Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya mnadanganywa kweupe,mwambie huyu jamaa aweke drone footage ya Mwanza na Arusha hapa muone wenyewe.

Kijiji cha Mwanza ukiacha kwamba kimejaa uswazi hakina barabarani zozote za dual carriage hata moja na wala hakina majengo marefu kulinganisha na Arusha..

Kelele za Sasa ni kile kidaraja kinachojengwa sasa na sgr tuu nothing else rather than slums.

The only City to watch out of Dar ni Dodoma tuu ambayo iko underconstruction.
Nlikua na mashaka na uraia wako ume prove point!
Wewe sio mbongo!
 
Narudia tena, mabasi yote ya route fupi fupi yanaunganisha route zingine..
Likipiga route ya mbali leo kesho keshokutwa linapumzishwa kw route fupi..
Nyie mna akili gani ya biashara zaidi ya kufanyiwa kila kitu na serekali...

Evidence ni wewe uniletee kampuni inayopiga dar moro pekeake km vile zile zinazopiga arusha nairobi mzee acha kumumunya maneno hapa
Wewe Moro umewahi kufika?ndo utoe hizo kauli?
 
Mbona unaongea sana bila viambatanishi mzee?

Wewe hushangai katika mamia ya makampuni ya mabasi Tanzania tumekuletea tu companies hizi chache tu hasahasa abood na bm? Kwani gari zinazoondoka dar kwenda mikoani via moro ni hizo 2 tu?

Tunazitaja hizi sababu ndio Common kwenye safari za Dar Moro Dar na ushahidi huu hapa kwamba ni hot rote, angalia kwenye caption toka 9:30 mpaka 10:30 lisaa limoja gari 10 zimetoka Dar kwenda Moro (hizi ni zile za Dar Moro Dar tu)

Then pictures za chini ni ndinga za abood za Dar Moro zenye banners kabisa special kwa Dar Moro Dar route, so ujionee ulivyo kichaa unavyopinga usichojua

View attachment 1934856View attachment 1934873View attachment 1934874View attachment 1934875

Nakuletea ndinga nyingine, me huwa napenda ligi sana!
 
Kwa ground mambo ni tofauti 🤣🤣🤣🤣😃
Hata mi naona, kwa ground ni different! 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20210912_182122.jpg

Screenshot_20210912_173519.jpg
 
😂😂😂 Kumbe huyu fala sio mtanzania na hiyo miji yenyewe halijawahi kufika🖕matako kweli hili jamaa, jitu .. nimepiga picha kwa mkono wangu juzi tu dual carriage way safii, nakuweka kiporo wewe matako.. jf Wana Matatizo yao nikipost inazingua, Ila ntakurudia, ishi na hiz videos kwanza fala wewe .

Yaani huoni aibu kuweka huu uchafu hapa? Jiji uchwara 😁😄😅

Barabara za Jiji zinatakiwa kufanania kama hivi hapa Arusha na Sumbawanga 👇

Screenshot_20210912-183009.png


Screenshot_20210912-130508.png
 
Yaani huoni aibu kuweka huu uchafu hapa? Jiji uchwara 😁😄😅

Barabara za Jiji zinatakiwa kufanania kama hivi hapa Arusha na Sumbawanga 👇

View attachment 1934995

View attachment 1934996
We **** sio mtanzania 😂😂😂 Kumbe vitu vyenyewe mpaka uingie google 🖕, tembea bwege wewe, kwanza videos umeziangalia hizi au huna bundle.? 🖕.. tembea choko wewe uache kujificha kibera .. hakuna jiji lolote Tanzania ambalo halina dual carriage way, sehem yoyote tz ambako kuna hadhi ya jiji dual carriage way zipo fala wewe..
 
😅😅😅😅 Nyumbu komora096 naona kasanda

Nimempa advertise 1 tu ndani ya lisaa ndinga 10 zenye abiria 60 mpaka 70 level seats, abiria 600 mpaka 700

Mpaka usiku ndinga zipo za kumwaga, wao na vipanya vyao vya abiria 25 waliobanana kama viazi wanaweka mpaka mabango makubwa juu ya vipanya lakini wapi! 😅😅😅

Ukiwaambia hawana utamaduni wa kusafiri wanalia

Angalia mabango juu ya vipanya kama matangazo ya waganga, yaani hawa watu poripori sana 😅😅😅

Polish_20210830_110946627.jpg
 
We **** sio mtanzania 😂😂😂 Kumbe vitu vyenyewe mpaka uingie google 🖕, tembea bwege wewe, kwanza videos umeziangalia hizi au huna bundle.? 🖕.. tembea choko wewe uache kujificha kibera .. hakuna jiji lolote Tanzania ambalo halina dual carriage way, sehem yoyote tz ambako kuna hadhi ya jiji dual carriage way zipo fala wewe..
Yaani nitembee kwa ajili ya kukupigia picha wewe? Una akili timamu wewe?

Prof google na teknolojia vipo kwa ajili gani? Waliokuzaa Wana hasara..

Nimesema onyesha barabara sitaki maneno maneno hapa nikiwa Ttzn au nisipokuwa Mtzn wewe inakusaidia nini?

Hapo Mwanza hakuna kitu ni Jiji uchwara hilo kenge wewe.
 
Back
Top Bottom