komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Watanzania kw kulia lia hamjambo tuachaloose points zote.. na kapoteza mchezo kbsa! tuendelee na mambo mengine![]()


Watanzania kw kulia lia hamjambo tuachaloose points zote.. na kapoteza mchezo kbsa! tuendelee na mambo mengine![]()


Troll eehh maamaeee nakupiga pinPole sana, nishakushtukizia
Troll
Tabia km hizi nazipotezea
mpk unaelewa daadeki 





Si hata nyie ukiingia google sgr yetu ndio mnaitumia kw karibia kila cover page ya habari zenu kuhusu sgrHawa mbwa wanapenda sana sifa za kipuuzi, ni laana waliyonayo, hivi vipicha unavyoona tunawastukia kwamba wameiba sio kwamba wanafanya kusudi bali ni media zao ndio ziko hivyo, ukiingia Google utaona vitu vingi wameweka mtandaoni kwamba ni vyao, uki Google picha ya infrastructure nyingi za EAC utakuta heading wameweka nchi yao yani mpk ukiingia ndani ndo utakuta kwamba sio ya Kenya, ni mbwa sana hawa wenye tabia za kichokochoko kupenda mali za watu.
Mloganzila vp tayari?Mzee Hospitals zimeisha?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nyie mna SGR?Si hata nyie ukiingia google sgr yetu ndio mnaitumia kw karibia kila cover page ya habari zenu kuhusu sgr
Bado naona Hospital zao zimeisha. 🤣 🤣 🤣Mloganzila vp tayari?
Unajua maana ya Gina sgr? Kasome kitabu naniiNyie mna SGR?
Pole sanaAmeweka profile picture interchange ya Ethiopia anadanganya watu ni Changamwe ya Mombasa, fala sn yule demu![]()
Hivi mbona mnasahau haraka hivi, tanzania mpka viongozi wanaiba picha we unasema nini bana..sijawah kuona mtanzania kaiba picha, it only happens to kenyans
Eldoret haipo Nairobi mzee. Nairobi zimeisha?Chandaria cancer and chronic disease center
View attachment 1844893View attachment 1844894View attachment 1844895View attachment 1844897View attachment 1844898
UmekasirikaNyie mna SGR?
Huyo sitaki kujua kama ni kiruka njia wala nini. Akinipa napiga bila maswali.Huyu demu kuna mitaa hapa bongo nimewahi kumuona km ni yeye, ni kama.laya kamoja hivi nilikaona mitaa ya kitunda kamevaa kikuku mguuni kanatokea mombasa, kadada poa poa flani![]()
Eldoret haipo Nairobi mzee. Nairobi zimeisha?
Kama zimeisha sema tuendelee na topic zingine
View attachment 1844901
Asa wanaoishi kwenye slums zilizotapakaa Nairobi na Kenya mzima ni matajiri?Why Do you have a high affinity to poverty? You are very attracted to poverty, did you suffer while growing up?