Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chadulu Village, Dodoma City.,., yaani Tanzania on average, bado sana., Dodoma bado ni ushago kwa wingi..,
1629883333292.jpeg

1629883354819.jpeg

1629883363630.jpeg

1629883370930.jpeg
 
Kwanini tupigizane kelele .? Kuona ni kuamini ..mimi nimeweka picha na wewe weka picha au video, ndio maana ya hii thread, hatupo hapa kujibizana kwa maneno matupu

View attachment 1907431View attachment 1907432View attachment 1907434View attachment 1907435
Don YF heb pitia hapa alafu ulete kitu kinachofanana na hiki nje ya NAIROBI, huu mradi ni eneo zima la hivyo vitown vyenu uchwara, and guess what hizi hapo kwenye picha ni phase 1 ya mradi ni 400 houses..na huo ni mradi wa shirika la nyumba la taifa yaani unafanywa na government if Tanzania sio private property hii mzee
😂 😂 😂 😂 jipe moyo., zoea kuana estate, mpangilio, najua hizi ndio mnaanza kuziona.., lakini bado sana.., on average,
Nakuru pekee imelaza Mwanza, Dom, Arusha combined..,


Kiambu inauwa Dar


Machakos


Mombasa

Tudor, Mombasa
 
Chadulu is not in the city! There is Dodoma Region where there is Dodoma city!
Ni Dodoma mzee.., sio town, yaani shopping centre, ni makazi.., those dwellers go to shop and hustle in Dom town., which u call a city.., in Tz city ni moja tu., Dar.
 
Diani has hotels that can Rival any place on this continent but Diani town is a small town - same to Watamu. There is a difference between the town and the hotels. Kujenga 70 floor building Zanzibar ni kama kujenga 70 floor building Lamu. It will stand out like a sore thumb. Heri mngesema Dar. As we speak, does Zanzibar have any building over 10 floors? Such structures need an existing cluster. You're stupid if you think this project will materialize.
Povu lote la nini wewe inakuuma nini wakijenga si wao wameamua kujenga povu la nini sasa?
 
Back
Top Bottom