President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
🤣 🤣🤣Tumekupa nafasi ya ku prove umeshindwa. Badala yake umeanza kutuonesha picha za South Africa na Karachi.Bro kizungu ni ngumu.... unajua maa a ya most improved?
🤣 🤣🤣Tumekupa nafasi ya ku prove umeshindwa. Badala yake umeanza kutuonesha picha za South Africa na Karachi.Bro kizungu ni ngumu.... unajua maa a ya most improved?
Wamekaa kikao kule PM wakaona wakikaa kimya hawataeleweka, now ndo wameambizana waje kwa pamoja kutetea upuuzi, eti Petty search, we mpuuzi nn unaiba picha zaidi ya tatu kwenye post moja zen unasema Petty, c ungeweka picha hii hapa ya ukweli kuliko ku mix hospitali ya kiwango kule SA uki claim kwamba ipo Nairobi, weka picha yenu ya st mary's ya Kenya unaona aibu gnView attachment 1845125
Sio kwa Marked road hiyo . Kwa sauti ya Mapesa.Wealthier of what ??? 😂😂😂 ikiwa 75% watu wanaishi kwenye maisha zaidi ya nguruwe kuna utajiri gani au unamaanisha utajiri wa politicians na wale wajanja wachacheNa huo udogo wake bado Nairobi ni two times wealthier than Dar😂😂.
Nyinyi ndo dah tu sisi kuna devolution kila mkoa na development yakeMkoani huwa hawataki mana wenzetu kila kitu ni Nairobi tu.
Express way nakumbuka nilifkiri munajenga nyinyi kwa pesa yenu kumbe ni ya mchina kwa miaka 30 na mutalipia hapo kwa lazma sio ombi 😂😂😂😂Je, wakumbuka ukisema GTC ni render?
Je, wakumbuka ukisema Expressway in render?
Je, wakumbuka ukisema 88Nairobi ni render?
Je, wakumbuka ukisema CBK Pension House ni render?
Je, wakumbuka ukisema Parliament Tower ni render?
Je, wakumbuka ukisema miradi nyingi za Nairobi ni render, mwishowe unaaibika?
Haven't you learnt something bongolala?
Vitu kwa ground ni uharo wa nyani😆😆
Express way nakumbuka nilifkiri munajenga nyinyi kwa pesa yenu kumbe ni ya mchina kwa miaka 30 na mutalipia hapo kwa lazma sio ombi
GTC nayo ni ya mchina ni yale yale unaruka mkojo unakanyaga mavi
Narudia kusema mwambie mwenzako asante kwa render



Wamevuruga mada km kawaida yaoGround gani? Our GDP gap is expanding which ground fo you mean???? Ama kupiga kelele online?



Vijana hawana kazi🤣🤣🤣 over 40% unemployment rate kila mtu kazi yakeni ku fake maisha wakenya ni kama wakimbizi kwenye nchi yaoHii imeniacha hoi aisee 😅😅😅😅😂
Kwann umepost render 🤣🤣🤣🤣State of the art equipments the nairobi west hospitalView attachment 1844448
Nairobi west hospital View attachment 1844449View attachment 1844451View attachment 1844452View attachment 1844453View attachment 1844454
Usipokimbia nitakusifu mzee..chagua, tuanzie ushuani au mitaani kw kila kitu mzeeSi mbaya kujifari
Battle ya school buses mlibaki ku post viberiti mzee, leo battle ya hospitali za mitaani ukakimbia, ya hospitali zote mumeanza kulia lia..
Hamna kitu nyie bana, sio mtaani mpka ushuani huduma zero..
Km unabisha tuanze sai na usikimbie, chagua tuanzie ushuani au mitaani chaguo ni lako bibie..
Nairobi vs Dar km hukukimbia nitakusifu
Tena hapo mmezzd mpk Morroco na Egypt health care services zenyewe ndiyo hizi mnapost humuView attachment 1845160
🤣🤣🤣🤣🤣 kama kawaida yao kwenye maneno 10 chukua moja uondokewacha ushenzi Mkunya! Hii ni Aga Khan University campus ya Karachi Pakistan
![]()
And this is Arusha's
Architectural Model of the Aga Khan University Faculty of Arts and Sciences (AKU-FAS)
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Architectural Model of the Aga Khan University Faculty of Arts and Sciences (AKU-FAS)
All related at Ismailimail –ismailimail.blog
yani hapo hata picha kanyofoa mahala!Kwann umepost render 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 geza utafanya akimbie sasaNyeri ni Nairobi Sio?
Iko nairobi sehem gani ???😂😂😂😂
wana kiingilio cha dharura sio? Simba 254 ? Unacho?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 oneni aga khan ya kisumu nimecheka sana
mbona umeleta aar ya bongo picha ya kwanza
Barabara yenyewe imechoka hatari 😂😂😂Wamekaa kikao kule PM wakaona wakikaa kimya hawataeleweka, now ndo wameambizana waje kwa pamoja kutetea upuuzi, eti Petty search, we mpuuzi nn unaiba picha zaidi ya tatu kwenye post moja zen unasema Petty, c ungeweka picha hii hapa ya ukweli kuliko ku mix hospitali ya kiwango kule SA uki claim kwamba ipo Nairobi, weka picha yenu ya st mary's ya Kenya unaona aibu gnView attachment 1845125
Mkunya hii facility ipo New York city