Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TANZANIA CAFCC (Two teams)
  • Dikhil vs Biashara (0-1)
  • Azam vs Horseed (3-1)
TANZANIA CAFCL (Two teams)
  • Yanga vs Rivers (Tomorrow)
  • Simba (2nd preliminary round)

KENYA CAFCC (One team)
- Gor mahia (2nd preliminary round)
KENYA CAFCL (One team)
- Solar vs Tusker (1-1)
Bado hujaweka za Zanzibar mkuu
 
Nalifahamu vizuri sana..huo ni mfano tu natoa km mnavyosema eti 100km bongo tayari mnajaza mabasi kw ajili ta hyo place
Mbona unaongea sana bila viambatanishi mzee?

Wewe hushangai katika mamia ya makampuni ya mabasi Tanzania tumekuletea tu companies hizi chache tu hasahasa abood na bm? Kwani gari zinazoondoka dar kwenda mikoani via moro ni hizo 2 tu?

Tunazitaja hizi sababu ndio Common kwenye safari za Dar Moro Dar na ushahidi huu hapa kwamba ni hot rote, angalia kwenye caption toka 9:30 mpaka 10:30 lisaa limoja gari 10 zimetoka Dar kwenda Moro (hizi ni zile za Dar Moro Dar tu)

Then pictures za chini ni ndinga za abood za Dar Moro zenye banners kabisa special kwa Dar Moro Dar route, so ujionee ulivyo kichaa unavyopinga usichojua


Screenshot_20210912-161215~2.png
Screenshot_20210912-161311~2.png
Screenshot_20210912-160623~2.png
Screenshot_20210912-160931~2.png


Nakuletea ndinga nyingine, me huwa napenda ligi sana!
 
Nilisema sikusema? Hehehe... 😂 😂 😂 😂
Screenshot_20210912_163541.jpg

My take - hasara ya mihogo na chipsi kwa waume... 😁
 
😁😁 Mapovu ya kufulia nguo,Huwa sitaki maneno,tupia picha ya dual carriage road hapa iliyopo Mwanza sio kutukana hovyo kama umebakwa..

Ukiipata naacha kuchangia,hicho kijiji uchwara cha Mwanza sisimuliwi we kenge.

😁😁 Ukipata road kama hii hapa 👇 hapo Jiji uchwara nahama Uzi

View attachment 1934835

View attachment 1934836
😂😂😂 Kumbe huyu fala sio mtanzania na hiyo miji yenyewe halijawahi kufika🖕matako kweli hili jamaa, jitu .. nimepiga picha kwa mkono wangu juzi tu dual carriage way safii, nakuweka kiporo wewe matako.. jf Wana Matatizo yao nikipost inazingua, Ila ntakurudia, ishi na hiz videos kwanza fala wewe .
 
nyie mbona maaajabu haya..
Nakuru-Eldoret (156km) wanatumia hizi daladala?
View attachment 1934756


View attachment 1934760


sisi kwetu.. Mbezi Mwisho Bus Stop-Mbagala Mwisho Bust Stop
View attachment 1934770

(45km ..umbali mkubwa kuliko wote wa daladala kutembea) hizo daladala ndogo za kikenya haziruhusiwi..

zinaruhusiwa haya magari makubwa makubwa kama haya na vidaladala vidogo haviruhusiwi.. lkn kenya 156km zinatumika vikirikuu
View attachment 1934778


kwa hili hakika nawapongeza ile mamlaka ya kusimamia usafiri wa ardhini (LATRA).. hakika kwa hili nimeona umuhimu wao
Dala dala na shuttle ndio za kulinganishwa jamani
Yani dude lipo lipo, kitu luxury ni stickers za boli
 
Dar moro hata coaster unapanda na zinapiga daily tu mbona
Naona umeuliza mabasha wako wa Dar wakakwambia Coaster zipo, ni kweli Coaster zipo, tena ni bei rahisi kuliko yutong lkn huwa huwa tunapanda yutong japo Coaster nazo zinajaza.
 
muwe na usiku mwema..
it’s been a very busy monday..
-imagine this is their daladala in this age
-angalieni huo uchafu hapo chini
-angalieni hizo nyaya huko nyuma kwa background
-rangi ya barabara chini kama upo ndan ya zizi la ng’ombe
View attachment 1927104hapa patakuwa fig tree roundabout jamaa wachafu kama nini 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom