Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa render ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Je, wakumbuka ukisema GTC ni render?
Je, wakumbuka ukisema Expressway in render?
Je, wakumbuka ukisema 88Nairobi ni render?
Je, wakumbuka ukisema CBK Pension House ni render?
Je, wakumbuka ukisema Parliament Tower ni render?
Je, wakumbuka ukisema miradi nyingi za Nairobi ni render, mwishowe unaaibika?

Haven't you learnt something bongolala?
 
Ile siku Nairobi itapata concrete jungle km hii just tag me
JamiiForums-1090513373.jpg
 
Je, wakumbuka ukisema GTC ni render?
Je, wakumbuka ukisema Expressway in render?
Je, wakumbuka ukisema 88Nairobi ni render?
Je, wakumbuka ukisema CBK Pension House ni render?
Je, wakumbuka ukisema Parliament Tower ni render?
Je, wakumbuka ukisema miradi nyingi za Nairobi ni render, mwishowe unaaibika?

Haven't you learnt something bongolala?
Kinachowaumiza nyie ni concrete jungle na wala sio kingine
 
Mbn huwa unajichanganya? Mara useme Tz ni Dar tu mara useme imejazwa na unplanned settlement inferiority complex itakuua
Hapo kuna kuchanganyikiwa kweli! Ni ukweli, Tz ni hiyo Dar moja tu, yenye CBD ndogo na ushuzi kubwa zaidi!., outside Dar hupati flyovers/interchanges., organized estates kwa wingi, economic output., dual carriageways ni chache sana, na fupi kama ziko outside Dar.., nchi bado fukara, bado mnajenga ila kelele ndio mingi!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Tulieni brathe..,jeuri punguza


Screenshot_20210706-224039.png
why
 
Yani Dar ina msitu wa ghorofa kuliko mji wowote East and Central Africa, na nchi nyingi hapa Afrika haziifikii ukweli mchungu
 
Weka hayo maghorofa tuyaone alafu na mm niweke ya Dar ili tulinganishe
Magorofa yenu ndio haya yamezungukwa na uswazi. Ama kuna zingine utanionyesha zaidi ya hizi?
2827394_1625233813401.png
images(180).jpg
images(193).jpg

Mimi naweza kukuonyesha magorofa mengi nje ya cbd. Wewe utanionyesha nini?
 
Hapo kuna kuchanganyikiwa kweli! Ni ukweli, Tz ni hiyo Dar moja tu, yenye CBD ndogo na ushuzi kubwa zaidi!., outside Dar hupati flyovers/interchanges., organized estates kwa wingi, economic output., dual carriageways ni chache sana, na fupi kama ziko outside Dar.., nchi bado fukara, bado mnajenga ila kelele ndio mingi! Tulieni brathe..,jeuri punguza


View attachment 1843922why
Hao uliowaweka km ushahidi now washakaa kmy, ni UFIPA hao washanyamaza kwa ss
 
Ile siku Nairobi itapata concrete jungle km hii just tag me View attachment 1843918
I can count all those buildings., na nilinganishe na the whole Easleigh uone ukweli msio penda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., Walai pia flats za Eastlands are more than these in your CBD๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., yaani false illusion tunaumbua this time round, tulikua tumewanyamazia sana!
 
Kinachowaumiza nyie ni concrete jungle na wala sio kingine
Concrete jungle? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Toka nje ya cbd kidogo tu utuonyeshe hiyo concrete jungle tuone. And make sure it's aerial view, not horizontal.
 
I can count all those buildings., na nilinganishe na the whole Easleigh uone ukweli msio penda., Walai pia flats za Eastlands are more than these in your CBD., yaani false illusion tunaumbua this time round, tulikua tumewanyamazia sana!
Ebu weka tuone
 
Nimekuambia utoke nje ya hiyo cbd yenu utuonyeshe hiyo concrete jungle tuone. Otherwise you're just proving my earlier statement that you got nothing outside that cbd
Cku hz Wakenya wanaiogopa CBD ya Dar kinoma noma niko hapa leo mpk saa saba usiku atokeze mkunya anayejiona ana msuli au UFIPA yeyote yule
 
Hao uliowaweka km ushahidi now washakaa kmy, ni UFIPA hao washanyamaza kwa ss
Mtanzania akisema ukweli with facts yeye ni ufipa ama hana uzalendo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nyambaff๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., bado kwa uzi zenyu wanajua ukweli.., ebu fungua huu uzi kule section ya habari na hoja mchanganyiko ama siasa., uone majibu kutoka kwa wakweli, sio shabiki uchwara., ama ubabe usio na facts., ni misifa tu., I dare u uone, utajibiwa na watanzania wenzako kwa mpigo., Kama vile walijadili ukulima baada ya Kenya kufunga mpaka., facts were laid bare by Tanzanian farmers na wana biashara kwa kulinganisha., ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mtanzania akisema ukweli with facts yeye ni ufipa ama hana uzalendo nyambaff., bado kwa uzi zenyu wanajua ukweli.., ebu fungua huu uzi kule section ya habari na hoja mchanganyiko ama siasa., uone majibu kutoka kwa wakweli, sio shabiki uchwara., ama ubabe usio na facts., ni misifa tu., I dare u uone, utajibiwa na watanzania wenzako kwa mpigo., Kama vile walijadiki ukulima baada ya Kenya kufunga mpaka., facts were laid bare by Tanzanian farmers na wana biashara kwa kulinganisha.,
Hehehehee jaribu kunifuatilia ninapoenda majukwaa mengine mfano jukwaa la siasa, huwa nawagalagaza kwa facts na sijawahi kushindwa mm kubaabeq
 
Cku hz Wakenya wanaiogopa CBD ya Dar kinoma noma niko hapa leo mpk saa saba usiku atokeze mkunya anayejiona ana msuli au UFIPA yeyote yule
Hatuiyogopi, tumeitambua kikamilifu, sasa Kiswahili chenyu kuihusu haituchanganyi kamwe.., facts ziko wazi tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., Dar kazi yake tumemaliza.., Mimi nilishamaliza na drone clips., and when I went there for work some years back kama bado brt was still under construction., makazi yenyu ni ya kimasikini na ni kubwa sana, mtu anaweza potea ndani kama ni mgeni!.., Dar ni Lagos na Kinshasa tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., Kinshasa CBD yao ni kubwa kuliko Dar by far!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Makazi uchwara kwa wingi, mnafanana tu.
 
Back
Top Bottom