Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa kama ni ukweli, mbona knyatta katangaza baa la njaa? hahahaha

nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wasije wakasema ni ya zamani.. it’s September 8,2021 to remember!
IMG_1489.jpg


 
nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wasije wakasema ni ya zamani.. it’s September 8,2021 to remember!
View attachment 1930287


Karne ya 21 njaa ni janga la taifa

Wazungu wamekamata mashamba yote yenye rutuba wanajilimia chai na maua tu, wakunya wamefukuziwa Jangwani wapambane na hali zao 😅😅😅
 
Juzi nilifanikiwa kupita hii mitaa nikapata upepo wa bahari kidogo, yo bandugu hii mitaa ni mizuri mno, barabara zinawaka waka
IMG_20210906_154853_667.jpg
👇New Tanzanite bridge,
IMG_20210906_154848_085.jpg
it's almost done ✅ nilikuta wanatengeneza side walks, soon tutawaumiza vichwa hawa mbwa.. nyie hapa mahali ni panawaka waka sio kawaida, barabara zinawaka mno
 
Back
Top Bottom