komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Subutu, affordable housing kenya ni mambo mbaya we huwaoni pande hzo hawagusii manake wanajua ipo siku watakuja kutwa na mshtuko wa moyoYani zile cheap houses zinawafurahisha sana kisa wamepata angalau kasehemu kamepangwa kiasi. Alafu eti ni project ya serikali! Hizo unaweza linganisha hata na zile affordable houses ambazo serikali zinajenga huku Kenya?



