Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yaani wanapoona Tz tunajenga ikulu mpya na makao mapya roho zinawauma kweli wanatamani wajenge ikulu mpya nairobi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nani anatamani ama ni mamako. sisi tumeridhika na ikulu yetu sawa na venye waamerika wameridhika na whitehouse. senge hii
 
unajua anapotumia Air Tanzania serikali inakodi hiyo ndege? Sasa kipindi hiki cha corona ni anaipa boost Air Tanzania!
Mm sizungumzii mapato ya Air Tanzania nazungumzia matumizi mabovu ya fedha za umma hasa kwa viongozi malimbukeni wa kiafrika, tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kuharibu haribu pesa kwa sifa za kijinga.
 
Back
Top Bottom