.

Construction has already started.

In two years, this one will deliver the knock out punch. Itakuwa game over. We should close this thread.

ngara1.JPG
ngara2.JPG
ngara3.JPG
ngara4.JPG
 
Joke's on you.
That's the construction site of 9 residential skyscrapers of 34 floors each.

That small area will have more real skyscrapers than the entire nation of Bongolala.

Construction has already started.

In two years, this one will deliver the knock out punch. Itakuwa game over. We should close this thread.

View attachment 1965083View attachment 1965084View attachment 1965087View attachment 1965088
Kwani kuna battle hapa? hapa ni fun tu., Dar is slum kazi yake tulimaliza kitambo sana, tulifumania propaganda zao., nikuji enjoy nao tu wakati niko free kama sasa hivi..,
 
bro, not Tz na Kenya at all, zote are in the same bracket, Tz is even worse usijitekenye., Tz with a GDP 0f $65B na iko na watu fukara wa kutupwa kwa wingi, population kubwa pato kidogo, tofauti iko wapi na Nigeria? Elewa Tanzania, Nigeria, Angola, Ghana, Kenya na SA are in the same bracket as far as GDP is concerned in relation na standards za raiya wake ilivyo, usijaribu kujikweza wewe team Man Useless., ungesema nikama tu kuweka Nigeria vs Mauritius, ama Kenya na Seychelles or Botswana, hizi taifa ndogo flourish kisa small population in relation to the size of GDP,.., uwezi kulinganisha China na Singapore or Qatar., Singapore and Qatar are first world countries, China ni developing, na ni upper middle income., licha ya GDP yao kubwa na ya pili duniani..., jifunze economics, wacha kukurupuka kiushabiki ukitetea Tanzania fukara, jikubalini tu sio dhambi.,
Eti uchumi wao ndo halisi, hizi nchi zingine zinapika data haziifikii uchumi wa Tanzania ! Nakuambia JF imejaa watu wajinga kupindukia, hadi masomo haiezi wakomboa
 
weka angle zoote., ila ukweli utabakia kuwa hapa[emoji116][emoji116]tu., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382] [emoji382] [emoji382] mbona tuandike kwa mate na wino ipo?
View attachment 1964940
View attachment 1964941
How can you show all angles in a large city like Dissim[emoji16][emoji16][emoji16][emoji116]embu jaribu nione miujiza yako
 
Back
Top Bottom