Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unaona propaganda, kusingizia Kenya eti ndio tatizo la kutoendelea kwenu, nyambaff., weka facts Kenya ilidanganya ulimwengu kuhusu Tanzania! ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ , viongozi wenu wameshindwa kuwaondoa kwenye ufukara wanatafuta pakutokea so wanatumia Kenya kama excuse., kijana chunguza mambo kabla ya kukurupuka ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ leo hii ni dunia imekua global village, with advancements in technology taifa za kishamba kama akina Tanzania mnaonekana sasa, watu wanajua kuna nchi inaitwa Tz, na pia mnaitazama dunia yoote na kuiga yale mnayaona, hayo maendeleo yenu kidogo kwa sasa ni effect ya globolization kwa wingi wala sio eti ni nyinyi la, ni impact la sivyo mngekua mlivyo kua tokea zamani sana..,
Hoja ya ufukara kwanza ondoa Kenya ufukarani ernomous๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ binti yake Raila alidanganya mchana kweupe kua Oldvai Gorge iko Kenya,kwenye ndege zenu mliutangaza mlima Kilimanjaro Kama uko Kenya thank to Kikwete Regime walipointervene mkaanza kusema karibu Kenya uone mlima Kilimanjaro๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€tukapiga ban waendesha watalii kuja kutalii bure Tz eti wanaleta watalii.Tunaendelea kukaba kila Kona.
 
Hoja ya ufukara kwanza ondoa Kenya ufukarani ernomous๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€pili
mtoto wa Odinga alidanganya mchana kweupe kua Oldvai Gorge iko
Mtoto wa Odinga ni Kenya yote na serikali ya Kenya? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ wakenya walimfokea kwa mitandao., inaweza ikawa hajui hilo., wakenya wengi hawaijui Tanzania vizuri, they hardly follow Tanzanian issues save Diamond na wengine kama yeye na Magufuli pengine ndio alifanya watu wakajua kuna jirani inaitwa Tanzania.., kwa ufukara imedhihirika wazi nyie ni kati ya taifa tatu Africa yoote kwa idadi kubwa ya watu walio fukura wa kutupwa, picha za kibera zisikakudanganye kaka nyie hohe hahe ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ,
 
Mtoto wa Odinga ni Kenya yote na serikali ya Kenya? wakenya walimfokea kwa mitandao., inaweza ikawa hajui hilo., wakenya wengi hawaijui Tanzania vizuri, they hardly follow Tanzanian issues save Diamond na wengine kama yeye na Magufuli pengine ndio alifanya watu wakajua kuna jirani inatitwa Tanzania.., kwa ufukara imedhihirika wazi nyie ni kati ya taifa tatu Africa yoote kwa idadi kubwa ya watu walio fukura wa kutupwa, picha za kibera zisikakudanganye kaka nyie hohe hahe ,
sishangai tanasha Dona alikuja kuzaa na diamond kwaajili ya kutafuta unafuu wa maisha pure LDC
JamiiForums-182662525.jpg
 
Pamoja na kwamba Nirobi inaweza kuonekana imeendelea kimtazamo, mpangilio n.k, lakin Daresalaam sisi ni matajir Sana wa mambo mengi kwa mfano:-

Watu wa Nirobi Wana roho mbaya.
Ukipotea mtaa, ukamuuliza mkenya, majibu yake.....itakubidi unywe maji kuyaelewa.

Hawajui kusema samahan wala Asante. Mfano, mtanzania akienda dukani kununua sukari na hela cash. Pamoja na kwamba kanunua kwa hela yake cash, lakin bado wakati anaondoka dukan utasikia anasema Asante. Mkenya hawezi kushukuru. Hii dalili ya roho mbaya.

Mtu wa Dar kama anataka kuongea na wewe, kwanza atakusalimia, pili atasema samahan naomba uje tuongee kidogo. Lakin mtu wa Nirobi Kama anataka kusema na wewe, anakuita kwa comand. Utasikia...John.. ukuje mala moja hapa... Yaan utadhan ni ugonvi. Hii dalili ya kutokuwa na kamoyo ka ubinadam

Nirobi police wakikukamata hauna kitambulisho, utajuta.., hapa bongo dar si police si raia mnapishana kama wanafamilia tu hakuna wa kukuuliza mwenzie ID. Huu ni udhibitisho mkubwa kwamba nirobi hawaja endelea.......

Traffic police wa Nairobi, muda wote wanashinda wamebeba mibunduki barabaran as if Kama madereva wao ni machiz au magaidi mpaka washinde na mabunduki mabegan. Ila hapa bongo kwetu, traffic police habebi bunduki, anabeba machine tu ya fain. Hii ni udhibitisho tosha watu wa bongo ni wastaarabu na wameendelea na kwa asilimia kubwa wanajiongoza....

Nirobi wanaruhusu biashara ya Mirungi yenye kuleta madhara makubwa kwa jamii. Lakin hapa bongo Mirungi hairuhusiwi. Hii ni udhibitisho tosha kwamba Nirobi ni maskin tena Sana, wana okoteza vipesa ata vya madawa ya kulevya hili kusukuma siku bila kujali maisha ya vijana wao...

Nirobi Kuna baadhi ya guest house ukilala usiku unalipia, mchana unalipia n.k. lakin apa bongo ikiingia guest house asubuh mfano saa tatu, unashinda, unalala unalipa hela mala moja....., Hii ni udhibitisho kwamba wabongo ni wakarim Sana.

Kiswahili Cha Nirobi kibovuuuu, wee town Ice ya abiria eti wanaita MATATU....

Ngoja nipose kwanza....
Sasa hizi tofauti ndio zinafanya Tanzannia iwe bora, inaitwa blind patruiotism, una wivu tu nan nchi yako, hakuna lingine.,
Majibu yako, mbali na fikra zako za kipropaganda

Ghaniann experiance

Hahaha ulikuja kufanya nini Nairobi kama Dar ni better?
 
Mtoto wa Odinga ni Kenya yote na serikali ya Kenya? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ wakenya walimfokea kwa mitandao., inaweza ikawa hajui hilo., wakenya wengi hawaijui Tanzania vizuri, they hardly follow Tanzanian issues save Diamond na wengine kama yeye na Magufuli pengine ndio alifanya watu wakajua kuna jirani inatitwa Tanzania.., kwa ufukara imedhihirika wazi nyie ni kati ya taifa tatu Africa yoote kwa idadi kubwa ya watu walio fukura wa kutupwa, picha za kibera zisikakudanganye kaka nyie hohe hahe ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ,
Kabla jogoo hajawika TZ itakuacheni kiuchumi numbers don't lie bila shaka unajua in 1990's we almost depended on you for sufuria's Salt,matches,nk. But today the story is different,Very son tunawaondoa kwenye mashamba yetu ya chai na paper industries cause tumegundua nyie ni Madalali tu sio wamiliki Kama tulivyodhani๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€tuliamini ni ndugu zetu wanawekaza kumbe ni middlemen the real owner are Whitemen tunawanyang'anya
 
Sasa hizi tofauti ndio zinafanya Tanzannia iwe bora, inaitwa blind patruiotism, una wivu tu nan nchi yako, hakuna lingine.,
Majibu yako, mbali na fikra zako za kipropaganda

Ghaniann experiance

Sawa Kama ni propaganda it's ok, lakin zina ukweli. Kwa mfano kuruhusu Mirungi..... Ndo kuendelea?
 
Hahaha ulikuja kufanya nini Nairobi kama Dar ni better?
Tanzania kwa ujumla ni nchi nzuri Sana hapa Africa, ukiacha vitu tulivyobarikiwa Kama madini, ardhi yenye rutuba na maziwa makubwa, Nyerere alijenga misingi imara ya umoja, amani, mshikamano, nidhamu na upendo miongoni mwa raia, tunaishi kwa amani na utulivu licha ya kwamba nchi yetu ni kubwa na Kuna makabila mengi. R.I.P JK Nyerere
 
Acha uongo mzee, miradi mingi tunayoitengeneza sisi ni miradi mipya kabisa haijawahi kuwepo EA .. mlishawahi kuwa na BRT hapo kwenu.? Mlishawahi kuwa na cable bridges nyie.? Mlishawahi kuwa na modern bus terminals.? Mlishawahi kuwa na Electric SGR hapo kwenu.? Mlishawahi kuwa na mji wa serikali.? Muache uongo na kujishaua, NAIROBI ndio porini njoeni mjini muone vitu vipya
Mji was serikali ndio gani mzee???what is "Modern bus terminals"???
 
Hiyo elimu imewasaidia nini? Mbona hamna tofauti yoyote na nchi zingine za Africa tena mpo ovyo kweli kweli.

Njaa bado inawasumbua karne hii ya 21.

Maghorofa yanaaanguka ovyo kutokana na ujenzi wa ovyo.
Bado mnabaguana kisa makabila.

Mbona mnasainishwa mikataba ya ovyo na wachina.

Yaani tofauti "yenyu" na kondoo ni harufu tu.
 
Hadi Sasa katika hiyo miradi ambayo serikali yenu inajenga kwa pesa ya ndani imeshatoa kiasi gani?
There's nothing like pesa ya ndani bongolala!!!the late magufuli lied to the media that atcl was making alot of profit without any data statement revealed,,but recently I saw mama Samia saying again that that dead airline can was just a loss making one?
 
Kutana na infrastructure za aina tano ambazo zinapatikana Tanzania tu miongoni mwa nchi zote zilizopo ukanda wa Africa.. Don YF njoo hapa we pumbu.. ๐Ÿ‘‡. . BRT system 2 phases . 2nd phase . Modern bus terminals . . .. hizi ni modern infrastructure ambazo vipo tz tu na Kenya hakuna, sasa nani ni waporini kenya au tz .?
 
Acha uongo mzee, miradi mingi tunayoitengeneza sisi ni miradi mipya kabisa haijawahi kuwepo EA .. mlishawahi kuwa na BRT hapo kwenu.? Mlishawahi kuwa na cable bridges nyie.? Mlishawahi kuwa na modern bus terminals.? Mlishawahi kuwa na Electric SGR hapo kwenu.? Mlishawahi kuwa na mji wa serikali.? Muache uongo na kujishaua, NAIROBI ndio porini njoeni mjini muone vitu vipya
Sasa hawa waja hawataki
 
Kutana na infrastructure za aina tano ambazo zinapatikana Tanzania tu miongoni mwa nchi zote zilizopo ukanda wa Africa.. Don YF njoo hapa we pumbu.. . . BRT system 2 phases . 2nd phase . Modern bus terminals . . .. hizi ni modern infrastructure ambazo vipo tz tu na Kenya hakuna, sasa nani ni waporini kenya au tz .?
Tuliwaambia
 
Back
Top Bottom