Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Unaijua ama ni maneno ya kanga tuWestlands gani au kuna nyingine?
The Dark side of Nairobi's Westlands Domain
TheSource254
Oct 5, 2021 2:42 PM
Westlands just as the name suggests is the land on the west of Kenya's capital Nairobi. The lavish hood is located off the busy Nairobi gateway, Waiyaki way, and home of famous Westgate mall, Sarit center and the mall.
A mention of westlands ignites a thought of a high end area that hosts prominent business and personalities.
The area also has apartments and business units for rentals and also boasts if hosting Kenya's leading and regional companies for instance safaricom. Additionally westlands also has a number of high end hotels, with five start status which among many hosts big conferences and international guests.
However besides the appraisals linked to the area, westlands has a huge underlying problems that only it's residents come to terms with.
Scarcity of water in the rich end has affected many homes and offices forcing some to vacate to more dependable places.
Coupling to the water scarcity is poor drainage which has affected the neighborhood. Bursting sewerage systems and overflowing sewerage has coated its occupants a fortune.
If you want to face the wrath of Westlands visit it during rainy seasons, you will appreciate your hood.
View attachment 1964628
Kusanya hivyo vijiji vyote vya Africa vije vipambane na Nairobi pekeeWestlands gani au kuna nyingine?

...CBDWapi evidence ya kwamba ni fisadi na kuwa hela alizoweka au mali alizonunua alitumia hela ya serikali/umma iliyoibwa???Ripoti ya uchunguzi ya pandora imemuumbua kiongozi wenu na familia yake kwa ufisadi na kuficha chapaa nje ya nchi.
Huyu mwamba namfatilia Sana amelala usingizi wa paka wa dukani 😃😃😃😃
Mnawaona 'wanafamilia' wa Tz walivyoendelea??? 😂 😂 😂 😂 😂 Kuwa desperate ni ugonjwa mbaya aisee!Pamoja na kwamba Nirobi inaweza kuonekana imeendelea kimtazamo, mpangilio n.k, lakin Daresalaam sisi ni matajir Sana wa mambo mengi kwa mfano:-
Watu wa Nirobi Wana roho mbaya.
Ukipotea mtaa, ukamuuliza mkenya, majibu yake.....itakubidi unywe maji kuyaelewa.
Hawajui kusema samahan wala Asante. Mfano, mtanzania akienda dukani kununua sukari na hela cash. Pamoja na kwamba kanunua kwa hela yake cash, lakin bado wakati anaondoka dukan utasikia anasema Asante. Mkenya hawezi kushukuru. Hii dalili ya roho mbaya.
Mtu wa Dar kama anataka kuongea na wewe, kwanza atakusalimia, pili atasema samahan naomba uje tuongee kidogo. Lakin mtu wa Nirobi Kama anataka kusema na wewe, anakuita kwa comand. Utasikia...John.. ukuje mala moja hapa... Yaan utadhan ni ugonvi. Hii dalili ya kutokuwa na kamoyo ka ubinadam
Nirobi police wakikukamata hauna kitambulisho, utajuta.., hapa bongo dar si police si raia mnapishana kama wanafamilia tu hakuna wa kukuuliza mwenzie ID. Huu ni udhibitisho mkubwa kwamba nirobi hawaja endelea.......
Traffic police wa Nairobi, muda wote wanashinda wamebeba mibunduki barabaran as if Kama madereva wao ni machiz au magaidi mpaka washinde na mabunduki mabegan. Ila hapa bongo kwetu, traffic police habebi bunduki, anabeba machine tu ya fain. Hii ni udhibitisho tosha watu wa bongo ni wastaarabu na wameendelea na kwa asilimia kubwa wanajiongoza....
Nirobi wanaruhusu biashara ya Mirungi yenye kuleta madhara makubwa kwa jamii. Lakin hapa bongo Mirungi hairuhusiwi. Hii ni udhibitisho tosha kwamba Nirobi ni maskin tena Sana, wana okoteza vipesa ata vya madawa ya kulevya hili kusukuma siku bila kujali maisha ya vijana wao...
Nirobi Kuna baadhi ya guest house ukilala usiku unalipia, mchana unalipia n.k. lakin apa bongo ikiingia guest house asubuh mfano saa tatu, unashinda, unalala unalipa hela mala moja....., Hii ni udhibitisho kwamba wabongo ni wakarim Sana.
Kiswahili Cha Nirobi kibovuuuu, wee town Ice ya abiria eti wanaita MATATU....
Ngoja nipose kwanza....
Hata huko SA, ukitoka mijini, maisha nje ya mijini ni taabu sana asikudanganye mtu.Hao wako vizuri huwezi ku compare.
True!Mkuu Nigeria ni propaganda tu haijawahi na haitowahi kuifikia Tz kwa level of development, wao wabaki na GDP ushuzi na ndugu yake wa damu Kenya, but kwenye maendeleo wacha kabisa mkuu.
Wastaarabu sio, hambebi firearm ya kazi, sasa hizo nchi zilizowapita kwa mbali ndio hawajui ustaarabu ama? 😂 😂 😂 😂 Alafu ujue hamfai hata hizo bunduki, sio kwa utoto huo barabarani nyege zikiwapanda si mtabaka hadi wapita njia??? 😂 😂 😂 😂Pamoja na kwamba Nirobi inaweza kuonekana imeendelea kimtazamo, mpangilio n.k, lakin Daresalaam sisi ni matajir Sana wa mambo mengi kwa mfano:-
Watu wa Nirobi Wana roho mbaya.
Ukipotea mtaa, ukamuuliza mkenya, majibu yake.....itakubidi unywe maji kuyaelewa.
Hawajui kusema samahan wala Asante. Mfano, mtanzania akienda dukani kununua sukari na hela cash. Pamoja na kwamba kanunua kwa hela yake cash, lakin bado wakati anaondoka dukan utasikia anasema Asante. Mkenya hawezi kushukuru. Hii dalili ya roho mbaya.
Mtu wa Dar kama anataka kuongea na wewe, kwanza atakusalimia, pili atasema samahan naomba uje tuongee kidogo. Lakin mtu wa Nirobi Kama anataka kusema na wewe, anakuita kwa comand. Utasikia...John.. ukuje mala moja hapa... Yaan utadhan ni ugonvi. Hii dalili ya kutokuwa na kamoyo ka ubinadam
Nirobi police wakikukamata hauna kitambulisho, utajuta.., hapa bongo dar si police si raia mnapishana kama wanafamilia tu hakuna wa kukuuliza mwenzie ID. Huu ni udhibitisho mkubwa kwamba nirobi hawaja endelea.......
Traffic police wa Nairobi, muda wote wanashinda wamebeba mibunduki barabaran as if Kama madereva wao ni machiz au magaidi mpaka washinde na mabunduki mabegan. Ila hapa bongo kwetu, traffic police habebi bunduki, anabeba machine tu ya fain. Hii ni udhibitisho tosha watu wa bongo ni wastaarabu na wameendelea na kwa asilimia kubwa wanajiongoza....
Nirobi wanaruhusu biashara ya Mirungi yenye kuleta madhara makubwa kwa jamii. Lakin hapa bongo Mirungi hairuhusiwi. Hii ni udhibitisho tosha kwamba Nirobi ni maskin tena Sana, wana okoteza vipesa ata vya madawa ya kulevya hili kusukuma siku bila kujali maisha ya vijana wao...
Nirobi Kuna baadhi ya guest house ukilala usiku unalipia, mchana unalipia n.k. lakin apa bongo ikiingia guest house asubuh mfano saa tatu, unashinda, unalala unalipa hela mala moja....., Hii ni udhibitisho kwamba wabongo ni wakarim Sana.
Kiswahili Cha Nirobi kibovuuuu, wee town Ice ya abiria eti wanaita MATATU....
Ngoja nipose kwanza....
Unaongelea hao WHO wanaopokea pesa za Bill Gates aliyepeleka chanjo kule India zilizowafanya wanawake kuwa tasa? Hao WHO waliosema Tanzania kuna Zika? Ndugu yangu hii dunia ni zaidi ya unavyoiona.Mkuu dunia inaongozwa kitaalamu, sio kwa hisia za watu au matakwa ya watu binafsi. Kama dunia hii ingeendeshwa kwa kutumia mawazo binafsi ingekuwa ni fujo.
Katika ngazi ya kidunia, WHO ndio wenye wataalamu waliobobea katika kiwango cha kidunia (Sio kiwango cha nchi) ambao wanajukumu la kutoa miongozo yote yenye kuhusu magonjwa na madawani, nchi zote zinapaswa kufuata na kuheshimu miongozo inayotolewa na WHO, kwasabu wataalamu wa Afya waliopo WHO ni matokeo ya uwekezaji mkubwa wa dunia nzima.
Hao WHO na wizara ya Afya ni binadamu wanaoweza kusurutishwa kwa namna moja ama nyingine, siyo lazima wawe sahihi. Hivi unafikiri ni kwa nini wanataka watu wapate chanjo hata kama wana antibodies?Hiyo ni sayansi ya wapi? Mbona wataalamu hao hao wanashauri kutopata chanjo ya polio kama mtu alishaugua na kupona. Hiyo ni sayansi ya wapi inayokataa natural immunity?Mkuu, Kama WHO na Wizara ya Afya wote wameridhia chanjo zitumike, ni Jambo la kushangaza na kusikitisha kuona/kusikia mtu ambaye hayupo katika ngazi ya kidunia (WHO), Wala ngazi ya Kitaifa(Wizara ya Afya), kuvikosoa kirahisi.
Chanjo huwa zinafanyiwa majaribio kwa miaka si chini ya kumi.Mkuu, Sasa Kuna umuhimu gani wa kuwekeza katika wataalamu Kama sisi wenyewe hatuwaamini Wala kuwaheshimu?, Unapata wapi ujasiri wa kutilia mashaka chanjo ya Corona lakini usiulize uhalali na usalama wa dawa za Malaria, TB, Cancer na dawa zingine ambazo zote zilipitishwa na WHO na kuidhinidhwa na Wizara ya Afya kwa mfumo huo huo uliotumika kuhidhinisha chanjo ya UVICO- 19?.
ARE YOU REALY HONEST WITH YOURSELF?
Conspiracy theorists hamtoisha duniani! 🤣 🤣 🤣 🤣... Poleni aiseeUnaongelea hao WHO wanaopokea pesa za Bill Gate aliyepeleka chanjo kule India zilizowafanya wanawake kuwa tasa? Hao WHO waliosema Tanzania kuna Zika? Ndugu yangu hii dunia ni zaidi ya unavyoiona.
Hao WHO na wizara ya Afya ni binadamu wanaoweza kusurutishwa kwa namna moja ama nyingine, siyo lazima wawe sahihi. Hivi unafikiri ni kwa nini wanataka watu wapate chanjo hata kama wana antibodies?Hiyo ni sayansi ya wapi? Mbona wataalamu hao hao wanashauri kutopata chanjo ya polio kama mtu alishaugua na kupona. Hiyo ni sayansi ya wapi inayokataa natural immunity?
Chanjo huwa zinafanyiwa majaribio kwa miaka si chini ya kumi.
Dawa za malaria (siyo chanjo) zimepitia nyia zote za kitaalamu kabla ya kuruhusiwa kutumika kwa wengi, hizi chanjo za mRNA zimeaanza kutumika kwa binadamu wote mwishoni mwa mwaka jana, na hii teknolojia hapo awali ilikatazwa kutumika kwa binadamu. Na sasa hivi huku waliko zitengeneza madhara yake yameshaanza kuonekana, mfano myocarditis (inflammation of the heart muscle), wanawake pia wameonesha dalili za kukosa hedhi, kuwa na hedhi nzito pamoja na hedhi ya kubadilika badilika n.k
Wakulungwa wa VPN hawa! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mwingine ananiletea tweet Kama source 😄😄😄nikianza kujaza tweet zao chafu uku si watashangaaa
View attachment 1964685
Entire west and central Africa ni upuuzi mtupu.Hata Ghana pia ni kelele kama Kunyaland!
Nipe mfano na price list ya guest houses za Nairobi unazolipia usiku tena mchana unalipia tena. Usually ni 24hrs per single pay, hiyo yako itakuwa ya kwanza tangu nzaliwe kuiskia! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Pamoja na kwamba Nirobi inaweza kuonekana imeendelea kimtazamo, mpangilio n.k, lakin Daresalaam sisi ni matajir Sana wa mambo mengi kwa mfano:-
Watu wa Nirobi Wana roho mbaya.
Ukipotea mtaa, ukamuuliza mkenya, majibu yake.....itakubidi unywe maji kuyaelewa.
Hawajui kusema samahan wala Asante. Mfano, mtanzania akienda dukani kununua sukari na hela cash. Pamoja na kwamba kanunua kwa hela yake cash, lakin bado wakati anaondoka dukan utasikia anasema Asante. Mkenya hawezi kushukuru. Hii dalili ya roho mbaya.
Mtu wa Dar kama anataka kuongea na wewe, kwanza atakusalimia, pili atasema samahan naomba uje tuongee kidogo. Lakin mtu wa Nirobi Kama anataka kusema na wewe, anakuita kwa comand. Utasikia...John.. ukuje mala moja hapa... Yaan utadhan ni ugonvi. Hii dalili ya kutokuwa na kamoyo ka ubinadam
Nirobi police wakikukamata hauna kitambulisho, utajuta.., hapa bongo dar si police si raia mnapishana kama wanafamilia tu hakuna wa kukuuliza mwenzie ID. Huu ni udhibitisho mkubwa kwamba nirobi hawaja endelea.......
Traffic police wa Nairobi, muda wote wanashinda wamebeba mibunduki barabaran as if Kama madereva wao ni machiz au magaidi mpaka washinde na mabunduki mabegan. Ila hapa bongo kwetu, traffic police habebi bunduki, anabeba machine tu ya fain. Hii ni udhibitisho tosha watu wa bongo ni wastaarabu na wameendelea na kwa asilimia kubwa wanajiongoza....
Nirobi wanaruhusu biashara ya Mirungi yenye kuleta madhara makubwa kwa jamii. Lakin hapa bongo Mirungi hairuhusiwi. Hii ni udhibitisho tosha kwamba Nirobi ni maskin tena Sana, wana okoteza vipesa ata vya madawa ya kulevya hili kusukuma siku bila kujali maisha ya vijana wao...
Nirobi Kuna baadhi ya guest house ukilala usiku unalipia, mchana unalipia n.k. lakin apa bongo ikiingia guest house asubuh mfano saa tatu, unashinda, unalala unalipa hela mala moja....., Hii ni udhibitisho kwamba wabongo ni wakarim Sana.
Kiswahili Cha Nirobi kibovuuuu, wee town Ice ya abiria eti wanaita MATATU....
Ngoja nipose kwanza....
Infact Nbi Gdp alone is more than the whole of tz combined!Unaijua ama ni maneno ya kanga tuView attachment 1964632View attachment 1964633