Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Al shabab kwn hakuna marajiri mzee, leo nakushangaa unataka kupindisha pindisha kweli..
Hyo jamaa katoa habari kiaina na tatizo mlizembea kumuua wakati ilikua keshaamua kujisalimisha
Naona jamaa alikinukisha huko Bongo, duh!
 
Wakenya Wakenya Wakenya nawaita mara tatu, nawakumbusha kwamba hii ni Iyumbu Dodoma, ikikamilika kutakuwa hakuna estate ya kulinganisha hapa East and Central Africa, nyumba 1000 kwa phase 1 bado phase zinazofuata, ikikamilika itakuwa another project to infinity after the white house in Dodoma
Screenshot_20210825-063425.jpg
Screenshot_20210825-063438.jpg
Screenshot_20210825-063408.jpg
Screenshot_20210825-063450.jpg
 
Back
Top Bottom