NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Amkeni amkeni wandugu![]()
Stool Bus lina Mbolea za wakulungwa linaenda kumwaga huko


.Amkeni amkeni wandugu![]()


.
leo utabadilisha misemo mpaka ukome,,,,,mara down town ,mara slumKwhyo sasa battle ni dar vs nairobi slum areas![]()
Kariobangi,kariadudu na kasabuni hii hapa haya ndo maisha ya wenzetu asilimia kubwa Wanakaa huku Emu linganisha na ghetto za homeView attachment 1802293View attachment 1802303View attachment 1802306View attachment 1802307View attachment 1802314View attachment 1802322View attachment 1802323

ukirudi mkuu ufanye check up maana daah,, hizo sehemu ni hatari kiafya,,Mbona hasira mzeepole kwa maumivu,,,,
kwani down town ni turkana....?


ni kweli kabisa,,,,,poor life halafu type ya wakenya tunao discuss nao hapa hiyo ndiyo aina ya maisha wanayoishi
dah nilichoona ni maisha ya binadamu na mbwa yote ni sawa huko kenya..
Bwahaha!!hyo mzee wenu anaishi sehemu ya watu wenye kipato cha chini aisee, ukweli lazima usemwe, tena hta hko hko anapiga picha maganda ya mahindi yaliyohifadhiwa kando tena zaidi amekimbilia kw slums..leo utabadilisha misemo mpaka ukome,,,,,mara down town ,mara slum
ugua taratibu

Bwahaha!!Kariobangi,kariadudu na kasabuni hii hapa haya ndo maisha ya wenzetu asilimia kubwa Wanakaa huku Emu linganisha na ghetto za homeView attachment 1802293View attachment 1802303View attachment 1802306View attachment 1802307View attachment 1802314View attachment 1802322View attachment 1802323


endelea ku post slums mzee baba
leo umeumia sana,,,,Bwahaha!!hyo mzee wenu anaishi sehemu ya watu wenye kipato cha chini aisee, ukweli lazima usemwe, tena hta hko hko anapiga picha maganda ya mahindi yaliyohifadhiwa kando tena zaidi amekimbilia kw slums..
Poleni sana wazee![]()
Maisha magumu kwa wenzetu🙄🙄🙄
dah nilichoona ni maisha ya binadamu na mbwa yote ni sawa huko kenya..
Hawa jamaa maisha Yao mpaka huruma Azam energy drink zimejaa huku sana🙂Slum city under the sun
Nimeona kichupa cha azam energy drink.
Wanaishi kwa nguvu za mwenyez mungu yaani maeneo mengi ni hazard kwa binadamu🙄😖😖🤮🤮🤮🤮🤧🤧
Wakenya ni wachafu kichizi daaaah
Mazingira machafu hivyo mtu unaishije?
Yani Tanzania sio DSM tu ambapo unaweza uka feel proud of yaan mikoa yote ni level ya juu🙂kumbe ulikamatana naye
daah umewatia adabu wakenya,,,
maana wengi wao hawaijui Dar huwa wanaishia kusimuliwa na geograph teacher nimecheka mpaka basi leo,,,wakenya ni wapuuzi sana
Aisee unavaa face mask mbili msela wangu ASA mitaro Daaah🙂Sipati picha harufu mbaya iliyopo maeneo hayo
I hope umevaa barakoa.
Nlikutana Naye tukapiga story za home Sana 🙂kumbe ulikamatana naye
daah umewatia adabu wakenya,,,
maana wengi wao hawaijui Dar huwa wanaishia kusimuliwa na geograph teacher nimecheka mpaka basi leo,,,wakenya ni wapuuzi sana
Maisha ya wenzetu ya mitandao tu utaskia sijui Nina Kiwanja mara gari lakin kwa ground tofauti l🙂kudadeki nairobi ni uozo mtupu,,,
Kweli Sana mkuu Ila Kwanza natafuta location Zaidi Kwanza😀ukirudi mkuu ufanye check up maana daah,, hizo sehemu ni hatari kiafya,,
poor nairobi
🙂🙂🙂🙂Nliona hii post nikacheka Sanaleo umeumia sana,,,,
hebu nitumie estate hapa nizione maana nimezimis sana