Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,711
Unafikiri mtanzania akija nairobi anaenda wapi except downtown? Huko ndio wanakutana na wale dungu na dada zao ombaomba wa downtown Nairobi wakajuane hali angalau. Si wajua wale ombaomba wao wamevamia yale maeneo kama nzige? They can't venture beyond Tom Mboya street kuingia Moi Avenue and beyond. Nazi ni kuzurura Nyamakima, OTC, River Rd na maeneo kama hayo kisha wanarudi zao Dar then wanajiamisha wamefika NairobiJamaa anapost picha sehemu wafanyibishara wametupa maganda alafua ywajufurahisha humu
Shebby aliambiwa apost picha za uptown humu akakataa yeye bado amekaza na picha za downtown
Secondly, everything is cheaper in downtown, from food to accommodation and everything. Apige picha akiwa Sarova Stanley ndani tuone coz nayo ipo cbd



