Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20210707-212728.png
 
Atujakataa kama ipo ila picha alizotuma mungiki mwenzako ni za st mary ya natal
Hapa mada ilikua ni hospitali, sasa mnalia lia nini wakati hospitali ipo kweli..

Semeni mada imewashinda sasa ndio mnataka kuendekeza ujuha, km nyie waungwana kweli taja hospitali hata moja ambayo haipo nairobi na mwenzetu kaitaja
 
wakenya wapo vizuri kwenye kujibrand . wanaweza kukuaminisha jambo kama kweli . comment sponsored by LNG
IMG-20210707-WA0044.jpg
 
Mkunya hii facility ipo New York city
2834422_images_-_2021-07-07T174539.686.jpeg

Hehehe!!mada ni hospitali wala sio picha, leo mumetumia mbinu zote ili kuvuruga mada..santa sana..
Kweli leo mumekalia kuti kavu
20210707_232244.jpg
images.jpeg-41.jpg
 
Mbona sisi hatukosei Mzee. Jaribu kufuatilia picha zote tunazoweka ni za TZ. Wewe ni mwizi wa picha.
Kaiba hospitali gani
Mwenzako hospitali zote alizozitaja zinapatikana nai..
Nutajie hospitali aliyoitaja ambayo sio ya nai
 
wakenya wapo vizuri kwenye kujibrand . wanaweza kukuaminisha jambo kama kweli . comment sponsored by LNGView attachment 1845287
Naona mwenzako katumia nguvu nyingi sana kuvuruga mada, wamefanikiwa sasa..
Ngoja nikupe siri, ukiona mtanzania ameacha kupost picha picha basi ujue hana kitu cha ku post..hapo utabaki kupewa maneno mpka uchoke..

Sai nimetinga jamaa wanaogopa hata kuni quote manake mimi maswali yangu hayakwepeki
 
Mkunya hii facility ipo New York city
2834422_images_-_2021-07-07T174539.686.jpeg

Metropolitan hospital kipo Nairobi kenge wewe and it has been in existence since 1994. Just because there's another Metropolitan hospital in NY doesn't mean the one in Nairobi should cease to exist. How do you even reason?
 
Wealthier of what ??? 😂😂😂 ikiwa 75% watu wanaishi kwenye maisha zaidi ya nguruwe kuna utajiri gani au unamaanisha utajiri wa politicians na wale wajanja wachache
Mbona huo ukweli inakuuma hivyo? Niletee mahali Dar imetajwa mbele ya Nairobi kwa utajiri
 
Back
Top Bottom