huyo jamaa anaitwa hamza... najua anapokaa.. na ni tajir kiaina.. nashangaa sana anaposemwa ni alshabab
anyway, maisha ya mtu ni siri yake
sivyo, mimi nimekua simba tokea kitambo., I liked the name, Lion is the king of the jungle.., nakumbuka zile siku Yanga walikua wakali zaidi..,wakenya wengi si simba sababu ya wachezaji wenu wengi wapo simba![]()
😁😁😆😆 waambie hao wapuuzi walikuwa wanatamba Sana mjini kwa kuitwa eti Tiss wa JPm hakuna mtu alithubutu kuwachoma popote,hao ndio walikuwa wazalendo wa Mwendazake 😂😂.kwahiyo baada ya kodi za madini zilizopandishwa na JPM unataka kupandisha tena? lipa kodi mzee enzi za kuishi burebure zimepita unless huoni matumizi yake ila nina uhakika unaona kupitia post zako humu!
Alienda kupiga story na polisi wakadhani ni mshkaji tu then alipokaa karibu akakwapua bundukiHvi izo bunduki alizoshika kisheria anaruhusiwa mwanachi wa kawaida kumiliki mm najuaga vibastola tuu ebu tusaidie
Kukusaidia tu hakuna something called a Village in City council, municipal council hilo tango pori rudisha tu ulikochukuaChadulu Village, Dodoma City.,., yaani Tanzania on average, bado sana., Dodoma bado ni ushago kwa wingi..,
View attachment 1907491
View attachment 1907494
View attachment 1907495
View attachment 1907496
Alienda kupiga story na polisi wakadhani ni mshkaji tu then alipokaa karibu akakwapua bunduki
Kuna yule mpumbavu alikuwa anaechukua jeshi kununua korosho zikaishia kuozea kwenye maghala huku wakulima wakila hasara,wenye akili wanatafuta wanunuzi kama hivi sasa.
Kumbe jamaa wa kitaa afadhali,, maana angekua mgeni tungekosa wenzie maana wamemkillhuyo jamaa anaitwa hamza... .. na ni tajir kiaina.. nashangaa sana anaposemwa ni alshabab
anyway, maisha ya mtu ni siri yake
Wewe matakooo akili hauna ubongo wa ccm ni magufuli sasa hivi ccm hakuna ubongo wewe ukiwa ni mmoja wapo wa wasio na ubongo magufuli akuwa mpumbaavuu wa kuruhusu miradi uchwara ya sgr ya mchina kama ya kenya ,na kwa taharifa yako magufuli kaipaisha sana tz na zanzibar wakati wa korona kutokana na kuaminika kwake na watalii watalii walikuwa wanasema tukiwa tz tunajihisi tuko salama kwa sababu ya magufuli ujambazi na kukatika kwa umeme vyote vilitoweka tofauti na huyu minidoHuu mradi ulisimama kwa sababu ya sera mbovu na zisizotahirika za Uchumi za Mwendazake.
Wawekezaji wamerudi tena,soon utaanza kuiona Dar ikirudi tena kwenye ligi ya majengo marefu na real estates sector kiujumla.
Hiyo ni private entity itafanya hiyo Kazi ,nyie ai ndio mlikuwa mnasema real estate kwa Tzn ni ya public parastatals au? Subirini dozi ikolee .Kmmke mnadhani kujenga ghorofa ya floor 70 ni sawa na kuchinja albino, tena zanzibar😂😂
Kaipasha kutoka growth ya 7% hadi 4%,una akili kweli wewe nyumbu wa Magufuli?Wewe matakooo akili hauna ubongo wa ccm ni magufuli sasa hivi ccm hakuna ubongo wewe ukiwa ni mmoja wapo wa wasio na ubongo magufuli akuwa mpumbaavuu wa kuruhusu miradi uchwara ya sgr ya mchina kama ya kenya ,na kwa taharifa yako magufuli kaipaisha sana tz na zanzibar wakati wa korona kutokana na kuaminika kwake na watalii watalii walikuwa wanasema tukiwa tz tunajihisi tuko salama kwa sababu ya magufuli ujambazi na kukatika kwa umeme vyote vilitoweka tofauti na huyu minido
I know you are smart than this.mbona hamna ICD hapo naona chaka? Au unamaanisha nini na ICD? Internal Container Depot?
Al shabab kwn hakuna marajiri mzee, leo nakushangaa unataka kupindisha pindisha kweli..hilo sijui.. jamaa ana nyumba nzuri tu.. kitajiri.. maisha ya watu wengine ni siri
Sasa anko hata kamA sio gaidi unataka tuseme ni gaid??Endeleeni kujifariji tu na baba ako Simon
Watu huamua kitu na agenda au kw ajili ya kufikisha ujumbe..ila msipanic
Huyu mwamba kajiamini vipi aisee au alitaka kufa tuu akaona isiwe tabu Acha nikazue taharuki tuu huko mjini
Ya Tanzania au ya East AfricaHio ligi ya Tz sioni Yanga wakichukua hivi karibuni.., Simba ni Man city ya Tz..,




