Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unanichanganya sana nimekwambia ulete mradi mkubwa mmoja wenye nyumba 1000 nje ya NAIROBI, lakin umeleta videos nyingi mno, .. hivyo vi real estate vya MOMBASA huwezi kuvilinganisha na Iyumbu hata siku moja, huo ni ukichaa.. at least machokos inaweza kuonyesha.. huo mradi wa iyumbu ndio phase 1 imeanza up mchongo ni mji mzee sio kisemeh tulia uishe tupimishane misuli
iko mombasa kuna ya buxton housing project..a total of 1253 houses

1,253 Buxton project houses bought off-plan, says Shahbal​


1629887569387.png


1629887511779.png
 
Tatizo sio kukusanya kodi ...ila huwezi kueleweka kwa kutetea kulimbikizia makodi mengi kwa wananchi mfano tozo za laini, wazo lake halikuwa baya na sidhani kama kungekuwa na viwango reasonable watu wangelalamikia, aya ukiangalia tozo za pango kukatwa kupitia umeme huoni ni wazi anae shambuliwa ni nani?...Je mwananchi huyu unategemea acheke ?
Acha upotoshaji ,hakuna kodi ya pango ila kuna kodi ya majengo,kutoka kupanga foleni hadi kukatwa kwenye luku.

Pili uchumi unakua na Kodi nyingi tuu zilizokuwa kero zilifitwa kwa hiyo hapa ni offsetting tuu .Mfano kipindi mwendazake Mazao ya wakulima yalianguka Sana bei na mengine yalikuwa hayatoki sokoni.

But soon alivyoingia mama Mazao yamepata bei nzuri na yanaenda mfano mahindi,ufuta, mbaazi nk sasa kama wakulima wamepata mapato why wasilipe kodi kwa namna ya tozo?.

Hii nchi watumishi na wafanyabiashara ndio walikuwa wanaonewa ila sasa ni wote safi Sana hii .

Mwisho ule wizi ambao kampuni za akina Kalemani/ Magu walikuwa wanaufanya kwenye kuweka pigment kwenye mafuta umedhibitiwa Yale mabilioni yamerudi Serikalini,kana kwamba haitoshi kulikuwa na wizi wa kuzipa kampuni binafsi eti kufanya ukaguzi wa magari nje ya nchi lakini nap umepigwa chini saizi wanafanya TBS na wameingiza pesa za kutosha .

Serikali ya Magu ilijaa majizi huku yakiwafool wajinga eti uzalendo,hakuna wa kuhoji na ukihoji unapotea ndio maana unaona Ma DED wa Magu wengi wamepigwa chini na wengine Wana kesi.
 
Kwahyo hapo sio DODOMA eti.? 😂😂😂, We jamaa una hasira sana, ok haya niambie we mtanzania mwenzangu hapo ni wapi.? 😂😂
hapo ni Dodoma, kwani unataka kusema ni wapi wewe?., si ni hiyo dodoma unapigia kelele hapa? ndio nakucheka😂😂😂 😂 😂 😂 baki nayo tu.., hiyo sio ata level ya Kericho.,
 
hapo ni Dodoma, kwani unataka kusema ni wapi wewe?., si ni hiyo dodoma unapigia kelele hapa? ndio nakucheka😂😂😂 😂 😂 😂 baki nayo tu.., hiyo sio ata level ya Kericho.,
😂😂😂 DODOMA gani unayoizungumzia.? kuna facilities zipo Dom hata NAIROBI hakuna.. Bisha twende ground
 
hapo ni Dodoma, kwani unataka kusema ni wapi wewe?., si ni hiyo dodoma unapigia kelele hapa? ndio nakucheka😂😂😂 😂 😂 😂 baki nayo tu.., hiyo sio ata level ya Kericho.,
Yani picha ya hiyo resolution mtu anasema ni ya 1970s. Wanapenda kukwepa ukweli hawa. 🤣 🤣
 
hapo ni Dodoma, kwani unataka kusema ni wapi wewe?., si ni hiyo dodoma unapigia kelele hapa? ndio nakucheka😂😂😂 😂 😂 😂 baki nayo tu.., hiyo sio ata level ya Kericho.,
😂😂😂 Ni Dom gani unayoizungumzia.? Dom inakuuma sana we jamaa, unaenda hadi google kutafuta picha za vijijini uko, kuna facilities zipo Dom hata NAIROBI hakuna, bishana twende ground
 









MY TAKE
Huyu mwenye basi mshenzy mbona hatoi basi what if akiamua kuelekeza risasi kwa abiria?


Dereva labda kakimbia kaacha gari 😂😂😂 , ila ilo eneo kuna folenii we huoni magari yapo kibao yamesimama, ata bajaji wenyewe wameshindwa kuokoa bajaji zao itakua basi
 
Back
Top Bottom