Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao wasanii wenu watoe kwanza ngoma kali kama hiz . Alaf ndio ulete hii mada tena
Kenya huwezani nayo mzee likiha swala la kimataifa, wakati Campmulla wamekua nominated BET domo alikua bado yupo tandale anahaha..
Vile vile prezzo wakati anakula bata marekani domo alikua bado ywasoma, sasa nyie vitu mnavyovifanya sasa kenya wasanii walifanya kitambo....
Prezzo alitembelea helicopter 15yrs ago lkn nyinyi mnafanya sasa lkn midomo mingi tu[emoji1787][emoji1787]
 
Leta battle ya hosipitally we see what you got
Wewe mgeni humu kwani? Mbn hii battle tulishashinda kitambo, uliza wenzio kwnn hawaitaki hii battle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wenzio mpk leo hawataki tena battle ya govt hospitals, waliishia kusema hospitali co majengo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
You want us to show case hospitals or what?
Chanika Maternity Hospital
1625650719897.png


1625650759427.png


1625650855585.png


1625650901827.png
 
Kama unataka battle sema tu mm mbn nipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwn unaona hapa tunafanyaje, lete hospitali za mitaani dar tayari mi nshakupa mbili kw upande wetu[emoji1787][emoji1787]
Au ndio unataka kuvuruga mada mzee
 
Wewe mgeni humu kwani? Mbn hii battle tulishashinda kitambo, uliza wenzio kwnn hawaitaki hii battle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana tuanze wacha woga
 
Kwahiyo drone shot ndio inapausha eneo au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tangu lini camera ya drone ikawa low quality? Wakati mwingine unazungumza vitu vya hovyo sana.
 
Mm nataka battle ya hospitali yyte ile mradi iwe ya govt, ready?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo umeshindwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekubali km hamuwajali watu wa chini...

Ujue ikiisha hii tunakwenda kw shule za mitaani dar na nai
 
Back
Top Bottom