Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umejianika vibaya, wacha nipigie UN office Nairobi, unachezea kazi wewe
Kisa kapost picha ndio uwapigie UN haaàaaa wakenya bwana mnapenda kujipendekeza sana . Kuna mmoja mpishi yupo bongo kwenye taasisi moja basi anapenda kujisifia alikua mpishi South Africa na nchi kadhaa afrika. Naishia nimeangalia yaani kupata exposure kote bado unaendelea kutumikishwa jikoni ? Si angefungua hata restaurant yake . Mpishi wa kikenya akiitwa chef anaona raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu atakayekuwa chef mwenye exposure anafaa afungue restaurant yake sio? 😂 😂 😂 Akili zingine bhana!
 
Don't get twisted

Hiyo iyumbu satellite city kwa hizo quality za nyumba kwa huko Kenya ni very expensive lakini FYI hizo nyumba zote tayari zipo booked (nitakuwekea video) na ukiambiwa zimeuzwa bei gani kwa pesa ya Kenya ni very cheap

So hizo sio dream houses wala wealthy neighborhood kibongobongo

Dream houses za Dodoma ni kama hizi hapa, ambazo saivi zinajengwa kama uyoga huko Dodoma
Leo Nairobi inashindana na Dodoma
 
Kijana wa Tandale, organised residential areas nimeona Nairobi hadi nikachoka. Hiyo sehemu pakavu ni pa kumpa nani orgasm wakati tumezoea mandhari tulivu kama hizi in gated communities?
View attachment 1802166View attachment 1802167View attachment 1802168View attachment 1802169View attachment 1802171View attachment 1802172View attachment 1802173View attachment 1802174

Pandeni angalau nyasi kwenye hilo eneo ndio mje kwenye meza ya mazungumzo!
Ss hii ndiyo saizi ya Nairobi, kwamba mtaanza kupambana na Dodoma cz Dar ni level ingine, Nairobi ni Kenya na Kenya ni Nairobi tu
 
Huyu usishangae analala kwenye zile guest houses za River road that have been run over by commercial sex workers
Ana mlupo hko ndio kila wakati lazima ashukie hko kwnza, we hujiulizi mbona kila wakati downtownna ukiona picha ni za sehemu nyngine basi ujue yupo kw gari la wenyewe
 
Linganisha hiyo blog na hii list ya Forbes kisha urudi. Angalia ni jiji lipi limeshikilia nafasi ya 12 kwenye hiyo list ya miji chafu duniani
Hii hapa ya 2021
JamiiForums1200878543.jpg
 
Kisa kapost picha ndio uwapigie UN haaàaaa wakenya bwana mnapenda kujipendekeza sana . Kuna mmoja mpishi yupo bongo kwenye taasisi moja basi anapenda kujisifia alikua mpishi South Africa na nchi kadhaa afrika. Naishia nimeangalia yaani kupata exposure kote bado unaendelea kutumikishwa jikoni ? Si angefungua hata restaurant yake . Mpishi wa kikenya akiitwa chef anaona raha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ona vile ulivyokua mbumbumbu sasa, kwn chef sio taalumakenge wewe..
Watu wengine wanafanya vitu kw uzoefu na kimapenzi zaidi
 
Back
Top Bottom