komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kuna mtu kapanic jamani..
Soweto hyooo

Kuna mtu kapanic jamani..

Mnaongea sana.Kwani hospitali za mitaa hamna, tunataka kuona serikali ipi kati ya hizi mbili inawajali watu wa chini..
Tukimalizana hapa tunakwenda kw shule za mitaani dar na nairobi..
Hapa leo hamtoki
Mada imeshakushinda kaa pembeni mzee





Pole sana, endeleeni kuteseka mitaani tuMnaongea sana.




Mada imeshakushinda kaa pembeni mzee
Mwenzako pia naona analialia, hamnakitu mitaani mzee..sio kuanzia vitu vya afya, shule za maana yani upupu tu mitaani kwenu![]()
Kwn mitaani nairobi ni kibera tu



Twende kazi, hospitali ya KivuleKwn mitaani nairobi ni kibera tu![]()





Saifee Hospital TanzaniaMada imeshakushinda kaa pembeni mzee
Mwenzako pia naona analialia, hamnakitu mitaani mzee..sio kuanzia vituo vya afya, shule za maana yani upupu tu mitaani kwenu![]()
nchi ya mathievies.. hadi polisi anaibiwa.. ambieni serikali yenu iwape kazi jobless







Jibu basi tuendelee.Mtu na mkewe wameingia mitini
The best 007 Venus Star mbona tena, mtanzania km kitu anacho hukipiga picha na kukipost mara elfu moja ikiwezekana..leo kunaendaje kwan






State of the art equipments the nairobi west hospitalSaifee Hospital Tanzania
View attachment 1844425
View attachment 1844426
View attachment 1844430
View attachment 1844431
View attachment 1844432
View attachment 1844433
View attachment 1844434
View attachment 1844435
View attachment 1844439
View attachment 1844440
View attachment 1844441
View attachment 1844442
View attachment 1844443
Then angalia masikini wa uswahilini Tanzania lifestyle yao na mazingira yao ya kila siku
Huku utaumia, tuanze kwanza na hospitali za mitaani, Mwananyamala hospitalState of the art equipments the nairobi west hospitalView attachment 1844448
Nairobi west hospital View attachment 1844449View attachment 1844451View attachment 1844452View attachment 1844453View attachment 1844454



That's a health center
Mtu na mkewe wameingia mitini
The best 007 Venus Star mbona tena, mtanzania km kitu anacho hukipiga picha na kukipost mara elfu moja ikiwezekana..leo kunaendaje kwan