Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The real owner of precision has a Bank and several big investments lakini hayupo kwenye ranks zozote kama Biwott who owns nothing close to the guy ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Does that stop Kenya airways from having 41% stake in precision air?
 
Does that stop Kenya airways from having 41% stake in precision air?
The guy owns all these is richer than jangili nginaa but you won't see him on the ranks!

What you kunyans don't know about Tanzanians, weren't talkative!

images - 2021-09-12T115403.996.jpeg
images - 2021-09-12T113744.290.jpeg
images - 2021-09-12T113804.060.jpeg
 
Machozi yote haya ni sababu Tanzania hakuna safari ya 500km kwa vipanya kama Kunyaland

Hakuna mfanyabishara ataleta luxury buses kwenye counties zenu sababu hakuna lami ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

View attachment 1934415View attachment 1934416
Huita "shuttle" ati! Haki hawa watu ni mafukara halafu hawawezi kukaa kimya wanapoona nchi ya maziwa na asali ikiwa na nyenzo za usafiri bora!
 
And you think the owner of such investments at the heart of biggest city's CBDs relies on 1 investment? Hiyo ni 30% of his total networth, actually he's a miner!
What's his total net worth?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huezilinganisha hizi takataka ni shuttle vans๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unaongelea hizi?

Hizi ndio shuttle? Toka nimekua najua shuttle ni coasters tu sababu ndio culture ya Tanzania shuttle kuwa coasters

Sijawahi kufikiria hivi vipanya ambavyo kwa miji mingi Tanzania haviruhusiwi hata kuingia CBDs vinaweza itwa shuttle mahali!

images (37).jpeg
images (40).jpeg
images (39).jpeg
 
Mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo.. The best 007 mwambie huyu mtu mzima mpuuzi Opportunity Cost aache kumdhihaki huyu mwamba skiliza nondo zake enzi akiwa waziri

Chuma icho ametuachia mambo ambayo hatuwez msahau
Kenya owns Tanzanian economy ๐Ÿ˜‚.

1. Aviation - Precision Air.
2. Media - Mwananchi Magazine and The Citizen.
3. Management - Managers in several big companies in Tanzania are Kenyans.
4. Construction - Most Tanzanian buildings were designed by Kenyans.
5. Banking - KCB, Equity
6. Education - Most international schools in Tanzania are filled Kenyan teachers.
Sio kweli
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Leta 10 kama hizi nifunge virago saivi kama una ubavu, hii ni mere replica of nothing exists in Kunyaland after it! ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
So umekubali Kenya is ahead of Tanzania when it comes to luxury?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
So umekubali Kenya is ahead of Tanzania when it comes to luxury?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Luxury ipi? Kupanda kipanya ment for lightweight cargo from its maker ndio luxury? Only in Kunyaland ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom