Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is kisumu, ni lini Tanzania itakuwa na barabara kama hizi nje ya Dar is slum.

FB_IMG_16223510507751262.jpg
 
Najua kinachokuuma, pole sn utazoea tu, kuna ring road inakuja
Ni nini cha kuniuma hapo wakati gated communities ni jambo la kawaida huku kwetu? Unasahau ni mfumo mnajifunza kutoka Kenya? Gated communities ziko hadi Eldoret kijana wa Tandale so wacha kutokwa na povu. Halafu si ni kweli mnaita vitu kama hizo 'estates'. Iweje leo mnafurahishwa na 'estate'hadi kuziposti?
 
sio tu diamond na zuchu..
kenyareé pia tuna wasanii tajika walio bobea katika ulingo huu ama fani hii ya usanii. vipaji ilioje!.
then unlike tz, all our music and videos are locally produced within our boundaries, but for a video to be real in tz, it MUST! be shot in SA. same case with what nigerians do.. learn to be patriotic
 
Pia kuna mradi mkubwa wa mji wa kiserikali Mtumba under construction

Dodoma kutadamshi sana.
Na wala hatuiongelei humu, wakistuka itakuwa tunawaletea picha la kutisha kutoka Dodoma, kuna mmoja keshaanza kupagawa na Iyumbu wkt bado haijafika hata asilimia 30 ya itakavyokuwa
 
hivo ndo waTz wataona coz miji zao kama zote hazina cbd/downtown... dar, tanga, zanzibari etc. hio nilijua thru' our geography teacher.
any city with a defined cbd.. (even new york included), you'll never miss to see such scenes.
NB: (arusha is the only town in tz with a defined cbd, the rest are scattered buccrab!)
Eti mwalimu wako wa geography ndio alivyokufindisha, 😂😂😂 kumbe huo upumbavu mnatiwa na walimu 😂😂 aah badilisheni waalimu sasa hao hawajui kitu na huyo mwalimu uskute aliambiwa na mwalimu wake😂😂
 
Wakenya oneni sisi watanzania jinsi elimu ilivyotusaidia, yn tumeachana na Dar na ss tunakuza mji mwingine ambao utakuwa mwiba Africa hii, usisahau kwamba Dodoma master plan yake ni km ya Toronto CanadaView attachment 1801828View attachment 1801829
Inferiority complex huwa inawasumbua sana watanzania. That place is so dry for anybody's liking to begin with.

Kama ni hiyo mfumo wa organised housing ndio inakupa nyege, mbona ni jambo la kawaida huku Kenya? Anyway, we understand coz you never find so many such organized residential areas in Tanzania. That's why you often refer to them as 'estates' whatever that means. It's such a normal thing here in Kenya
 
Maneno zote hizo ni kwasababu ya Iyumbu City
 
Inferiority complex huwa inawasumbua sana watanzania. That place is so dry for anybody's liking to begin with.

Kama ni hiyo mfumo wa organised housing ndio inakupa nyege, mbona ni jambo la kawaida huku Kenya? Anyway, we understand coz you never find so many such organized residential areas in Tanzania. That's why you often refer to them as 'estates' whatever that means. It's such a normal thing here in Kenya
Kama Iyumbu City imekupa orgasm namna hii je ukiuona mji wa kiserikali Mtumba c utalia kabisa
 
Back
Top Bottom