Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Outside Dar., na pia Dar yenyewe, standards ya residentials ziko down sana., one organized estate inawashangaza sana, wanabubujika wanadhani ndio sasa.., tulizizoea tangu nizaliwe.., 😂😂😂
Their villages are hopeless. The richest rural area in Tanzania is around Moshi and Mt. Kilimanjaro, it's just average in comparison to Kenya's rural areas.
 
😂 😂 😂 😂 jipe moyo., zoea kuana estate, mpangilio, najua hizi ndio mnaanza kuviona.., lakini bado sana.., on average,
Nakuru pekee imelaza Mwanza..,


Kiambu inauwa Dar


Machakos


Mombasa

Tudor, Mombasa

Unanichanganya sana nimekwambia ulete mradi mkubwa mmoja wenye nyumba 1000 nje ya NAIROBI, lakin umeleta videos nyingi mno, .. hivyo vi real estate vya MOMBASA huwezi kuvilinganisha na Iyumbu hata siku moja, huo ni ukichaa.. at least machokos inaweza kuonyesha.. huo mradi wa iyumbu ndio phase 1 imeanza up mchongo ni mji mzee sio kisemeh tulia uishe tupimishane misuli
 




E9bBgErWEAU6wzH
E9bBgIhXIAU_feM




MY TAKE
Safii sana mama Kazi iendelee!

By 2025 atajenga Health centers over 700,,hii rekodi itakuwa alama,the same kwenye roads etc
 
Health and Education are important aspects..kama they are trying there best kuwa transparent na mobile levy..ni swala la kuwapongeza ...wameanza vizuri..and we better see this every two months wanapeleka hela kwenda kufanya vitu postive...we have a lot of things vidogo vidogo bado..kwenye social services..nmependa walivyoanza

1..Kama hivyo vituo vya afya..bado vitahitaji upgrades ...they will finally need upto 1.5bil tsh kukaa vizuri..na kuwa na equipments kama Ultrasound , Basic Lab equipments..

2.Bado madarasa yatahitaji ...madawati, libraries labs mashuleni ..computers...ili watu waweze kuwa na elimu ya maana...na exposure ya internet

3..Tutahitaji.mobile levy ipambane na maswala haya vizuri na ntampa sana mama hongera ..tukiona vina progress .

4..Huduma za Elimu, na Afya ziweze kuwa na bei na fuu sana ..kila mtanzania kupata huduma nzuri pasipo kujali ..uwezo wake..na Walimu na Madaktari walipwe vizuri..kama motivation ya kujitoa

5. Badae waanze kupambana na huduma nyingne kama Maji hasa vijijini , Vituo vya polisi kuwa na magari ya fire, Magari ya ambulance ya kutosha..
Mobile levy ni specific kwa ajili ya Afya,maji na elimu.
Mafuta ni kwa ajili ya barabara za Vijijini na mijini.So wananchi hasa wa mjini licha ya kulia Lia na tozo mimi naunga mkono kwa sababu ziko directed kwenye specific sectors ,zingekuwa ni mapato ya jumla jumla ningepinga maana fedha zisingeonyesha matokeo.
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 next time fanya utafiti mwafaka kabla ya kukurupuka.., Dom hiyo eti?😂😂😂😂, sawa bro, nimekubali, relax sasa., next topic?
Kwahyo hapo sio DODOMA eti.? 😂😂😂, We jamaa una hasira sana, ok haya niambie we mtanzania mwenzangu hapo ni wapi.? 😂😂
 
yaani hiyo namba 5 huoni aweso akikatiza kila siku kupitia miradi huko vijijijini?

Aingie kwenye Taneps utaona tenda za miradi ya maji zaidi ya 700 nchi nzima.

Maza anaupiga mwingi kimya kimya na pesa anayo,kuonyesha hilo atakuwa na Samia Cup vs Kagame cup na atawatafutia maisha vijana wa kike akina tomboy 😁😁😁😁 .

Nilicheka Sana ile kauli yake japo imeleta criticism but aliitamka kwa Nia njema na ukweli haswaaa.
 
wanafunga comments maana wanajua wanachofanya sio sahihi...

nimeona sehem kikwete yupo comoros sijui kumpeleka ujumbe wa mama huko comoros! kwann kikwete na sio VP au PM au hata waziri wa secta husika wa huo ujumbe? yan kikwete alikuwa yupo zambia katumwa huko comoros afu pia atarudi zambia tena!

cc:


Achaga upoyoyo,gubu na kijiba cha roho,mbona mwendazake alikuwa anamtuma JK sehemu nyingi Sana Duniani,je hao akina VP na PM au Waziri wa Nje hakuwepo?
 
Ni bora Magufuli aliwabana wawekezaji kwenye kodi na kutuachia tupumue kuliko huyu aliye wachimbia biti watumishi kuwa ataki kuona wakitoshana nguvu kwenye kodi na Barrick nacwawekezaji wengine, then kutubebesha mzigo wa kodi wananchi.

So sad.
Acha hadithi za kipuuzi wewe,mda wa propaganda ulishapita
 
Back
Top Bottom