Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tena hapo mmezzd mpk Morroco na Egypt health care services zenyewe ndiyo hizi mnapost humu
Screenshot_20210707-200612.jpg
 
sijawah kuona mtanzania kaiba picha, it only happens to kenyans
This is how they have been groomed by Kenyatta senior since independence. Now it has been like their inborn character.
 
View attachment 1845134
Why dint you use this picture if you true with your words hehe ain't that st Mary's nairobi we una shida
Look at the way u r hurt when one posts true pictures of St Mary's Hospital Nairobi! I trust The best 007 way more than u today u have already posted 2 pics to deceive us that Nairobi has better hospitals than Dar!
 
Ground gani? Our GDP gap is expanding which ground fo you mean???? Ama kupiga kelele online?
GDP inayowafanya muongoze kwa kukopa, GDP inayofanya mshindwe kufinance your own projects, GDP ipi unaongelea wewe mbuzi, GDP inayofanya nusu ya budget yenu kutegemea wahisani?
 
Look at the way u r hurted when one posts true pictures of St Mary's Hospital Nairobi! I trust The best 007 way more than u today u have already posted 2 pics to deceive us that Nairobi has better hospitals than Dar!
So all this data online is lying? Ama everyone online was told to biased against tanzania hehe jokes
Screenshot_20210707-205712_Chrome.jpg
 
Wamekaa kikao kule PM wakaona wakikaa kimya hawataeleweka, now ndo wameambizana waje kwa pamoja kutetea upuuzi, eti Petty search, we mpuuzi nn unaiba picha zaidi ya tatu kwenye post moja zen unasema Petty, c ungeweka picha hii hapa ya ukweli kuliko ku mix hospitali ya kiwango kule SA uki claim kwamba ipo Nairobi, weka picha yenu ya st mary's ya Kenya unaona aibu gnView attachment 1845125
Msione kimya mkajua sipo....naona mkipiga wakunya kwa kutumia vitu vizito

Nipo ila niko busy wiki hii sipati hata muda wa kucoment humu.

Mkimaliza kuwatandika hawa wakunya kwenye hospitali zilizopo Dar Es Salaam naomba muhamie kwenye battle ya hospitali za mikoani.
 
Mkoani huwa hawataki mana wenzetu kila kitu ni Nairobi tu.
 
Another source if you dont believe the first one
View attachment 1845166
Kwa hiyo ukiwa hapo failed state unaamini kabisa kuwa Rwanda inaizidi Tanzania!

Hivi unafahamu ni Wanyarwanda wangapi huwa wanafata matibabu bora pale Bugando hospital Mwanza?

Hivi unafahamu hospital za Rwanda huwa zinawaleta wagonjwa wao kwenda kutibiwa pale Bugando Mwanza?

Hivi una habari kuwa wananchi wengi wa Taita Taveta huwa wanafata matibabu bora Tanzania?
 
Back
Top Bottom