Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa..,
View attachment 1894317

Hapa ni wapi kijana mkorofi? sehemu ipi ya landslide?
View attachment 1894319
Kwahiyo hii sio Mombasa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-2105629975.jpg
JamiiForums-1812226999.jpg
 
We huoni kama hiki ni choo if u compare it with this huge white house, and we don't have that one alone, we also have another one called Ikulu to infinity which is bigger than this, just make a comparison and tell me what would you call your white house if not a toilet [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1893897View attachment 1893898
yaani wanapoona Tz tunajenga ikulu mpya na makao mapya roho zinawauma kweli wanatamani wajenge ikulu mpya nairobi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mporomoko wa udongo on the walls of a valley or slope..barabara iko intact [emoji23] [emoji23] [emoji23] the side wall ya kuzuiya udongo ndio iliporomoka.., so point yako???
Kwahiyo hapo kwenye hyo picha niliyoweka kuna land slide?
 
Wewe sema kama ni land slide ili nikulipue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hauna uwezo wowote, ni kulia lia tu, chuki na maumivu ndio zako., hauna lolote wewe, hewa tupu, jamaa la vioja 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
hauna uwezo wowote, ni kulia lia tu, chuki na maumivu ndio zako., hauna lolote wewe, hewa tupu, jamaa la vioja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushakubali, asante sana, wewe ungefanya kama unajikuna alafu uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanza hizi Ikulu za Tz zinafanana na kanisa kuliko msikiti, tangu lini muingereza akajenga jengo mfano wa msikiti.
Na hata zikifanana na msikiti au kanisa shida iko wapi? Nchi yetu ina dini kubwa mbili, hapa tukitumia structure ya kiislam pale tunatumia structure ya Kicristo.
Mfano bendera ya taifa kuna kijani na njano ilhali wimbo wa taifa ni kwaya
 
Exactly eehh mnaharibu infrastructures kipuuzi mnabaki kuweka picha za uzinduzi, za sasa hamzitaki, rudini shule mkajifunze maana ya ustaarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
eti picha za uzinduzi 😂 😂 😂 😂 😂 vumilia Tz itafika siku moja😂😂., nchi ya city moja, mmekimbia vijijini kujazana na kufinyana pwani,😂😂😂😂,nje nothing! so jifunze kuzoea maumivu, bado kuna mengi yanakuja..., 😂😂
 
Na hata zikifanana na msikiti au kanisa shida iko wapi? Nchi yetu ina dini kubwa mbili, hapa tukitumia structure ya kiislam pale tunatumia structure ya Kicristo.
Mfano bendera ya taifa kuna kijani na njano ilhali wimbo wa taifa ni kwaya
Umeongea point kubwa kabisa mkuu.
 
eti picha za uzinduzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vumilia Tz itafika siku moja[emoji23][emoji23]., nchi ya city moja, mmekimbia vijijini kujazana na kufinyana pwani,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],nje nothing! so jifunze kuzoea maumivu, bado kuna mengi yanakuja..., [emoji23][emoji23]
Mbn unarukaruka kama kuku aliyekatwa kichwa, wewe jikune tu uone, sema kama kuna land slide imetokea Kenya au kwenye ile picha niliyopost alafu uone balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Exactly eehh mnaharibu infrastructures kipuuzi mnabaki kuweka picha za uzinduzi, za sasa hamzitaki, rudini shule mkajifunze maana ya ustaarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
December 2020 ni uzinduzi kwa kauli yako.., 😂😂😂😂., najua fukara halina data, lakini nita post tu clip kwa wachache, sio wewe.,
 
December 2020 ni uzinduzi kwa kauli yako.., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., najua fukara halina data, lakini nita post tu clip kwa wachache, sio wewe.,
Unaniletea ndoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom