Hatuiyogopi, tumeitambua kikamilifu, sasa Kiswahili chenyu kuihusu haituchanganyi kamwe.., facts ziko wazi tu [emoji23][emoji23][emoji23]., Dar kazi yake tumemaliza.., Mimi nilishamaliza na drone clips., and when I went there for work some years back kama bado brt was still under construction., makazi yenyu ni ya kimasikini na ni kubwa sana, mtu anaweza potea ndani kama ni mgeni!.., Dar ni Lagos na Kinshasa tu[emoji23][emoji23][emoji23]., Kinshasa CBD yao ni kubwa kuliko Dar by far![emoji23][emoji23] Makazi uchwara kwa wingi, mnafanana tu.