We ** umeshawahi kufika Mwanza.? 😂😂😂, Eti Mwanza hakuna dual carriage way we ni matako nini.? Arusha is nothing compared to Mwanza hiyo miji yote nimeishi naijua in and out, Mwanza imeendelea na sana, eneo la jiji la Mwanza ni wilaya mbili (Ilemela na Nyamagana), inaonekana wewe ni mpumbavu wa kikenya unaejitia utanzanzia, hakuna mji wa kulinganisha na Mwanza hapa tz nyuma ya DSM, ukibisha twende ground tueke battle ya Mwanza vs Arusha, alafu uone kama Arusha inatoboa.. nimefanya kazi Arusha, nimesoma Mwanza miaka mitatu, yani wewe ni fala tu kwangu kwenye kuijua hiyo miji, mana hakuna viwanja vya stareh sijaingia in both cities.. hiv ukitoa barabara ya Arusha Moshi ni kitu gani kingine unaweza kushindanisha na Mwanza...? kwenye majengo marefu both cities hakuna, ni hivyo hivyo vigorofa kumi kushuka chini, kila mji Kati ya Mwanza na Arusha kuna jengo refu moja tu ambapo Mwanza ni jengo la gorofa 17 while Arusha ni jengo la 18 floors .. Mwanza Ina Mall kubwa kuliko malls zote za DSM, uje ulinganishe na ka Arusha, we ni fala nini.? Mji una watu zaidi ya 1.2m uje ulinganishe na mji wa watu 400k kweli.? We ni matako wa kikenya huijui Tanzania alafu unajifanya mtanzania 🖕, wachaga, wamasai, wameru kibao wanakimbilia Mwanza kutafuta maisha alafu unanibishia we ** ambae hujawahi kufika hata iyo Mwanza yenyewe.? 🖕