Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Kweli wewe ni kiazi mbatata,usimlinganishe JK na baba yako? Usalama unawajua wewe au unaropoka tuu kama mwehu hapa?Sio hajui, ila swala ni kukubali kuendeshwa na wale walio mfikisha hapo, wakina Kikwete.
Nashangaa, kwanini usalama wanamwacha kikwete aendelee kuushi.
Mwanae anatafuta nafasi ya waziri wa ulinzi kwa kasi mno, siyo shangaa akitangazwa yeye au Makamba. Lets wait and see.
Wawekezaji gani wewe kenge? Mikopo ya masharti ya kibiashara ndio wawekezaji? Hili taga la mwendazake ni jinga kabisa.Ni bora Magufuli aliwabana wawekezaji kwenye kodi na kutuachia tupumue kuliko huyu aliye wachimbia biti watumishi kuwa ataki kuona wakitoshana nguvu kwenye kodi na Barrick nacwawekezaji wengine, then kutubebesha mzigo wa kodi wananchi.
So sad.
wewe ni fan wa Yanga?
Ulismama wapi na lini walitangaza huo mradi ukipata nitag hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Bangi bro tena za chooni 😂😂😂ni heri ungeachana nae... huwa nampuuzia[emoji3].. comment zake ni pumba
Ndio 🤣🤣🤣🤣wewe ni fan wa Yanga?
Simbaaa 🔥 🔥 🔥 🔥Ndio 🤣🤣🤣🤣
Msimu huu lazma mpewe vitasa 🤩🤩Simbaaa 🔥 🔥 🔥 🔥
Hio ligi ya Tz sioni Yanga wakichukua hivi karibuni.., Simba ni Man city ya Tz..,Ndio 🤣🤣🤣🤣
Naona mataga mnafarijiana ,ni hivi jipangeni 2030 saizi ugulieni maumivu.Huyu mama tumepigwa tukubali tukatae, tuna katiba mbovu mno, katiba ambayo akitokea mzalendo nchi inaneemeka ila akitokea borgus lazima kilio kisikike, kwa bahati mby wazalendo ni wachache na ndiyo maana na conclude kwamba tuna katiba mbovu duniani, katiba ya karne ya 20 inakwenda kuamua maisha ya kizazi cha karne ya 21.
Mchezo wa mpira ndio ulivo 😄😄Hio ligi ya Tz sioni Yanga wakichukua hivi karibuni.., Simba ni Man city ya Tz..,
Nimeona nisikujibu kwa maandishi. Kulipa kodi ni wajibu lakini hatuwezi acha watu wazoe madini yetu na kudai eti "hatutaki kuona TRA wakitoshaba nguvu ba Barrick Gold" kwakua ni wawekezaji. Yaani wachukue gold karibu na bure then tuwabebeshe maskini mizigo ya kodi.
Mwanangu kapost hii na kanitag. Msikikize Magufuli juu ya kubebesha maskini kodi.
Huyu mwamba kajiamini vipi aisee au alitaka kufa tuu akaona isiwe tabu Acha nikazue taharuki tuu huko mjini