komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Majority nairobi wanaishi eastlandsAmbao ndio majority, cc kwetu hakuna division ya namna hiyo.


Majority nairobi wanaishi eastlandsAmbao ndio majority, cc kwetu hakuna division ya namna hiyo.


Unaongelea slums, pole sana mzeekwani maisha ni gated communities pekee...?,,
mji wenu mchafu sana ,



Bwahahaha!!levels zenu mkija kenya ni slums tu kw watanzania wa kawaidaMbn unahofu sn, nilidhani utakataa kwmb hapo co Kenya![]()


Tanzania vs slumsTanzania ni better mara 1,000,000,000 ya Kenya na hilo raia wote wa hizi nchi mbili wanajua, zamani Watz walikuwa wanaongopewa eti Kenya iko vzr kuliko Tz na hata Wakenya walikuwa wanaongopewa eti wao wako vzr kuliko Tz lkn kwa ss tupo dunia ya utandawazi, smartphones zimeweka kila kitu wazi pia na muingiliano wa watu wa mataifa haya mawili umeleta uwazi mkubwa, now Watz wanajivunia nchi yao na hata majirani wakija hapa wanapasifia sn cz ni tofauti kubwa mno na jinsi nchi zao zilivyo.


Fuatilia thread kaka. Mwenzako kaleta picha chakavu za gated community Dodoma. Am just trying to put him in his rightful place and to remind him and every Tanzanian that we are ahead of this gamekwani maisha ni gated communities pekee...?,,
mji wenu mchafu sana ,
Google is just a search engine nugu. It is not a source of anything. Kila taarifa unaleta hapa unatoa Google or those other search engines like Safari. Hata ile taarifa niliyokupa ya Forbes nilitoa Google. Tutawafundisha hadi lini?Nikuletee article? Au google mwenyewe report ya dertiest cities in 2021 na ukipata Dar mbele ya Nairobi niambie nifunge a/c Jf na ukiendelea kubisha naweka link hapa![]()
Sasa kama mtaa wa kifahari zaidi Tanzania nzima Masaki ndio kumejaa apartments mwanzo mwisho mbona unajifariji hapa? Ama unadhani hatujui Tanzania?Itega Dodoma ni sawa na posh areas zote Nairobi
Itega huwezi kujenga nyumba bila Council kuaprove sketch yako, na huwezi kujenga nyumba ambayo sio ghorofa wala huwezi kujenga ghorofa zaidi ya 4 na huwezi huwezi kuweka roof ambayo haijawa approved by council otherwise it will be demolished 😅😅😅
Low-income areas kama kawaida. Ni nini mnaweza linganisha na hicho kijiji chenu apart from low-income areas za Nairobi?Unahangaika kweli kweli kijana na hizi picha za upande upande ukibadilisha angle lkn ukweli uko wazi na unaujua, tukiwaambia mlete residential areas km tunavyoleta cc mnaleta nyumba za wenye nazo ss Wakenya km hawa ambao ndio 90% ya nchi watakaa hapo? Wallahi Kenya ni MaviView attachment 1802527View attachment 1802529View attachment 1802530
Mataga huezi niambia kitu. Magufala wewe.you better shut up.. that man got a lot of money.. you should first ask what type of car he’s driving or house is living in.. hapo ni siasa tu.. hata body yake na vitu alivyovaa inaonyesha ana hela za kutosha
Zile nyumba Za Dodoma hazijamalizika pale bado panaendelea kujengwa barabara nk ni nyumba ndio zimeinukaFuatilia thread kaka. Mwenzako kaleta picha chakavu za gated community Dodoma. Am just trying to put him in his rightful place and to remind him and every Tanzanian that we are ahead of this game
Uchafu ziko pande zote. Za Dar zimeletwa nyingi sana hapa mwishowe mnazikana
🙄🙄🙄🙄 Maisha ya hivo hapanaMungu atustiri aisee hawa watu wanamaisha mabaya na magumu Sijapata ona toka nimepata uhai 😁😁😁😁
Mbn unapata tabu kumuelewesha? Kwn unadhani hajui km huo moto unakuja?Zile nyumba Za Dodoma hazijamalizika pale bado panaendelea kujengwa barabara nk ni nyumba ndio zimeinuka
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app


Nakuru City kule tanzanyaland nje ya dar hamna mji kama huua dar level moja..🤔View attachment 1802077
Wakiona hivi wanaumia kweli kweli, jamaa wana roho mby hawa cjapata kuona, eti maendeleo ni ya Tz lkn wanaoumia wengineDodoma inaenda kuwa jiji la mfano Africa.
View attachment 1802604






