Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Liberal media gani inashindwa kufunua wizi unaofanywa na viongozi wenu wakiongozwa na Kenyatta Family?
mambo ya Kenyatta family imekaririwa miaka mingi sana kwa media na hata kwa one presidential debate aliulizwa, Kenya sio Tanzania, waliuliza mwenye kuibiwaq ardhi ajitokeze, ilikua willing seller willing buyer, kwa wakati ule waafrika wengi hawakua wamesoma, so I believe walio soma took advantage na kuuza mashamba yao kwa bei ya kutupa, Moi ndio alinyakua mashamba kwa wingi, amepekekwa kotini sio mara moja na kupoteza ardhi, besides kama Kenyatta family waliiba, itakua ni mzee wao, lakini kutokana na kidogo mzee alichukua wamefanya biashara na kupanua mali yao, kosa liko wapi?.,. Kenyatta inaibia wakenya vipi?..., propaganda mnazoeneza haotobadilisha ukweli, mko hovyo zaidi.., yaani eti hamuna ufisadi, uwizi wala mchafuko na bado nyie fukara, huo utaita ni nini? laana ama ujinga wa kiaina?
 
Nyie mko na electric sgr kweli ama iko U\C? 😂 😂 ., the point is neither electric nor diesel, it is SGR, a modern rail infrastructure., na inafanya kazi tena double stalk., tuko na superhighway, same function, to ease transport within the city, active faster commuter rail., BRT is just another side of the same coin you idiot., each has it's pros and cons.., two serious Cities, Tz ni one Dar pekee, sehemu nyoote makapuku wa mashambani mmekimbilia ili kutafuta maisha.., KQ inaruka sehemu nyingi duniani, hadi marekani., ATCL imekomaa route za dala dala.., we became lower middle income ahead of you in 2014., nyie mmefika mwaka jana, tena mko kwa mlango, yaani kwa huu mtikiso wa covid19 mmeporomoka hadi LDC tena, ama hauna taarifa 😂 😂 😂 ., we had a 60,000 stadium in 1986., nyie bado mnashangaa shangaa na yenu ya juzi tu, mishamba, zoea maendeleo kaka., kenyan ports income ni karibu mara tatu ya zenu tokea zamani., Kenya has the longest road network in africa outside South Africa, kama unaelewa maana ya network.., n.k. mko way below.
Endelea kuishi kwa kukalili,Tz is moving faster and strategitically Zamani mlitumia ujamaa kuharibu brand ya Tanzania the reason mkawa host wa international organization and companies,mkaudanganya ulimwengu kuwa TZ sio mahali salama,mkasema East Africa ni Kenya but now hakuna hiyo room,Utalii ulionekana ni Kenya lakini leo flight zinatoka duniani zinatua Dar es Salaam,KIA au Zanzibar moja kwa moja.Kitu mlichobaki nacho ni kuchukua Raw materials Tz na kuweka nembo za Kenya but trust me very soon TZ will curb that.Tz ingekua inafanya rebasing ya GDP Kama Kenya huenda tungekuwa USD$150 biln😀
 
Alafu nyie raiya mnabakia kukuwa vibaraka kwa serikali yenu na kwa matajiri waarabu na wahindi, nyie raiya hamna semi, CCM imewashika akili, matajiri wanafaidika na miradi nyie ni kushangilia tu humu, BRT inawafanya mfike kazini kwa waarabu na wahindi kwa haraka na mapema ili wafaidike zaidi, wakati mishahara ni ile ile ya kiutumwa, hamuepuki udfukara, afadhali ubepari, mnabakia kuishi kwa hizo dream houses zenu zilizo tapakaa 90% ya Dar., pengine uwe na kipaji kama Diamond hivi ama wa kujituma kibiashara, mko hovyo
Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa dhamana ya kusimamia pesa yetu na kuwekeza katika miradi yenye kuwasaidia wananchi.

Ujenzi wa madaraja, masoko, stand za mabus nchi nzima, BRT na Electric SGR ni mfano tu kuonyesha jinsi gani serikali yetu inavyowajibika, kumbuka vijijini serikali inasambaza maji bure kwa wananchi wote.

Serikali ya Tanzania imejenga miuondombinu ya umwagiliaji maji vijijini yenye uwezo wa kunyweshea hekta laki 8, Kenya ni hekta laki 2 pekee
 
Serikali ya Kenya huwa haijengi miradi nyingi kwa pesa ya ndani ila ninajua mbili kubwa inayojenga kwa pesa yake ya ndani. Konza city na Lamu port. Kwa hivyo mradi huu unajengwa kwa pesa yetu ya ndani. Barabara, reli na miradi mingine ndio huwa yanajengwa kwa mikopo.
Hadi Sasa katika hiyo miradi ambayo serikali yenu inajenga kwa pesa ya ndani imeshatoa kiasi gani?
 
so if UAE diplomatically decides to donate inamaanisha nyie sio LDC? ama Kenya eti ni LDC UAE imeendelea kushinda Tanzania mara elfu na nyie mko na nchi kubwa yenye rotuba na madini kote kote, huoni ni aibi zaidi kwenu? anagalau kenya ni desdert 80%.., nyie je? laana!
naona pooovu kubwa Sanakimewanasa kidude hakichomoki Hadi ikulu aibu naona Mimi mnapitwa hadi na burundi
JamiiForums-182662525.jpg
 
Hadi Sasa katika hiyo miradi ambayo serikali yenu inajenga kwa pesa ya ndani imeshatoa kiasi gani?
Kila mwaka idadi ya fedha inaongezeka au kupungua lakini kwa jumla, Lamu port imepokea around ksh 40 billion baada ya miaka 5 ya ujenzi. Konza city imepokea around ksh 30 billion baada ya miaka 3 ya ujenzi.
 
so if UAE diplomatically decides to donate inamaanisha nyie sio LDC? ama Kenya eti ni LDC UAE imeendelea kushinda Tanzania mara elfu na nyie mko na nchi kubwa yenye rotuba na madini kote kote, huoni ni aibi zaidi kwenu? anagalau kenya ni desdert 80%.., nyie je? laana!
pole LDC
JamiiForums-182662525.jpg
 
Endelea kuishi kwa kukalili,Tz is moving faster and strategitically Zamani mlitumia ujamaa kuharibu brand ya Tanzania the reason mkawa host wa international organization and companies,mkaudanganya ulimwengu kuwa TZ sio mahali salama,mkasema East Africa ni Kenya but now hakuna hiyo room,Utalii ulionekana ni Kenya lakini leo flight zinatoka duniani zinatua Dar es Salaam,KIA au Zanzibar moja kwa moja.Kitu mlichobaki nacho ni kuchukua Raw materials Tz na kuweka nembo za Kenya but trust me very soon TZ will curb that.Tz ingekua inafanya rebasing ya GDP Kama Kenya huenda tungekuwa USD$150 biln😀
Sasa unaona propaganda, kusingizia Kenya eti ndio tatizo la kutoendelea kwenu, nyambaff., weka facts Kenya ilidanganya ulimwengu kuhusu Tanzania! 😂 😂 😂 😂 , viongozi wenu wameshindwa kuwaondoa kwenye ufukara wanatafuta pakutokea so wanatumia Kenya kama excuse., kijana chunguza mambo kabla ya kukurupuka 😂 😂 😂 😂 leo hii ni dunia imekua global village, with advancements in technology taifa za kishamba kama akina Tanzania mnaonekana sasa, watu wanajua kuna nchi inaitwa Tz, na pia mnaitazama dunia yoote na kuiga yale mnayaona, hayo maendeleo yenu kidogo kwa sasa ni effect ya globolization kwa wingi wala sio eti ni nyinyi la, ni impact la sivyo mngekua mlivyo kua tokea zamani sana..,
 
Haijalishi sio MGR tuu bali ongezea efficient continuous welded MGR with possibility of electrification in the near future since iko in parallel alignment with SGR. Miundombinu yote ya umeme imeshafanyika kwa sgr ni kufanya connection to to mgr ambayo itahusisha errection ya poles for catenary cables.
Nakwambia hivi mzee baba, MGR haitokuja ibadilike jina..
Yani unapoambiwa ni MGR badi jua kitu ni MGR kweli kweli hata km kitaletwa kivipi
 
mambo ya Kenyatta family imekaririwa miaka mingi sana kwa media na hata kwa one presidential debate aliulizwa, Kenya sio Tanzania, waliuliza mwenye kuibiwaq ardhi ajitokeze, ilikua willing seller willing buyer, kwa wakati ule waafrika wengi hawakua wamesoma, so I believe walio soma took advantage na kuuza mashamba yao kwa bei ya kutupa, Moi ndio alinyakua mashamba kwa wingi, amepekekwa kotini sio mara moja na kupoteza ardhi, besides kama Kenyatta family waliiba, itakua ni mzee wao, lakini kutokana na kidogo mzee alichukua wamefanya biashara na kupanua mali yao, kosa liko wapi?.,. Kenyatta inaibia wakenya vipi?..., propaganda mnazoeneza haotobadilisha ukweli, mko hovyo zaidi.., yaani eti hamuna ufisadi, uwizi wala mchafuko na bado nyie fukara, huo utaita ni nini? laana ama ujinga wa kiaina?
Wacha kelele, soma ripoti ya tume iliyoundwa na bunge lenu ili kuchunguza dhuluma iliyofanywa na viongozi wenu baada ya Uhuru katika kujinyakulia ardhi(Ndungu's report), pia soma kitabu cha Ngugi wa Thiong'o cha "This time tomorrow", hujui kitu kuhusu historia ya Kenya.
 
Tunaongelea Kenyatta family specifically.., unyakuzi uko, sipingi hilo.,
 
Kila mwaka idadi ya fedha inaongezeka au kupungua lakini kwa jumla, Lamu port imepokea around ksh 40 billion baada ya miaka 5 ya ujenzi. Konza city imepokea around ksh 30 billion baada ya miaka 3 ya ujenzi.
Huoni aibu kwa nchi yenye kukusanya Kodi mara mbili ya Tanzania kutumia pesa kidogo wakati Tanzania katika mradi mmoja tu wa SGR ndani ya miaka 4 tumeshatoa zaidi ya $3B
 
wewe ni mpuzi kweli., kwenye orodha ya elimu ya vyuo vikuu Africa hampatikani ata top 20., it's not about mere words or pictures u idiot, there are many factors to verify superiority of a thing.., infact video hampendi nyie, vuipicha mnaweka kiu propaganda tu., nimewafumania sana wewe jipe shughli hauna lolote la kuniambia wewe.,
Nimeanza kukudharau tayari, owky nyie mpo kwenye top 20 best universities in Africa sawa , vipi wakufunzi wenu wanaweza kutengeneza hata barabara.? Ikiwa kila siku gorofa zinaanguka huko kwenu, wakufunzi wenu sindio hawa wanamuuzia mchina nchi yenu mkiwa macho.? hiyo ni elimu bora.? Au unavyojua wewe elimu bora ni kujimwambafai kwenye top list kwa maneno tu na maandishi.? fala kweli we jamaa.. elimu bora ni matokeo ya ufanisi wake sio kelele, kampuni za kizalendo tz zinatengeneza karibu kila kitu njoo kwa ground uku ujifunze, tunazalisha viongizi bora wa mfano Africa, na hiyo ndio maana ya elimu bora.. Una elimu bora huwezi kujenga hata barabara ya km 10.? Elimu bora unaangusha magorofa kila asubuhi, una elimu bora unazalisha viongizi walevi kama Uhuru.? Nyie hamtuwezi kitu ni wapumbavu tu
 
Tunaongelea Kenyatta family specifically.., unyakuzi uko, sipingi hilo.,
Mzee Kenyatta ndiye aliyeongoza huo wizi wa ardhi, hiyo tume ilipendekeza ardhi yote hiyo ikiwemo ya familia ya Kenyatta na Moi zichukuliwe na kugawiwa upya kwa wananchi, lakini serikali ya Kenya imeshindwa kuitekeleza kwa sababu Kenyatta family is "Untouchable"
 
Pamoja na kwamba Nirobi inaweza kuonekana imeendelea kimtazamo, mpangilio n.k, lakin Daresalaam sisi ni matajir Sana wa mambo mengi kwa mfano:-

Watu wa Nirobi Wana roho mbaya.
Ukipotea mtaa, ukamuuliza mkenya, majibu yake.....itakubidi unywe maji kuyaelewa.

Hawajui kusema samahan wala Asante. Mfano, mtanzania akienda dukani kununua sukari na hela cash. Pamoja na kwamba kanunua kwa hela yake cash, lakin bado wakati anaondoka dukan utasikia anasema Asante. Mkenya hawezi kushukuru. Hii dalili ya roho mbaya.

Mtu wa Dar kama anataka kuongea na wewe, kwanza atakusalimia, pili atasema samahan naomba uje tuongee kidogo. Lakin mtu wa Nirobi Kama anataka kusema na wewe, anakuita kwa comand. Utasikia...John.. ukuje mala moja hapa... Yaan utadhan ni ugonvi. Hii dalili ya kutokuwa na kamoyo ka ubinadam

Nirobi police wakikukamata hauna kitambulisho, utajuta.., hapa bongo dar si police si raia mnapishana kama wanafamilia tu hakuna wa kukuuliza mwenzie ID. Huu ni udhibitisho mkubwa kwamba nirobi hawaja endelea.......

Traffic police wa Nairobi, muda wote wanashinda wamebeba mibunduki barabaran as if Kama madereva wao ni machiz au magaidi mpaka washinde na mabunduki mabegan. Ila hapa bongo kwetu, traffic police habebi bunduki, anabeba machine tu ya fain. Hii ni udhibitisho tosha watu wa bongo ni wastaarabu na wameendelea na kwa asilimia kubwa wanajiongoza....

Nirobi wanaruhusu biashara ya Mirungi yenye kuleta madhara makubwa kwa jamii. Lakin hapa bongo Mirungi hairuhusiwi. Hii ni udhibitisho tosha kwamba Nirobi ni maskin tena Sana, wana okoteza vipesa ata vya madawa ya kulevya hili kusukuma siku bila kujali maisha ya vijana wao...

Nirobi Kuna baadhi ya guest house ukilala usiku unalipia, mchana unalipia n.k. lakin apa bongo ikiingia guest house asubuh mfano saa tatu, unashinda, unalala unalipa hela mala moja....., Hii ni udhibitisho kwamba wabongo ni wakarim Sana.

Kiswahili Cha Nirobi kibovuuuu, wee town Ice ya abiria eti wanaita MATATU....

Ngoja nipose kwanza....
 
Nimeanza kukudharau tayari, owky nyie mpo kwenye top 20 best universities in Africa sawa , vipi wakufunzi wenu wanaweza kutengeneza hata barabara.? Ikiwa kila siku gorofa zinaanguka huko kwenu, wakufunzi wenu sindio hawa wanamuuzia mchina nchi yenu mkiwa macho.? hiyo ni elimu bora.? Au unavyojua wewe elimu bora ni kujimwambafai kwenye top list kwa maneno tu na maandishi.? fala kweli we jamaa.. elimu bora ni matokeo ya ufanisi wake sio kelele, kampuni za kizalendo tz zinatengeneza karibu kila kitu njoo kwa ground uku ujifunze, tunazalisha viongizi bora wa mfano Africa, na hiyo ndio maana ya elimu bora.. Una elimu bora huwezi kujenga hata barabara ya km 10.? Elimu bora unaangusha magorofa kila asubuhi, una elimu bora unazalisha viongizi walevi kama Uhuru.? Nyie hamtuwezi kitu ni wapumbavu tu
Your comparison is off kabisa, reasoning with isolated cases 😂 😂 😂 😂 ., find out why buildings collapse in Kenya.., kisha uje, na nani ni wajenzi., isolated cases can never be used to judge the whole u idiot., mko ovyo, ata umwage maneno millioni moja humu, haibadiliki, u are just another hurting blind patriot kisa Kenya is way ahead and aboveTanzania, ata waafrika wengine wa nchi nje ya EAC watakuambia
 
Nyie mko na electric sgr kweli ama iko U\C? 😂 😂 ., the point is neither electric nor diesel, it is SGR, a modern rail infrastructure., na inafanya kazi tena double stalk., tuko na superhighway, same function, to ease transport within the city, active faster commuter rail., BRT is just another side of the same coin you idiot., each has it's pros and cons.., two serious Cities, Tz ni one Dar pekee, sehemu nyoote makapuku wa mashambani mmekimbilia ili kutafuta maisha.., KQ inaruka sehemu nyingi duniani, hadi marekani., ATCL imekomaa route za dala dala.., we became lower middle income ahead of you in 2014., nyie mmefika mwaka jana, tena mko kwa mlango, yaani kwa huu mtikiso wa covid19 mmeporomoka hadi LDC tena, ama hauna taarifa 😂 😂 😂 ., we had a 60,000 stadium in 1986., nyie bado mnashangaa shangaa na yenu ya juzi tu, mishamba, zoea maendeleo kaka., kenyan ports income ni karibu mara tatu ya zenu tokea zamani., Kenya has the longest road network in africa outside South Africa, kama unaelewa maana ya network.., n.k. mko way below.

Your comparison is off kabisa, reasoning with isolated cases 😂 😂 😂 😂 ., find out why buildings collapse in Kenya.., kisha uje, na nani ni wajenzi., isolated cases can never be used to judge the whole u idiot., mko ovyo, ata umwage maneno millioni moja humu, haibadiliki, u are just another hurting blind patriot kisa Kenya is way ahead and aboveTanzania, ata waafrika wengine wa nchi nje ya EAC watakuambia
Ona twende ground mzee, tuache hiz kelele..
 
Back
Top Bottom