Mutaitina
JF-Expert Member
- Mar 6, 2021
- 798
- 1,451
I know this place, muthurwa. Business thrives here
I know this place, muthurwa. Business thrives here
Hakuna CBD hapo mzee


Jamaa kapiga picha mpka maganda ya wauza mahindi waliyoyahifadhi pembeni

kweli huyo jamaa wenu kakosa..kisa chuki basi uteseke kiasi hiki kutafuta maganda ya wafanyibiashara sokoni na kuyapiga pichahivo ndo waTz wataona coz miji zao kama zote hazina cbd/downtown... dar, tanga, zanzibari etc. hio nilijua thru' our geography teacher.Kwa hizi picha kama ni za Nairobi..basi Nairobi haipishani sana na Kampala..yaani hayo mazingira resembles to kampala
Keep on day dreaming young man. All this is because of your poor geography teacher!hivo ndo waTz wataona coz miji zao kama zote hazina cbd... dar, tanga, zanzibari etc. hio nilijua thru' our geography teacher.
any city with a defined cbd.. (even new york included), you'll never miss to see such scenes.
NB: (arusha is the only town in tz with a defined cbd, the rest are scattered buccrab!)
infact hizi mapicha zinani bamba mbaya!. yani tu ndo biashara imenoga..!! wakenya sisi ni watu tuna penda kujituma mazee.. uzembe tuliwaachia hawa wadanganyika. kisha utawaskia wakisema eti 'hapa kazi tu'.. ama 'ni kazi na bata'..
Hii kitu bado yamoto sana.😁😁😁. KunyalandKuna mtu Iyumbu City imemuuma kweli kweli, wao wanakomaa na Nairobi tu cc tunajenga Tz nzima, eti anauliza ukavu wa Dodoma anasahau ushuzi huu hapaView attachment 1801836View attachment 1801837View attachment 1801838View attachment 1801839
Wameanza kuangaika sasa, wanaigawa nairobi vipandevipande. Shebby arejee nyumbani sasa
Hapana mzee, mimi sio mod hataMzee wa kuyafukua makaburi, cjui unazipataje hizi au na wewe ni mmoja kati ya mods humu![]()



Pia kuna mradi mkubwa wa mji wa kiserikali Mtumba under constructionHii Iyumbu inapagawisha watu humu mana wanashangaa mbn tulikuwa hatuiongelei na inakuja juu hivi![]()



😂tumeongea na ubalozi katika kikao cha hivi karibuni na kuafiki ulinzi dhabiti pamoja na gari laserekali kwa kaka Shebby01 kwa kipindi chote atakachokuepo NairobiShebby Aongezewe Ulinzi, akirudi awekewe sanamu pale Clock Tower.
Wakunya na uchafu ni kama pipa na mfunikoCjui wanapata wapi ujasiri wa kujifananisha na cc, Nairobi bila make up huwezi ipost humu wkt mm napiga picha tu kwa simu yangu mahali popote napost humu na wala hakuna shida, ona wao sasaView attachment 1801522View attachment 1801523View attachment 1801524
DAR ES SALAAM, TANZANIA - Aerials 4K Drone by Nezzoh Monts
Suburbs of Upanga, Seaview, Kunduchi Beach, Africana and downtown Mnazi Mmoja, Kariakoo, CBD Posta