Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe umekimbilia slum areas[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa kumbe unaogopa battle aise..
Mbn unahofu sn, nilidhani utakataa kwmb hapo co Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kariobangi,kariadudu na kasabuni hii hapa haya ndo maisha ya wenzetu asilimia kubwa Wanakaa huku Emu linganisha na ghetto za home[emoji846]View attachment 1802293View attachment 1802303View attachment 1802306View attachment 1802307View attachment 1802314View attachment 1802322View attachment 1802323
Tony254 basi bhn usilete zile picha za uhalisia ulizosema kwamba utaleta wakiendelea kukutibua, Shebby01 anaweka mambo hadharani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hzi ni nyumba zinajengwa na watu wa chini kabisa hapa maeneo ya msongola dar es salaam 🤣🤣👇👇👇
92B23559-8FC4-4646-B563-F63F517B5631.jpeg

140FE950-1200-465D-B349-F4D8F5024F20.jpeg
 
Bwahaha!!hyo mzee wenu anaishi sehemu ya watu wenye kipato cha chini aisee, ukweli lazima usemwe, tena hta hko hko anapiga picha maganda ya mahindi yaliyohifadhiwa kando tena zaidi amekimbilia kw slums..
Poleni sana wazee[emoji2960]
Ambao ndio majority, cc kwetu hakuna division ya namna hiyo.
 
Dar Ni level nyingine wakati hamna majibu za gated communities za nairobi! Kazi ni kulialia hapa 'estate'! Nilikuambia organized gated communities zinapatikana in almost all major towns in Kenya. Look at Kisumu below kisha linganisha na zile chuma kavu za Dodoma
View attachment 1802499View attachment 1802500View attachment 1802501View attachment 1802502View attachment 1802503View attachment 1802505View attachment 1802506View attachment 1802508
Wakati nyinyi mnangoja serikali iwajengee chuma chakavu hapo Dodoma, hizi za Kisumu zinajengwa na private sector
kwani maisha ni gated communities pekee...?,,
mji wenu mchafu sana ,
 
Kweli Sana mkuu Ila Kwanza natafuta location Zaidi Kwanza[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji117][emoji2781][emoji706]
 
Ss hii ndiyo saizi ya Nairobi, kwamba mtaanza kupambana na Dodoma cz Dar ni level ingine, Nairobi ni Kenya na Kenya ni Nairobi tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dodoma ina uwezo wa kuikalisha Nairobi mpaka hapa ilipofikia

Hii neighbourhood hata Runda haioni ndani lazima ipotezwe hapa 😅😅😅
 
maana huwa hawana kingine kipya cha kutuonyesha zaidi ya estate ambazo ni zile zile miaka nenda rudi
Na hizo estates zenyewe zinapigwa upande upande, vinyumba 10 vimefanana vinapigwa at a large angle kuficha uchafu uliozunguka hivyo vi estates[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dar Ni level nyingine wakati hamna majibu za gated communities za nairobi! Kazi ni kulialia hapa 'estate'! Nilikuambia organized gated communities zinapatikana in almost all major towns in Kenya. Look at Kisumu below kisha linganisha na zile chuma kavu za Dodoma
View attachment 1802499View attachment 1802500View attachment 1802501View attachment 1802502View attachment 1802503View attachment 1802505View attachment 1802506View attachment 1802508
Wakati nyinyi mnangoja serikali iwajengee chuma chakavu hapo Dodoma, hizi za Kisumu zinajengwa na private sector
Unahangaika kweli kweli kijana na hizi picha za upande upande ukibadilisha angle lkn ukweli uko wazi na unaujua, tukiwaambia mlete residential areas km tunavyoleta cc mnaleta nyumba za wenye nazo ss Wakenya km hawa ambao ndio 90% ya nchi watakaa hapo? Wallahi Kenya ni Mavi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-1464491195.jpg
JamiiForums-1070567203.jpg
JamiiForums436626198.jpg
 
Hiyo blog jifurahishe nayo kaka. Hiyo Ni kitu hata wewe ama Mimi tunaezaandika na tuseme Kenya and Tanzania are the richest countries in the world as long as you get your clicks.
Nikuletee article? Au google mwenyewe report ya dertiest cities in 2021 na ukipata Dar mbele ya Nairobi niambie nifunge a/c Jf na ukiendelea kubisha naweka link hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unahangaika kweli kweli kijana na hizi picha za upande upande ukibadilisha angle lkn ukweli uko wazi na unaujua, tukiwaambia mlete residential areas km tunavyoleta cc mnaleta nyumba za wenye nazo ss Wakenya km hawa ambao ndio 90% ya nchi watakaa hapo? Wallahi Kenya ni Mavi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1802527View attachment 1802529View attachment 1802530
ha haa,sasa hilo banda likiporomoka si watu wanafia ndani....

wakenya kweli ni stupid
 
Hzi ni nyumba zinajengwa na watu wa chini kabisa hapa maeneo ya msongola dar es salaam [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1802516
View attachment 1802520
Haya hapa maeneo ya Kivule ila leo naenda tena nitaweka picha hapa, Wakenya leteni picha km hizi huko kwenu au nanyie msafiri mje muweke picha chafu za residential areas [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20210523_154705_966.jpg
IMG_20210523_153417_763.jpg
IMG_20210523_154719_613.jpg
IMG_20210523_154819_366.jpg
IMG_20210523_153353_029.jpg
IMG_20210523_153809_126.jpg
 
Back
Top Bottom