Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Madam unapingana na hali halisi ya huku Tanzania.

Sasa kuanzia leo inatakiwa utambue hilo kua Tz katika usafiri wa umma tupo tofauti, usi-force tufanane.

Na wala usitake watu tuhoji kimo chako. Ukiendelea kubisha tuna-confirm height yako hapa, talent hiyo tunayo[emoji16][emoji16][emoji16].

By the way umenifurahisha, umeleta challenge iliyoibua participants kutoka kusikojulikana
(Umegusa hisia za watu).[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiniletea kampuni iliyowekeza kw ajili ya dar moro natoka jf
 
We kijana ukumbuke unazungumzia Tanzania sio kenya, route za Dar-Moro ni kama zote kila siku, hata ufike stendi saa kumi na mbili jioni unapata bus za Dar-Moro, tz watu wanasafir mno kila leo.. uje ujionee mwenyewe, acha kujificha kibera na kuaminishwa kwamba mnatuzidi kwenye sector ya usafiri na usafirishaji, safiri kijana ..mpo nyuma yetu sanaa kwenye hii sector ya usafiri na usafirishaji
Umerudi kw route[emoji1787][emoji1787]
Toute mbona hata za chini ya 100 zipo..kw mfano mombasa mariakani nato si route tu..
Mi naongelea kampuni au tajiri mjonga ambae atawekeza mibasi yote kw ajili ya route ya 100km tu...

Dar moro hata coaster zinajaza mzee
 
Kwani hizo cargo barges ni gari ama ndege?[emoji1787][emoji1787][emoji23].

Let me repeat to you all once again, the biggest ship in lake Victoria currently is MV Uhuru I, the record will be broken by MV Uhuru II. Zote ni meli za Kenya[emoji23][emoji23]
Huju jamaa kwa uongo wake enzi tukiwa primary tungemwita mzee wa fix . Halafu huko brainwashed pia hauna aibu maana uongo ni sana kutoka kwako . Mzee wa mahela ya kupakua a.k.a download
 
I'm sure you also don't know that KQ has 41% shares in Precision Air[emoji23][emoji23], yani uchumi wa Tanzania imeshikwa na wakenya. Starting from Banking, media, Aviation, manufacturing, education, construction, management etc.
Precision Air..takes up sijui 20%of domestic routes Air Tanzania over 80 %,NMB is the leading bank in Tz not owned by Kenyans, followed by CRDB .., Media IPP media and AzamMedia , Clouds Group, Construction nileteeni company yenu kubwa kama Estim,Advent ...Kenyans own nothing that controls Tanzania my friend .Acha kujimwambafiy kijinga jina na uongo wako...

BTW...Nimeona Post umeandika MV Uhuru is 94m while its 91m at its best ..And MV Mwanza will be 93m

Also MV Uhuru and MV Umoja have same capabilities as they were built as Sister Ships.. all are 92m ships ila kwa vile Kenya mnapenda kujipa sifa sishangai ukijongezea number

Go and do your homework
 
Hakuna kampuni itakayo base na dar moro mzee, hako ni ka route hta coaster inapiga..
Ndio manake unaweza kuta kampuni inayo deal na dar dom tu lkn dar moro lazima iongozewe na route zingine..

Hakuna tajiri mpumbavu wa kiwango hicho, eti ajaze youtongs kibao kw ajili ya route ya 100km
Una matatizo ya akili wewe, tatizo hujawahi toka nje ya Liberal ndio sababu unapiga Domo tupu, Ingia google utafute "About Bus Services" ujifunze, punguza ujinga, Tanzania ni taifa kubwa sio "Failed state".
 
Safari za masaa matano hta somalia kuna kampuni zinafanya...
Nataka unipe kampuni inayofanya dar moro nitoke jf..
Unafikiria matajiri ni wapumbavu kiasi hicho, magari hubadili route mzee acheni ushamba
ndo maana zile gari za ushagoo matatu hazitaisha Kunyaland, in Tanzania Dar-Moro route has one of the high class buses though its a 2 hours route! U simply don't know how Morogoro is a such a vibrant center of activities from higher learning institutions to industries, to agriculture to trade!
 
Hakuna kampuni itakayo base na dar moro mzee, hako ni ka route hta coaster inapiga..
Ndio manake unaweza kuta kampuni inayo deal na dar dom tu lkn dar moro lazima iongozewe na route zingine..

Hakuna tajiri mpumbavu wa kiwango hicho, eti ajaze youtongs kibao kw ajili ya route ya 100km
Dar Moro ni 200km.
 
Ila nyie wakenya mnachekesha sana 😂😂 hujawahi kufika hiyo miji so huna unachojua, Mwanza imeendelea zaidi kuliko mji wowote Tanzania ukiitoa DSM, by the way nimefanya kazi Arusha after form six, nimesoma chuo Mwanza miaka mitatu likizo zote nimetumia Arusha, naijua hiyo miji nje ndani, Tafuta nauli uje mimi ntakua mwenyeji wako, Ili ujionee ambavyo Mwanza imeendelea, hivyo vipicha visikudanganye.. kenyans kumbe mnasumbuliwa na kuto tembea..watu wa Arusha huwa wanaenda Mwanza kwaajili ya kutafuta maisha, biashara na starehe..
Wakenya mnadanganywa kweupe,mwambie huyu jamaa aweke drone footage ya Mwanza na Arusha hapa muone wenyewe.

Kijiji cha Mwanza ukiacha kwamba kimejaa uswazi hakina barabarani zozote za dual carriage hata moja na wala hakina majengo marefu kulinganisha na Arusha..

Kelele za Sasa ni kile kidaraja kinachojengwa sasa na sgr tuu nothing else rather than slums.

The only City to watch out of Dar ni Dodoma tuu ambayo iko underconstruction.
 
Ukiniletea kampuni iliyowekeza kw ajili ya dar moro natoka jf
Machozi yote haya ni sababu Tanzania hakuna safari ya 500km kwa vipanya kama Kunyaland

Hakuna mfanyabishara ataleta luxury buses kwenye counties zenu sababu hakuna lami 😅😅😅

Screenshot_20210830-110008~2.png
Polish_20210830_110946627.jpg
 
Precision Air..takes up sijui 20%of domestic routes Air Tanzania over 80 %,NMB is the leading bank in Tz not owned by Kenyans, followed by CRDB .., Media IPP media and AzamMedia , Clouds Group, Construction nileteeni company yenu kubwa kama Estim,Advent ...Kenyans own nothing that controls Tanzania my friend .Acha kujimwambafiy kijinga jina na uongo wako...

BTW...Nimeona Post umeandika MV Uhuru is 94m while its 91m at its best ..And MV Mwanza will be 93m

Also MV Uhuru and MV Umoja have same capabilities as they were built as Sister Ships.. all are 92m ships ila kwa vile Kenya mnapenda kujipa sifa sishangai ukijongezea number

Go and do your homework
Kenya owns Tanzanian economy 😂.

1. Aviation - Precision Air.
2. Media - Mwananchi Magazine and The Citizen.
3. Management - Managers in several big companies in Tanzania are Kenyans.
4. Construction - Most Tanzanian buildings were designed by Kenyans.
5. Banking - KCB, Equity
6. Education - Most international schools in Tanzania are filled Kenyan teachers.
 
Tanzania will never escape the shadows of Kenya😂😂😂

TPA - designed by a Kenyan company.
Dodoma parliament - Designed by Kenyan company.
Rock City Mall - Designed by Kenyan company.
 
Kenya owns Tanzanian economy 😂.

1. Aviation - Precision Air.
2. Media - Mwananchi Magazine and The Citizen.
3. Management - Managers in several big companies in Tanzania are Kenyans.
4. Construction - Most Tanzanian buildings were designed by Kenyans.
5. Banking - KCB, Equity
6. Education - Most international schools in Tanzania are filled Kenyan teachers.
The real owner of precision has a Bank and several big investments lakini hayupo kwenye ranks zozote kama Biwott who owns nothing close to the guy 😅😅😅
 
Back
Top Bottom