Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nitapiga picha za luxury buses zenu za kikunya alafu tuone nani anatu zushia uongo humu🙂
Fikieni hapa ndio mpige kelele. Nairobi - Kisumu.

img_20201013_084804.jpg
 
View attachment 1935059
Ila we jamaa unaniacha hoi sana 😂😂😂, watu tunapost msururu wa mabasi we unapost kigar kimoja, hapa bongo kila sehem unaskia panaitwa jiji kuna kampuni za mabasi zaidi ya kumi, nielewe sio idadi ya mabasi lah.!! "kuna kampuni za mabasi zaidi ya kumi" achana na hizi towns kama Morogoro, Moshi na Iringa
 
Acha kelele mingi bana, show us any bus in Tanzania that you can compare with this beast.

img_20201013_084804.jpg
 
Fikieni hapa ndio mpige kelele. Nairobi - Kisumu.

View attachment 1935059
Nairobi kisumu ndani ya kipanya

No TV, no movies, no music, no drinks, no snacks, charging ports, no bending seats, no 2*2/2*1 seat, no fancy lighting, no large comfort seat, no big luggage carrier, no air conditioning

Safari ya 400km Nairobi kisumu? Hamna mtanzania ataingia humu ndani bro!
images - 2021-09-12T195432.354.jpeg
images - 2021-09-12T195526.677.jpeg
images - 2021-09-12T195444.770.jpeg

Duh aisee mna safari ndefu 😅😅😅
 
Nairobi kisumu ndani ya kipanya

No TV, no movies, no music, no drinks, no snacks, charging ports, no bending seats, no 2*2/2*1 seat, no fancy lighting, no large comfort seat, no big luggage carrier, no air conditioning

Safari ya 400km Nairobi kisumu? Hamna mtanzania ataingia humu ndani bro!
View attachment 1935084View attachment 1935085View attachment 1935086

Duh aisee mna safari ndefu 😅😅😅
There's something known as "variety" si lazima kila mtu atumie basi.
 
Nairobi kisumu ndani ya kipanya

No TV, no movies, no music, no drinks, no snacks, charging ports, no bending seats, no 2*2/2*1 seat, no fancy lighting, no large comfort seat, no big luggage carrier, no air conditioning

Safari ya 400km Nairobi kisumu? Hamna mtanzania ataingia humu ndani bro!
View attachment 1935084View attachment 1935085View attachment 1935086

Duh aisee mna safari ndefu [emoji28][emoji28][emoji28]
Huyu mwamba na begi lake utadhani anaenda Airport, ila Wakenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-755427514.jpg
 
Huyu mwamba na begi lake utadhani anaenda Airport, ila Wakenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1935111
Sasa wakija watano wenye mabegi kama hayo si kigari kishajaa hicho? 😅😅😅

Mbongo kwanza akitoka atokako kwenda destination yake anabeba mazaga ya kufa mtu, mara mchele, karanga, mafuta ya alizeti, asali, matunda bado huko njiani haja ongeza vya kununua barabarani, ataenea vipi kwenye hicho kigari? 😅😅😅
 
Back
Top Bottom