Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BRT Phase two inapita hapo kuungana na Morogoro Road.

Nadhani Soon hapo patakua safi sana na lile eneo maana TRC washamaliza kazi yao, iliyobaki ni BRT phase two kuanza kazi hapo. Lile eneo wakulungwa wanasema halina lami litawashangaza muda si mrefu. Ntawakumbusha mimi mwenyewe na picha kali za pavements na BR lanes[emoji1787][emoji41]

View attachment 1894237


View attachment 1894235
Hapo kwenye yellow encircled si matayarisho ya office tower kweli? Mimi naona kama vile kuna kitu kinakuja maana la sivyo wangepanda majani!
 
SGR Mombasa terminus.,
1629103145610.png

1629103255021.png

1629103532625.png

1629103309018.png

SGR port bridge,, Mombasa
1629103369212.png
 
Wanasingizia natural hazards tukiwaomba evidence wanaleta za Japan [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii inaitwa zilipendwa a.k.a old model a.k.a charcoal railway line a.k.a a railway to nowhere yani kwa kiswahili tunaita borgus treaty causing painful to most laziest tax payers creatures.
wewe ngoja train ya umeme unitag nitakuonyesha jambo.., so relax, wacha kiherehere iliyo jawa na wivu 😂 😂 😂 😂 😂 Tanzania inajulikana dunia yote kama taifa la mivivu., so tulia tu.,
 
wewe ngoja train ya umeme unitag nitakuonyesha jambo.., so relax, wacha kiherehere iliyo jawa na wivu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SGR [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210717-233014.jpg
 
Ni uchungu lakini vumilia tu dogo.., tafuna ndimu kama mwanaume wacha kulia lia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sehemu mbili tofauti sana!..,
View attachment 1894301
View attachment 1894302
Tofauti eehhh, picha za sasa huwa hamzitaki mnapost picha za uzinduzi ili kuficha vandalism mnayofanya kwenye miradi iliyojengwa kwa pesa ya mlipa kodi, yn nyie watu ni wachafu mnooo project ikikamilika leo after a month inakaa ya miaka 10 iliyopita, elimu haijawahi kusaidia mkenya.
 
unajua story ya Afghanistan ilianzaga hivohivo ikulumosque polepole,Maombi taifa Uislamu,kidogokidogo kwenye street hapo"Sheria law!Sheria law!"boom boom boom boom🔥🔥Kidogo maombolezi😂😂😂😂😂😂Alkaida
Wakenya washamba sana, hujui kitu kaa kimya:
Cheki moja ya makanisa yetu: St. Joseph Church Posta, Dar es Salaam
1629104851447.png
 
Tofauti eehhh, picha za sasa huwa hamzitaki mnapost picha za uzinduzi ili kuficha vandalism mnayofanya kwenye miradi iliyojengwa kwa pesa ya mlipa kodi, yn nyie watu ni wachafu mnooo project ikikamilika leo after a month inakaa ya miaka 10 iliyopita, elimu haijawahi kusaidia mkenya.

Mombasa..,
1629105335417.png


Hapa ni wapi kijana mkorofi? sehemu ipi ya landslide?
1629105389827.png
 
unajua story ya Afghanistan ilianzaga hivohivo ikulumosque polepole,Maombi taifa Uislamu,kidogokidogo kwenye street hapo"Sheria law!Sheria law!"boom boom boom boom🔥🔥Kidogo maombolezi😂😂😂😂😂😂Alkaida
Kwa taarifa yenu Tanzania iko inspired na hizi dini kubwa za Uislam na Ukristo
1. Tanzania State House: 2. Church in Sicily, Italy: 3. Masjid alrajhi in Mecca Saudi Arabia
1629105058621.png
1629105173415.png
1629105282558.png
 
Land slide iko wapi apo, unaelewa maana ya land slide?
mporomoko wa udongo on the walls of a valley or slope..barabara iko intact 😂 😂 😂 the side wall ya kuzuiya udongo ndio iliporomoka.., so point yako???
 
Back
Top Bottom