Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutana na infrastructure za aina tano ambazo zinapatikana Tanzania tu miongoni mwa nchi zote zilizopo ukanda wa Africa.. Don YF njoo hapa we pumbu.. 👇. . BRT system 2 phases . 2nd phase . Modern bus terminals . . .. hizi ni modern infrastructure ambazo vipo tz tu na Kenya hakuna, sasa nani ni waporini kenya au tz .?

We Jama mjinga Sana! projects are buld for economic impact sio modern or big,,,Sasa unaexpect Tanzania wakijenga cable bridge kubwa Kenya pia inafaa ikuwe na cable brid6 kubwa???and that's why afte using alot of money to build chato international airport sai mnanikia tu mpunga
 
Kabla jogoo hajawika TZ itakuacheni kiuchumi numbers don't lie bila shaka unajua in 1990's we almost depended on you for sufuria's Salt,matches,nk. But today the story is different,Very son tunawaondoa kwenye mashamba yetu ya chai na paper industries cause tumegundua nyie ni Madalali tu sio wamiliki Kama tulivyodhani😀😀tuliamini ni ndugu zetu wanawekaza kumbe ni middlemen the real owner are Whitemen tunawanyang'anya
Ona ulivyo boya., sawa kwa raha zako, dunia ni global village, sijaona misuli ya Tanznia kwa huu uwanja wa dunia, kama mtaendelea kuota Kenya kila uchao na fikra zenu duni, eti sisi ni middlemen wazungu wanamiliki mashamba yenu kupitia Kenya, basi mko na matatizo zaidi nilivyokua nadhania 😂 😂 😂 😂 ., yes we are middlemen, tunanunua mazao yenu kutoka kwa wakulima wenu fukara kwa bei nafuu na kuyauza kwa bei ya dunia, yaani juu zaidi kwingine, inaitwa biashara.,
 
Kutana na infrastructure za aina tano ambazo zinapatikana Tanzania tu miongoni mwa nchi zote zilizopo ukanda wa Africa.. Don YF njoo hapa we pumbu.. 👇. . BRT system 2 phases . 2nd phase . Modern bus terminals . . .. hizi ni modern infrastructure ambazo vipo tz tu na Kenya hakuna, sasa nani ni waporini kenya au tz .?

Having such does not make you above or superior than several countries who doesn't have exactly the same u idiot 😂 😂 😂 😂 😂 na pia zimeongeza revenue kwa taifa kweli?😂 😂 😂 😂., so u think having such u are above Angola? Ghana? SA? Egypt? Nigeria? Kenya? unaona fikra zako sasa? nilikuambia tafuta wa ku argue na yeye dogo, niwache mimi. ,
 
Mdomo mwingi while ground hakuna kitu 😂😂😂.. punguani wewe .. hii inamaanisha kwamba sisi tunajiweza, na ndio mana tunajenga infrastructure za maana, unajua ni pesa ngapi tunaingiza/tutaingiza kupitia hiz miradi bro.? Sisi ni superior ukilinganisha na nyie ,usiitaje SA,Egypt na Nigeria wao wako vizur zaidi na miradi kama yetu wakonayo pia.. nyie wengine ni uchumi uchwara tu
 
Nyie mko na electric sgr kweli ama iko U\C? ., the point is neither electric nor diesel, it is SGR, a modern rail infrastructure., na inafanya kazi tena double stalk., tuko na superhighway, same function, to ease transport within the city, active faster commuter rail., BRT is just another side of the same coin you idiot., each has it's pros and cons.., two serious Cities, Tz ni one Dar pekee, sehemu nyoote makapuku wa mashambani mmekimbilia ili kutafuta maisha.., KQ inaruka sehemu nyingi duniani, hadi marekani., ATCL imekomaa route za dala dala.., we became lower middle income ahead of you in 2014., nyie mmefika mwaka jana, tena mko kwa mlango, yaani kwa huu mtikiso wa covid19 mmeporomoka hadi LDC tena, ama hauna taarifa ., we had a 60,000 stadium in 1986., nyie bado mnashangaa shangaa na yenu ya juzi tu, mishamba, zoea maendeleo kaka., kenyan ports income ni karibu mara tatu ya zenu tokea zamani., Kenya has the longest road network in africa outside South Africa, kama unaelewa maana ya network.., n.k. mko way below.
Umeongea kwa uchungu sana povu kama lote
 
Tuliwaambia
Angalia anavyojipa moyo huyu 👇matako
Having such does not make you above or superior than several countries who doesn't have exactly the same u idiot 😂 😂 😂 😂 😂 na pia zimeongeza revenue kwa taifa kweli?😂 😂 😂 😂., so u think having such u are above Angola? Ghana? SA? Egypt? Nigeria? Kenya? unaona fikra zako sasa? nilikuambia tafuta wa ku argue na yeye dogo, niwache mimi. ,
😂😂😂, Njoeni mtembee mjini nyie wapumbavu muone vile dunia ilivyobadilika mwache kukaa porini
 
Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa dhamana ya kusimamia pesa yetu na kuwekeza katika miradi yenye kuwasaidia wananchi.

Ujenzi wa madaraja, masoko, stand za mabus nchi nzima, BRT na Electric SGR ni mfano tu kuonyesha jinsi gani serikali yetu inavyowajibika, kumbuka vijijini serikali inasambaza maji bure kwa wananchi wote.

Serikali ya Tanzania imejenga miuondombinu ya umwagiliaji maji vijijini yenye uwezo wa kunyweshea hekta laki 8, Kenya ni hekta laki 2 pekee
Embu mtupie picha ya masoko ya wamachinga yanayojengwa hapo mjini kisutu, kijitonyama magomeni etc bila kusahau ilala ndio aone matumizi ya kodi yetu yanaenda wapi
 
Sasa unaona propaganda, kusingizia Kenya eti ndio tatizo la kutoendelea kwenu, nyambaff., weka facts Kenya ilidanganya ulimwengu kuhusu Tanzania! , viongozi wenu wameshindwa kuwaondoa kwenye ufukara wanatafuta pakutokea so wanatumia Kenya kama excuse., kijana chunguza mambo kabla ya kukurupuka leo hii ni dunia imekua global village, with advancements in technology taifa za kishamba kama akina Tanzania mnaonekana sasa, watu wanajua kuna nchi inaitwa Tz, na pia mnaitazama dunia yoote na kuiga yale mnayaona, hayo maendeleo yenu kidogo kwa sasa ni effect ya globolization kwa wingi wala sio eti ni nyinyi la, ni impact la sivyo mngekua mlivyo kua tokea zamani sana..,
Mlima kilimanjaro upo kenya, njoo kenya upande mlima kilimanjaro, njoo kenya uone serengeti unataka lingine?
 
Mdomo mwingi while ground hakuna kitu .. punguani wewe .. hii inamaanisha kwamba sisi tunajiweza, na ndio mana tunajenga infrastructure za maana, unajua ni pesa ngapi tunaingiza/tutaingiza kupitia hiz miradi bro.? Sisi ni superior ukilinganisha na nyie ,usiitaje SA,Egypt na Nigeria wao wako vizur zaidi na miradi kama yetu wakonayo pia.. nyie wengine ni uchumi uchwara tu
Mkuu Nigeria ni propaganda tu haijawahi na haitowahi kuifikia Tz kwa level of development, wao wabaki na GDP ushuzi na ndugu yake wa damu Kenya, but kwenye maendeleo wacha kabisa mkuu.
 
We Jama mjinga Sana! projects are buld for economic impact sio modern or big,,,Sasa unaexpect Tanzania wakijenga cable bridge kubwa Kenya pia inafaa ikuwe na cable brid6 kubwa???and that's why afte using alot of money to build chato international airport sai mnanikia tu mpunga

Without widely private investments and coporations ata mjenge kiwanda ya ndege bado mtanikia tu mpunga😄😄😄
Acha upunguani wewe, kwahiyo unataka kusema hiyo miradi haina economic impact.? 😂😂😂 Au ndio kuchanganyikiwa.? Yani BRT system haina economic impact.? Bus terminals hazina economic impact.? Madaraja tena ndani ya DSM hayana economic impact.? We unafkiria na matako nini.? 😂😂😂.. au umechanganyikiwa.. The best 007 njoo unisaidie kumtukana huyu mpuuzi
 
Back
Top Bottom