Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumba 1000 yani tukianza kupiga picha hazitakuwa za upande upande yani tunapiga tu kwa angle tofauti tofauti bila woga, sio vijumba kumi vinapigwa upande upande vinatupiwa humu
 
Hii ianzishiwe uzi wakuu ili tukaufute ule uzi wao wa kale kaghorofa kao kadwarf
JamiiForums1304861720.jpg
 
Nimeona nisikujibu kwa maandishi. Kulipa kodi ni wajibu lakini hatuwezi acha watu wazoe madini yetu na kudai eti "hatutaki kuona TRA wakitoshaba nguvu ba Barrick Gold" kwakua ni wawekezaji. Yaani wachukue gold karibu na bure then tuwabebeshe maskini mizigo ya kodi.

Mwanangu kapost hii na kanitag. Msikikize Magufuli juu ya kubebesha maskini kodi.


kwahiyo baada ya kodi za madini zilizopandishwa na JPM unataka kupandisha tena? lipa kodi mzee enzi za kuishi burebure zimepita unless huoni matumizi yake ila nina uhakika unaona kupitia post zako humu!
 


Watu bado hawaamini kwamba huu mjengo unaenda kujengwa



Hata mimi siamini bado mpaka nione ground breaking! Kuna miradi mingi Zanzibar imeongelewa ila haijafanyika! Kuna this mega project with at least 5 5 star global brand resorts and 18 holes golf course and even a private jet airport tangu 2017..






 
Hata mimi siamini bado mpaka nione ground breaking! Kuna miradi mingi Zanzibar imeongelewa ila haijafanyika! Kuna this mega project with at least 4 5 star global brand resorts and 18 holes golf course and even a private airstrip tangu 2017..








Unless gazeti kama the citizen wanaandika habari za uongo ila tungoje kwa kutulia tuone, bongo kuna miradi mingi tuu ipo on paper ila tunatumai itatekelzwa
 
nao ni mega project over $1.6 bln to be invested utakuwa na private airport with a runway of 3000 m! tangu 2017 wanaufanyia promo ulikuwa ufunguliwe mwaka huu!







Kweli ila Acha tuvute subira mpaka mwakani tuone kama ni hadithi au kwasavabu mwakani ndio walisema phase one itaanza
 
Back
Top Bottom