ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Asante kwa kufikisha wazo lako meza kuu tutalijadili na viongoz wenzangu 😄😄😄hili la sanamu naomba mliangalie kwa ukaribu, bila kupepesa macho ndugu wanakamati😂😂
Asante kwa kufikisha wazo lako meza kuu tutalijadili na viongoz wenzangu 😄😄😄hili la sanamu naomba mliangalie kwa ukaribu, bila kupepesa macho ndugu wanakamati😂😂
Tanzania ndio inalisha Kenya, yaani bila Tz Kenya mtaangamia kwa njaa, ardhi yenu kiduchu yenye rutuba inamilikiwa na uhuru Kenya, iliyobaki wanamiliki wazungu wanalima maua na chai, wenyeji mmekaa mmejazana Kibera pasi na matumaini yotote.infact hizi mapicha zinani bamba mbaya!. yani tu ndo biashara imenoga..!! wakenya sisi ni watu tuna penda kujituma mazee.. uzembe tuliwaachia hawa wadanganyika. kisha utawaskia wakisema eti 'hapa kazi tu'.. ama 'ni kazi na bata'..
🤣🤣🤣🤣🤣 budaa hu moshi kwa haraka haraka ni tani 2000
Yani render na uhalisia ni vitu viwili tofaut kabisa 🤣🤣🤣🤣We don't care, as long as we still reign in many sports, that's what matters for now! Campeones para sempre! 😂
Pigia tuone basi 🤣🤣🤣 unaleta hasira zako hapaUmejianika vibaya, wacha nipigie UN office Nairobi, unachezea kazi wewe
Sasa swali linakuj zile pesa mulikopa za nn ikiwa uchumi wenu unakua 🤣🤣👇👇Hata after a lockdown, kenya is still killing it. Kenya - gross domestic product (GDP) 2026 | Statista
Before the pandemic, 2021 gdp was projected to be 109bill
Now official numbers are 106 billion with a 7.6% growth rate.
View attachment 1802165
Angefungua hata restaurant. Elewa sentensi . Yaani kafanya kazi nchi zaidi ya tano kwa mujibu wa maneno yake halafu bado mpishi bongo wa kuajiliwa. Hizo ni akili kama zako. Ukiona temperature ya jikoni sio kazi ya kunang'ang'ania zaidi ya maana 10Kila mtu atakayekuwa chef mwenye exposure anafaa afungue restaurant yake sio?![]()
![]()
Akili zingine bhana!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Do you have any other repitable pred source apart from imf?
Baada ya kukopa over $5bln kutoka IMF n WB?
Who own them??? Au akili imebakia kurent 🤣Kijana wa Tandale, organised residential areas nimeona Nairobi hadi nikachoka. Hiyo sehemu pakavu ni pa kumpa nani orgasm wakati tumezoea mandhari tulivu kama hizi in gated communities?
View attachment 1802166View attachment 1802167View attachment 1802168View attachment 1802169View attachment 1802171View attachment 1802172View attachment 1802173View attachment 1802174
Pandeni angalau nyasi kwenye hilo eneo ndio mje kwenye meza ya mazungumzo!
Tuseme shebby ndio kawafanya muende speed namna hii sasa munatafuta mada ya kuumuua shebby🤣🤣🤣Wanasiasa unafiki ndo sifa zao, dodoma vinyumba vya uswazi ndo real estate😂😂😂 unajua kenya kuna cities ngapi zinajengwa wewe😁😁
Umeandika inatisha badala ya inalisha hebu badili hapo!Tanzania ndio inatisha Kenya, yaani bila Tz Kenya mtaangamia kwa njaa, ardhi yenu kiduchu yenye rutuba inamilikiwa na uhuru Kenya, iliyobaki wanamiliki wazungu wanalima maua na chai, wenyeji mmekaa mmejazana Kibera pasi na matumaini yotote. View attachment 1802477
Yote kisa hasira za shebby🤣🤣👇👇👇Umeongea kwa uzalendo sana. About dirty cities, umeangalia hii list ya Forbes ukajua Dar inashikilia naafasi ya ngapi hapa duniani?
Kuhusu swala la umasikini, umesahau mko kwenye tatu bora Africa?
View attachment 1802203
Jipige tathmini ndugu. Usiwe mtu wa kuongea tu pasi na uelewa wa mambo!
Mimi nakupa video kabisa na page mzimaDreamhouses zenu tunazijua kijana. Ukitaka picha sema tukuletee
Mm nikiwaambia humu hua munasema nawaonea ohhh sijui siwapendi 🤣🤣🤣 hawa watu wanamaisha magumu hio india yenyewe ikasome shule 😄😄😄 yani wana penda kuigiza maisha vibaya mnoNimefikia ubalozini Kwanza nipate cha mchana 🙂View attachment 1802276View attachment 1802285
NDINDA naomba save hzi pic zote zitakuja kusaidia siku zijazo 🤣🤣🤣🤣Nimefikia ubalozini Kwanza nipate cha mchana 🙂View attachment 1802276View attachment 1802285
Mungu atustiri aisee hawa watu wanamaisha mabaya na magumu Sijapata ona toka nimepata uhai 😁😁😁😁Kariobangi,kariadudu na kasabuni hii hapa haya ndo maisha ya wenzetu asilimia kubwa Wanakaa huku Emu linganisha na ghetto za home🙂View attachment 1802293View attachment 1802303View attachment 1802306View attachment 1802307View attachment 1802314View attachment 1802322View attachment 1802323
Kwao ni kawaida sana mbona yani huko mtu hana thamani kabisa ni sawa na mbwa tu🤣😖😖🤮🤮🤮🤮🤧🤧
Wakenya ni wachafu kichizi daaaah
Mazingira machafu hivyo mtu unaishije?
Wana maji huko?Nimefikia ubalozini Kwanza nipate cha mchana 🙂View attachment 1802276View attachment 1802285
Dar Ni level nyingine wakati hamna majibu za gated communities za nairobi! Kazi ni kulialia hapa 'estate'! Nilikuambia organized gated communities zinapatikana in almost all major towns in Kenya. Look at Kisumu below kisha linganisha na zile chuma kavu za DodomaSs hii ndiyo saizi ya Nairobi, kwamba mtaanza kupambana na Dodoma cz Dar ni level ingine, Nairobi ni Kenya na Kenya ni Nairobi tu![]()