Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That is not a trumpet interchange..Hio ni diamond shaped interchange(Muthaiga interchange) same to the one found in thika road but ya thika iko more complicated..by the way hio interchange iko out of nairobi iko Kitui..could you also show us other interchanges zenye ziko out of dar es salaam..View attachment 1894438
leo ipo nje ya Nairobi sio siku nyingine mpaka Thika mnaita Nairobi!
 
alooo.. nairobi statehouse is just but a replica of washington DC whitehouse..

nbi statehse View attachment 1893926
DC whitehse View attachment 1893927
hili dude linarekodi za kidunia..
next tym liongelee kwa heshima zote we mkunya!!
20210816_140656.jpg
20210816_140822.jpg
 






MY TAKE
Not a good trend! Why is tobacco and coffee exports declining?


Kwenye coffee hapo niliskiaga kwamba wakulima wakahawa kagera walikua wanang'oa miti ya kahawa na kupanda mazao mengine kwasababu kahawa ilikua haina, then serikali ikaingilia kati sasa sijui wamefikia wapi
 
Kwenye coffee hapo niliskiaga kwamba wakulima wakahawa kagera walikua wanang'oa miti ya kahawa na kupanda mazao mengine kwasababu kahawa ilikua haina, then serikali ikaingilia kati sasa sijui wamefikia wapi
halafu biashara ya magendo pia kwenda Uganda!
 
Ukipata maradhi ya kutengeneza yoyote unayojua nicheki mimi nipate kukusaidia bibie.
Somo limekuingia hilo, usijali next time wala hutokurupuka tena manake haswa ulijitia mjanja kukwepa nilichomaanisha lkn sasa naona zimekukaa sawa
 
Back
Top Bottom