Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zinafanana sanaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1105950146.jpg
JamiiForums1891144598.jpg
 
Ushagoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
image_downloader_1629228620210.jpg
 
Aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-429885144.jpg
 
More of ushagoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums602200680.jpg
 
Wakenya wapo zaidi ya milioni 50 na wote wanawaza kwenda ng'ambo, hapa Tz kuna Wakenya wengi ambao hawataki kabisa kurudi kwao, huwa wanatuma pesa tu nyumbani lkn hawataki kurudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa wanapigana mpini balaa, kanchi kadogoo lkn tumewapita watu milioni 5 tu na resources hamna, kwanini wasiwe na njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kulipa kodi ni wajibu mzee kwa ajili ya kuwa huru huwezi kutegemea wahisani ndumilakuwili kama IMF na WB kila siku, wahisani wenyewe wanatoza hizo kodi kwao kutupa mikopo! Ukiwabana sana wawekezaji unaongezaje ajira sasa? Na nani kakuambia matozo kwao yatatosha? Na unawezaje ku-compete katika kuvutia wawekezaji na kodi kubwa kwao? Mimi namshauri mama aache expenses zisizo na tija kubeba kundi wakati anazungumzia kujenga mahospitali na anatoza zaidi kodi si akili! Anapaswa aonekane akibana matumizi pia!
Nimeona nisikujibu kwa maandishi. Kulipa kodi ni wajibu lakini hatuwezi acha watu wazoe madini yetu na kudai eti "hatutaki kuona TRA wakitoshaba nguvu ba Barrick Gold" kwakua ni wawekezaji. Yaani wachukue gold karibu na bure then tuwabebeshe maskini mizigo ya kodi.

Mwanangu kapost hii na kanitag. Msikikize Magufuli juu ya kubebesha maskini kodi.

 
Huyu mama tumepigwa tukubali tukatae, tuna katiba mbovu mno, katiba ambayo akitokea mzalendo nchi inaneemeka ila akitokea borgus lazima kilio kisikike, kwa bahati mby wazalendo ni wachache na ndiyo maana na conclude kwamba tuna katiba mbovu duniani, katiba ya karne ya 20 inakwenda kuamua maisha ya kizazi cha karne ya 21.

Wazalendo Tanzania ni wengi, swala ni kushika uskani.

Hapo ni Wazalendo vs Mafisadi. Wazalendo sio wezi hivyo hawajajilimbikizia mali na sio vibaraka wa Wazungu na Mashirika yao.

Mafisadi ni wezi na wameiba vyakutosha na wana hela na ni vibaraka wa Wazungu na mashirika yao. In most cases, ndani ya CCM mafisadi ndio wameshika chama na ndio wanaamua nani ashike usukani kwa nguvu za "pesa" kifisadi.
 
Back
Top Bottom